wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Novemba 19, 2023: Siku ya Kimataifa ya Wanaume, una ujumbe gani kwao leo?

    Novemba 19 ya kila mwaka, huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Wanaume kwa lengo ka kutambua michango ambayo Wanaume hutoa katika Familia na Jamii kote duniani. Pia, Siku hii inalenga kuongeza ufahamu kuhusu takwimu za juu za Wanaume kujiua ikiwa ni eneo ambalo mara nyingi hupuuzwa wakati wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaona aibu kwenda kanisani

    Ndio hivyo, ukristo umekuwa wa wanawake. Wanaume wengi kushiriki kwa asilimia kubwa haipo. Fuatilia mahudhurio kwenye shughuli zinazohusisha makanisa zikiwamo Ibada utakubali.
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume tunapenda hatari

    Kuishi kwa hatari ndio jadi yetu Wanaume. Tokea utotoni michezo yetu mingi ilihusu mapambano, kuuwana, na kuchinjana. Nakumbuka tulikuwa tukipiga kelele kali sanaa kutokana na hashishi iliyoletwa na michezo yetu ya maigizo. Sasa tumekuwa wakubwa mambo ya kuigiza hamna tena, ila kuna vitu viwili...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hawajui hili

    Ukioa mke wako amekuwa mtu wako wa karibu, msaidizi pale unahitaji. Ila mchepuko sio mtu wako msaidizi. Ila asilimia 95 wanaume wanajua mchepuko wake ndio anafaa kutunzwa na kupendwa. Tuanze na nyumba, mke huakikisha nyumba yote safi masaa yote.. kuanzia sakafu, mapazia, kapeti na kila kitu...
  5. JamiiForums Tanzania Familia za wavivu wengi zimesababisha soko la wanawake wa kuolewa na wanaume wa kuoa liwe gumu sana. Watu wanaogopa kupata wakwe na mashem wategemezi

    Habari wadau. Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata. Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea. Yale mambo ya kuoa mwanamke...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume kama umeoa hii inakuhusu

    Naswali la heshima why mnacheat. Na mna mke mwema, mke anakupenda na kukusaidia, nakukujali anakuzalia anafanya uitwe baba fulani. Ila nyie kazi kuwa malaya tu ndio kazi yenu, sijui kwanini mnaoa yanini kama hamjui shida zake. Mnakera sana nyie wamalaya mnaboa . Samahanini ila kweli mnatia...
  7. JamiiForums Tanzania Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

    Wanabodi Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza...
  8. JamiiForums Tanzania Nilijua ni wanawake tu, kumbe kuna wanaume wanatafuta wenza wa maisha na hawapati?

    Zamani nilikua najua wanawake wanapitia mfadhaiko na depression akiona umri unaenda na hajapata Mwenza sahii wa kuishi nae/kuolewa nae, tumeshuhudia makanisani wakikusanyika Kuandika Maombi 12 huku ombi la kwanza ni kupata Mwanaume (kuolewa). Nilishuhudia kongamano moja la vijana Mchungaji...
  9. JamiiForums Tanzania vijana wa Arusha wanapigana kwa visu. Wanaume tunazichapa kavu na maisha yanaendelea

    Kisu ni moja ya silaha hatari sana ila watu wanachukulia poa. Kuna sehemu kisu kikigusa ni kitendo cha sekunde kadhaa tu unapoteza lita za damu Hivi karibuni kuna kijana kachomwa kisu ikiwa ni muendelezo wa matukio haya ya kinyama, Pichani ni Marehemu Bennyrick Lamar akiwa kapakiwa kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake kupenda wanaume wenye pesa kumefanya wanaume wajitambue na kuacha uvivu, pongezi kwenu

    Rejean kichwa cha habari hapo juu. Ipo wazi sasa hivi mwanaume kama huna hela mapenzi yatakusumbua sana, yaani kuna aina ya wanawake hutowapata regardless ya muonekana wako, family background, n.k. Hii imepelekea wanaume wengi kuchacharika kuitafuta pesa, hata zile jamii/makabila yenye...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

    GREETINGS Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa"" Twende kwenye hoja..... Hivi wewe kijana wa kiume mwenzangu kwanini uwekeze kwa mwanamke huku unajua kuwa ukipoteza huwezi vumilia hiyo hasara? BODY:- Mi...
  12. JamiiForums Tanzania Nafsi inatamani lakini mwili unanikataa, wenye miaka 33 ama zaidi mnaenda raundi tatu bila kujilazimisha?

