wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

    Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke. Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi. Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe...
  2. JamiiForums Tanzania WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

    Wakuu hebu tumalizie weekend na mada mkangamfu. Ewe mwanaume ni kitu gani ukikiona kwa mwanamke au mwanamke akikifanya kwako inakukata stimu kabisa yaan turn off. Mimi nitalist kadhaa 1. Mwanamke mwenye vinyweleo mikononi na miguuni, aisee bora mikononi naweza vumilia ila miguuni pale ameweka...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

    WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Kuna tabia ya kike imeingia miongoni mwa wanaume kulala kwenye vitanda vya kike

    Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF! Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa. Hivi vitanda vimekaa kikike na vinapendwa na wanawake
  5. JamiiForums Tanzania Ila wanaume bana tunapitiaga ukakasi mkubwa hadi mafanikio alafu tunakuja kuliwa pesa kizembe na hawa wadada

    Mtu umetoka hapa⤴️ Ili uje kuteseka na kuaibika hapa⬇️ Kunaa interview nimeona jamaa mmoja anakuja kujitetea kuwa ile gari aliompa slay queen sio kwamba amemnunulia iwe yake bali amempa tu atembelee ila demu kawa mkali hadi ka-share video asaidiiwe na serikali ili arudishe gari yake.
  6. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Marekani na China ni mkutano wa wanaume tu!

    Tulipotea njia kulazimisha usawa wa jinsia katika uongozi, viti maalumu vya ubunge vifutwe.
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi ni wanyanyasaji. Ndio Maana Kila Siku nawaambia mabinti mjitegemee. Endeleeni kunikaidi

    Hamjambo! 1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa. 2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana. 3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi...
  8. JamiiForums Tanzania Wadada acheni kusema mlidanganywa na wanaume wakawapa mombi

    Wanawake vijana wengi wa bongo wanaokuwa wakiachika katika mapenzi na wanaobaki single mothers wamezoea sana kauli za kulalamika kusema walidanganywa au walitapeliwa na wanaume walioingia nao katika mahusiano au waliofanya nao ngono. Kama mwanamke una miaka zaidi ya 18 na ulifanya ngono na...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake mna haki kuwadharau wanaume machawa na Wambea wambea

    WANAWAKE MNAYOHAKI YA KUDHARAU WANAUME MACHAWA NA WAMBEA WAMBEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti zangu, usione haya wala aibu yaani usijifiche kuonyesha dharau kwa Mwanaume yeyote mwenye tabia za kichawa chawa. Kimbea mbea. 2. Hata kama ni Mimi Babaako, hata kama ni mimi mumeo...
  10. JamiiForums Tanzania Mabinti waambiwe ukweli serikali haitakuwa na muda wa kushughulikia ujinga na uzembe wao watakapozalishwa na wanaume wapenda uzinzi. Hasa mabinti mask

    MABINTI WAAMBIWE UKWELI SERIKALI HAITAKUWA NA MUDA WA KUSHUGHULIKIA UJINGA NA UZEMBE WAO WATAKAPOZALISHWA NA WANAUME WAPENDA UZINZI. HASA MABINTI MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba 1. Hakuna cha huruma hapa. Binti Yangu hakuna wa kukuonea huruma dunia hii. Kama hutojionea huruma...
  11. JamiiForums Tanzania Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

    Shikamoon wakubwa zangu wote Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani. Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Perfection is an illusion. Hakuna ukamilifu kwa kiumbe binadamu, Hivyo huwezi kupata mwanamke mkamilifu kwenye kila kitu maishani

    Ukichagua mwanamke anayefanya kazi ya kuajiriwa, lazima ukubali kwamba hawezi kushughulikia kazi za nyumbani zote. Ukichagua mama wa nyumbani anayekujali na kusimamia nyumba yako vizuri, lazima ukubali kwamba hatoingiza kipato. Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyegundua Vijiti vya kuzuia mimba ametuhujumu wanaume

    Ma dem ckhz mpk upige mimba kaamua mwenyewe, wanaweka vijiti begani vya kuzuia mimba unapewa sharti no mimba mpk ndoa kwanza
  14. JamiiForums Tanzania Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

    Habari everyone. We're too weary... you did it long enough, no more chance for that. haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha... binafsi nakwazika sana na nadhani wapo wengi wanakwazika kama mimi. MMU kuwa jukwaa la mahusiano...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi Waliokuwa Watumishi Wakistaafu Wanakufa Mapema Kwa sababu Wanakutana na Ghasia za Mke ambazo alizokwepa akiwa kazini

    My Take Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine. Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kweli kuwa wale wanaume wenye makebo makubwa ni masuala la hormones?

    Wakuu, inasemekana kuwa mwanaume mwenye makebo makubwa Kunauwezekano mkubwa kuwa amasharuhusu wahuni kuzama gentani mwake. Watu wengine wanadai kuwa huenda mwanaume kuwa na makebo makubwa husabanishwa na masuala la hormones. Watu wengine wanasema ulaji wa hovyo; kubugia chipsi, ni Moja ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kama ya wanaume wanaita kitambi, je ya wanawake tunaitaje?

    Yes tunaita/tunakiita "galobedi" kwa kifupi galo
  18. JamiiForums Tanzania Hongereni wanaume mnaoweza kwenda shopping na wake zenu kisha mkarudi wote kwa furaha mimi yamenishinda

    Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo. Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi. Ndoa kubwa tulifunga bana zawadi tukapata nyingi sana hasa vyombo na nguo (vitenge/khanga) tulipata zakutosha kiasi...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini wanaishi miaka 5 zaidi kuliko wale wasiofanya hivyo

    Takwimu zinaonyesha kwamba waume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini huishi miaka mitano zaidi. Na pia hupata hadi asilimia 35 zaidi ya kipato kuliko wale wasiokuwa na tabia hiyo. Utafiti ulioongozwa na Arthur Szabo kutoka University of Kiel unaonyesha kwamba kitendo rahisi cha asubuhi...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaopeleka wake zenu kwa waganga wanawazunguka wanaendakuwatengeneza ninyi muwe marofa

    Mnaoenda na wake zenu kwa waganga asilimia kubwa wake zenu wanawazunguka mkiwa hampo majumbani wanaenda kuwatengeneza ili muwanyenyekee akiomba kitu au kukwambia kitu chochote usipinge ukubaliane nacho Wanawake ni viumbe hatari sana wanaume tunarogwa sana. Unajuwa ni kwanini familia nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…