wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanafanikiwa kupitia migongo ya Wanawake

    Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara yake, wakati huo nilikua afisa mikopo. Alinielezea kuhusu Biashara yake, plan zake na namna alivyoanza...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hamna uwezo tena siku hizi, maneno matupu na kujisifu bure

    Kaka mmoja akanifata Inbox yangu Kule Instagram na kiukweli nilivyomuona alikuwa kijana shababi, alikuwa na six pack(kama mziitavyo), alikuwa mrefu mweusi. Aliponitumia picha zake nikaziona kiukweli nilipagawa, wakati huo Ni kipindi ambacho nilikuwa napitia mambo mengi sana ya kimahusiano...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume mnao tumia english kutongoza

    ✌️ Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni. Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

    Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima. Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Matiti ya mwanamke hudondoka yanapoguswa guswa na viganja vya wanaume

    Kuna mwanamama aliwahi nipa ushuhuda kuwa matiti yake yalianza kuanguka akiwa na miaka 23 kutokana na mitomaso aliyokuwa anafanyiwa na mpenzi wake wa kwanza. Aliendelea kwa kusema kuwa, kabla ya kuanza michezo na wanaume alikuwa na chuchu dodo zilizosimama na kuchoma. Hivi ni kweli kuwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

    Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20! Nikamwambia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wanaume kukuna mkono wa mwanamke akisalimiana ni aibu tubadilikeni

    Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania. Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja. Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu. Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what...
  8. JamiiForums Tanzania Je, wajua Ulimwengu mzima ikiwa kila Mwanaume ataoa Mwanamke mmoja, Wanaume milioni 65.51 watakosa wake wa kuoa?

    Hadi kufikia Mwaka 2021, idadi ya wanaume duniani ilikuwa 3,970,238,390 au milioni 3,970 au bilioni 3.97, wakiwakilisha 50.42% ya idadi ya watu ulimwenguni. Idadi ya wanawake duniani ilikadiriwa kuwa 3,904,727,342 au milioni 3,905 au bilioni 3.905, ikiwa ni 49.58% ya idadi ya watu duniani...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi tunapenda mwanamke anaejua kupika sio anayejua mapenzi kitandani

    Habari zenu wakuu, ukweri ndo huo. Mwanamke ata ajue mapenzi vipi au awe mtamu kitandani Kama sio fundi wa kupika jikoni, talaka itamuhusu aende kwao akajifunze kupika. Wanaume tunatafuta hela kwa shida tukirudi nyumbani tunahitaji tukute msosi Bomba na mapenzi motomoto, kila day mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume, hawa wanawake walindwe huko walipo dhidi ya lile kundi la pili

    Sabato njema. Sitaki porojo la kuandika maneno mengi, weka bundle wasikize mwenyewe. No. 1
  11. JamiiForums Tanzania Boksa za kisasa za Wanaume

    Nunua Boksa za kisasa za Wanaume kutoka Dubai Brand kubwa zinazouzwa Marekani & Wiingereza Mwanaume mwenzangu acha kuvaa local, vaa brand kubwa zinazouzwa kwenye bara la Ulaya ubadilishe muonekano wako, Bei 15,000/= Nipe Oda yako
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke hasomeshwi, wanaume mnafeli wapi? Ona wanaume acheni kuwa dhaifu

    Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

    Kwa wanaume wenzangu habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika kama nilivyoitambulisha hapo juu. Ikiwa una familia au unaishi bachelor tafadhali zingatia hili linakihusu. Nyumbani kwako hakikisha mwanaume hukosi essential tools kadhaa kwa ajili ya kupunguza changamoto...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume Tunalea watoto sio wetu kwenye Ndoa

    Ukiona familia Ina watoto 5 ujue wawili au mmoja hapo mama kachanganya baba,sio wote ni baadhi ya familia. Kuna mshikaji wangu tunaishi kitaa kimoja, alikuwa ana date na mke wa mtu mpaka akampa mimba na yule mke wa mtu alimwambia mshikaji hii mimba ya kwako na huyu mtoto atakaye zaliwa ni damu...
  15. JamiiForums Tanzania Eti wanaume wengi wataozea jela Kama Hili zoezi likifanyika

    Waaslam wakuu! Nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi zimekuwa donda sugu na kadri siku zinavyoendelea kusonga ndivyo nguvu zenyewe zinaendelea kupungua Tena kwa Kasi ya 5G. Wanawake wengi walioko ndoani na wale ambao bado hawajaolewa wamekuwa wakililalamikia Hili suala na kwa kusema...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya anayewasumbua vichwa wanaume wengi

    Unaambiwa wanaume wa Kenya wanapigana vikumbo kusaka penzi la Charlene Ruto binti wa Rais Ruto. Ama kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu
  17. JamiiForums Tanzania Makabila ya Mara mnatia aibu: Wanaume kutahiriwa bila ganzi sio ushujaa, Heshima ya Mwanaume ipo kwenye Pesa na Power

    Dunia imepuga hatua kwenye nyenzo za utabibu kwenye kutahiri na hakuna mantiki ya kutumia mbinu za zamani zenye maumivu makali bila ganzi. kuahiri kwa kisu kwa zama hizi ni kama kuhangaika kutafutana majumbani wakati yupo zama za simu za mikononi. Hayo mambo ya kutahiriwa bila ganzi yaachwe na...
  18. JamiiForums Tanzania Chagua mwanamke mwaminifu usije ukaumia kwa kufanya kosa kama wanaume wengine

    Ili kujenga mahusiano mazuri kwanza hakikisha wewe ni mwaminifu. Ukitaka kuwa na mahusiano mazuri hakikisha uliyenaye ni mwaminifu. Kwetu wanaume kitu cha kwanza muhimu ni mwanamke mwaminifu. Uaminifu unajumuisha; kusema ukweli, kuwa na mtu mmoja (kuto saliti), kumuamini mwenzako, kuhifadhi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

    Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua...
  20. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanaume hukaa kwenye viti kwa kutumia mgongo

    Ni utafiti binafsi. Niende moja kwa moja kwenye mada. Vijana wengi wataathirika na tabia ya ukaaji inayotokana na matatizo ya kisaikolojia. Kutojiamini na msongo wa mawazo kunawaathiri vijana wengi hivyo utawaona wanavyotembea na zaidi ukaaji wao kwenye viti, sofa, kwenye magari, madaladala na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…