    Kama ambavyo mtu utaanza kugundua umekuwa mkubwa pale unapoanza kusalimiwa na vijana wadogo basi ndivyo utavyojigundua kwa mabadiliko ya uwezo wako kwenye shoo. Hali sio tena kama niliyoizoea, kwa sasa goli la kwanza lori lipo mteremkoni, goli la pili lori lipo tambarare lakini goli la tatu...
  13. JamiiForums Tanzania Urembo Kwa wanawake na Nguvu Kwa wanaume

    Habari za muda huu wana jamvi, poleni kwa majukumu na harakati za kila siku za ujenzi wa taifa na kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila kuchelewesha muda niende moja kwa moja kwenye mada. Uumbaji wa dunia na vilivyomo ni wenye kupendeza na kutukuka sana. Ila kwa bahati mbaya mwanaadamu...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume mnadanganywa kujali mwanamke ni kumsaidia kupika ama kufua. Niwasihi kwamba hayo sio majukumu yenu ni uboya

    Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea. Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana lakini kuna makujumu ya mwanaume unayohitaji kuyafanya bila msaada wa mwanamke na kuna majukumu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kanda ya Ziwa mmeshtuka nini hadi nyie ndiyo mnaongoza kwa Kupima DNA Tanzania nzima?

    Ndugu yenu GENTAMYCINE (kutoka Mkoani Mara) nawashaurini Vumilieni tu Kuchapiwa Wake zenu na Kulea Mimba za Wanaume Wenzenu na Watoto watakaozaliwa ni Jambo la Kawaida mno. Na nasikia baadhi yenu kama mkigundua (baada ya kupima DNA) kuwa Watoto siyo Wenu (Mmechapiwa) kwa Hasira wakiwa bado ni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliowahi date na wanawake wenye shape hii mje mnipe uzoefu

    Aloo nikimpata mdada mwenye shape kama hii hata million 2 kama ninayo natoa, sio kwa mzigo huu, eti wazee mzabzab mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hufa kabla ya wakati wao kwa sababu ya laana kutoka kwa wazazi

    INTRODUCTON. Salaam, Shalom!! (Kutoka 20:12) says: WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO, ILI SIKU ZAKO ZIKAWE NYINGI KATIKA NCHI UPEWAYO NA BWANA MUNGU WAKO. Leo naandika mada hii nikiwa na Sina furaha sababu Mimi Rabbon pia ni Mwanaume. Wanaume tulipoambiwa tuishi Kwa akili na wake zetu, au na...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume hatutoboi bila wanawake

    Pamoja na kujiona wababe/miamba/magangwe/makingkong lakini huo ndo ukweli. Chukua chuma icho. Angalizo kwa wanawake: Sasa uende nyumbani umevimba kichwa ukipasuliwa uko shauri yako usinilaumu.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Shirika la Wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa limesajiliwa kwa sheria gani? Video yao imenifanya niogope Ndoa

    Habari wadau. Kupitia Leo tena ya clouds FM imenifanya nilijue shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa. Nikakutana na video ya maelezo ya wanachama wao. Baada ya kuitazama hiyo video, nimecheka sana na kidogo Nimewaelewa wale wanaume wa humu jamiiforums wanaosema Kataa ndoa...
  20. JamiiForums Tanzania SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

    Malalamiko yalikuwa mengi kuwa mnanyanyaswa na wake zenu, mmepata nguvu sasa ya kutetewa na Rais wenu kashapatikana. Huyu wa kustaafu ameniuma sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…