wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Jinsia ya kiume iko katika hatari kubwa

    Na Paul R.K Mashauri Kama wewe ni mfuatiliaji wa takwimu mbalimbali, utagundua kwamba, utafiti ndani na nje ya Tanzania unaonesha kwamba idadi ya ndoa zinazovunjika kila siku inazidi kuongezeka na sehemu kubwa ya wanaodai talaka ni wanawake. Utafiti pia unaonyesha, sababu inayoongoza kwa...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

    Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu. Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanawachukia sana wanawake?

    Mwanaume akitaka kumshusha thamani mwenzake atamuita jina la mwanamke, viungo vya mwanamke au kumpa sifa au hulka za wanawake kama namna ya kumuaibisha, kumtusi au kuonyesha udhaifu wake. Naona limekua jambo la kawaida hasa huku mitandaoni na hata huko nje kwenye jamii zetu. Naomba nisaidiwe...
  4. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane kidogo mbinu za kivita Kula wademu wenye kazi na mishahara mikubwa

    Salaam jamiiforum Wanaume wenzangu hapa Duniani tunapita, hivyo kila kitu kizuri ikiwezekana kifanyike na siyo kujibana saaana jipe Raha tofauti tofauti mara moja moja, Safiri kwenda sehemu mbalimbali kama una afford, Kula vizuri ,vaa vizuri ,endesha usafiri mzuri hata kama hujazifikia ndoto...
  5. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Wanaume hamuwafahamu vizuri wanawake

    Wanaume 🥴 Kumwingilia mwanamke siyo tu kuweka uume wako...✍🏾 Kuingiliana ni zaidi ya ngono na kumaliza. Kwa hakika, hata mbwa wanafanya vizuri zaidi. Kuingiliana ni kuhusu kumiliki nafsi yake. Ili kumiliki nafsi yake, lazima ushinde tabaka lake la KISIA. Tabaka la kisia ni lango la...
  6. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni kiumbe kilicho kwenye hatari ya kutoweka duniani!

    Mungu alimuumba mwanaume kwa mfano wake, na sio MWANAMKE. Hivyo basi mwanaume ni kiumbe kitakatifu cha Mungu muumba na MWANAMKE ni kiumbe kitakatifu cha shetani, ndio maana nyoka aliweza kumtumia Hawa kumuangamiza Adam pale bustanini. Waliongea na kuelewana kwa Lugha moja. Ili shetani apate...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

    Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako. Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

    Inaumiza sana sana sana Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni kabla ya ndoa nikapoteza mchumba kwa ajari.. hili sitaki kulizungumzia) Kama wewe ni mfuatiliaji wa...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume: Ulijuaje kama hiyo Style yako ya kunyoa inakupendeza? Ushawahi take risk kujaribu Style nyingine?

    Kwa Wanaume. Unajuaje kama iyo style ya kunyoa inakunoga? Unaambiwaga na watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimuachia kinyozi akuchagulie? Ushawahi jaribu nyoa para? Pank? Ushawahi jaribu acha ndevu?
  10. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

    Naona kuna mtiririko wa mada nyingi za kukataa ndoa, kwanza niseme mimi nimeolewa na mume ambaye sijutii, hakika sijutii kabisa kuolewa naye tulianzaje bas kisa hiki nina imani kitakua na namna flan ya kufundisha hata kutia moyo wale ambao mioyo ilishakufa zamani kuhusiana na ndoa au mahusiano...
  11. Isenye

    JamiiForums Tanzania Ila kuna baadhi ya wanaume wenzetu ni mazoba sana

    Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani. Huu ni uzoba au jamaa limerogwa?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini Tanzania hatusikii Wanawake Mawakili Mahiri? Je Vyuo vinafundisha wanaume tu?

    Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi. Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano Peter Kibatala John Mallya Dickson Matata Tundu Lissu Peter Madereka...
  13. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Wanaume leo tuishi na hii

    Wanaume, Maisha ni magumu, najua. Wakati mwingine unahisi kukata tamaa, lakini kumbuka, "maisha yanapokupa ndimu, tengeneza sharubati ya limau." Unastahili maisha bora, hivyo endelea kupambana. Huna PESA kwa sasa, lakini si MASKINI. Kukosa pesa ni hali ya muda, lakini umasikini ni mtazamo wa...
  14. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Wanaume nawapeni codes za kuishi nazo

    Wanaume, Siyo kila mtu katika sehemu yako ya kazi ni rafiki yako. Fanya kazi yako. Pokea malipo yako. Rudi nyumbani. Wenzako wa kazini si marafiki zako. Kila mtu yupo pale kwa sababu ya kipato. Pesa zinapohusika, watu husalitiana . Usiwe mzungumzaji sana. Fanya kazi yako na rudi nyumbani...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wenye matatizo ya nguvu za kijinsia huwa wakali mno na wakati mwingine wanakua wanyonge na wenye mfadhaiko sana?

    Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo mengine yanayofanana na haya, Mtu huyo anakua mkali sana au anajifanya mtakatifu mno na kwamba...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

    Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi, Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na cosmetics nyingine kwa ujumla) Tumeishi kama miaka miwili kipindi hiko chote nilikuwa nampromise...
  17. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Black men ni wana wanawake wengi zaidi ya Wanaume wengine wote?

    Kwenye kuzurura kwangu duniani kutoka Africa, Ulaya, Asia na Marekani; nimeona watu wengi wakiwemo wanawake weusi, wazungu, waasia wanasema black men most are cheaters na malaya kuliko hata wanaume wazungu na pia wanaume ambao wapo loyal sana na hawacheat ni wanaume wa Asia km Korea, China...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wanapofanikiwa kiuchumi huwatelekeza wenza wao ambao walianzia maisha ya dhiki

    Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi? Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana fedha lakini akifanikiwa anageuka dikteta,anakuwa mkali kupitiliza,anakuwa msaliti wa mara kwa...
  19. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

    Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye mwenyewe hajawai kuoa Na kuna utofauti mkubwa sana nikimuona baba na ndugu zake yeye ana mafanikio...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Makabila yenye tabia ya Ubahili wa Kifedha kwa Wanaume Kikanda au Kimikoa hapa Tanzania

    1. Wapare 2. Wakinga 3. Waha 4. Wagogo 5. Wachagga 6. Wakurya 7. Wajita 8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani Naomba kuwasilisha Pang Fung Mi
Back
Top Bottom