wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Taratibu wanaume kapuku mtaa za kujitambua

    ,👇👇👇 kama tajiri tu anafanya hivi wewe kapuku maskini ni nani hapa duniani?!?
  2. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hii kwa wanaume wote

    Tabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo. Mpaka umri huu nilionao nimeshuhudia marafiki zangu 58 wakipata madhira mbalimbali kwasababu ya tabia ya...
  3. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

    Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu! Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can...
  4. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Sababu 4 zenye kufanya mwanamke anawachukia wanaume pamoja na kuyachukia mahusiano

    Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa mawazo, kujichukia,kukata tamaa ya maisha . hivi sasa kuna ongezeko la single mother ulimwenguni kwa...
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Utulivu na Papara: Msichana akishindana na mvulana

    Angalia video clip Wanaume wengi huwa wanafikiri spidi na nguvu ndiyo muhimu zaidi kwenye kupata mafanikio. Ila tunakumbishwa utulivu na mbinu zisizotetereshwa na kelele za watu ni moja kati ya siri kuu. Dakika za mwanzoni, ilionekana kama mvulana atashinda kwasababu ya uwezo wake wa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

    KIKAWAIDA WANAOHONGA WANAWAKE NI WANAUME DHAIFU NA MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili zinazomtambulisha Mwanaume dhaifu ni kuhonga wanawake. Hata siku Moja huwezi kuta mwanaume Kamili anayejiamini na Alpha Male akahonga Wanawake. Wanaume dhaifu ni rahisi kuwa...
  7. majam19

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wa kikazi Cha Sasa tunafeli wapi(...)??

    Habar za majukumu ndug zangu, Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake. Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba Halafu asilimia 98% ya maneno...
  8. majam19

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wa kikazi Cha Sasa tunafeli wapi(...)??

    Habar za majukumu ndug zangu, Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake. Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba Halafu asilimia 98% ya maneno...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi ni Misukule ya Wanawake. Wana utumwa wa kifikra.

    Hamjamboni! Kuna Misukule ya aina nyingi. 1. Kuna Misukule ya Imani Hii ni Misukule ambayo waumini hutafuta pesa kwa Hali na Mali. Kwa jasho na damu na kwenda kupeleka Mali hizo kwa Mitume na Manabii WA mchongo. Wengine hupeleka kwa Waganga. Ukitaka ujue mtu ni Msukule utampima kwenye Mzani...
  10. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

    Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja", Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa 😂😂😂", Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni mnasema mpo single baadae mnasema kuna mtu nyie wanaume mna shida gani??

    Nimekumbuka hili tukio huwaga linaniumiza sana… Unakuta mwanaume anakuangaikia kukupata mnaenda vizuri mara anabadilika mwisho wa siku ana kwambia yeye kuna mtu yuko nae kabla yangu so ina maana mimi ni mchepuko wake Oya kuna Kijana mmoja baada ya kuwa na kutokuelewana sana kati yetu...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nawaibia siri wanaume wenzangu,Mama ntilie ni wife materials.

    Kuna sehemu hivi huwa napiga menu ,ni hii migahawa ya mtaani maarufu kama kwa mama ntilie.so nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na huyu demu,ebana she is very loyal and respective kwangu. Jana usiku wakati namgegeda nikamuuliza mtaji anataka nimuongezee kiasi gani,kaniambia laki 2 na nusu tu...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Haya ndio top 5 ya ma-group yaliyopo kwenye simu za wanaume na wanawake.

    LADIES: 1: Dada's Urembo na style 2: Toto's group ujauzito hadi malezi 3: Msusi online matunzo na style za nywele 4: Aunty Mwajuma kungwi na ushauri 5: alex udaku 24hrs WANAUME SASA😂😂 1: Buza wa buku buku 2: koneksheni pro max pisi kalii 3: Utamu pande zote 4: 18+ raha zote 5: Auto check magari...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Wanaume na Wanawake wanapokwenda Salon kutengenezwa

  15. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

    Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi. Eti leo tena nimeachwa Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini? Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu? Najuta kumpa thamani yangu. Nawachukia wanaume kuanzia leo. Mnatesa sana wanawake...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hai Mjini: Wanaume wote wakopeshwe mikopo ya 10%

    Mbunge wa Hai Mjini, Saashisha Mafuwe ameiomba Serikali kuwakopesha wanaume wote mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10, ili iwasaidie katika shughuli za kimaisha.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume jibuni hili swali

    Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makabila yapi Tanzania yana mila za wanaume kukanyaga au kuruka wanawake waliola chini?

    Mila nyingine zinachekesha sana, mojawapo ni hii mila ya kukanyaga au kuruka mawowo ya wanawake waliola chini.
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiongea ukweli kwa Wanawake watakuona unawachukia. Mwanamke akiongea ukweli kwa Wanaume ataonekana ni mjuaji na mwenye kiburi

    Wasalamu! Humu ndani kunakuwaga na mijadala ya hapa na pale. Ipo mijadala inayogusa hisia za watu Moja Kwa Moja na kuamsha mihemko ya hasira zinazopelekea matusi na kutoa Lugha chafu na Kali. Mijadala mtambuka kama ya Kijinsia, kidini, Mila na desturi n..k. ni baadhi ya midajala inayoleta fujo...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
Back
Top Bottom