usaliti kwenye mahusiano umekuwa mkubwa sana siku hizi na unaumiza sana mioyo ya watu, upendo umepungua kabisa wapenzi hawapendani bali wanapenda vitu ndio vinavyo wavuta vikiisha , tatizo.
unaona kuna mdau anamshukuru Trump kwa kulifuta shirika la misaada maana alikuwa anafulishwa mpaka chupi hiyo ni baada ya kufukuzwa kazi, kuna mdau mwingine kafuma mawasiliano ya mkewe akiwasiliana na ex wake, unaona Singo maza walivyo wengi mitaani tena wa umri mdogo et miaka 20 binti anakuwa single maza huyo akifika 30 ana watoto watatu kila mtoto na baba yake ni tatizo hilo.
Tamaa imekuwa kubwa, siku hizi wale wanawake wakali kwa wanaume na wavumilivu hawapo tena, wanawake wa zamani walikuwa wakali kwa wanaume wanaotaka kuwachezea, mabinti wa siku hizi kuchezewa wanataka wenyewe, mabinti wa zamani ukianza kumtongoza tu wimbo wa unanioa? unaanzia hapo hapo hata kipapa haujapewa, mabinti wa sasa hivi huwezi ukaimbiwa huo wimbo anasubiri achezewe mpaka afike miaka 30 ndio anaanza kuhaha, tena wengine ukijifanya unataka kumuoa akiwa na umri wa miaka 22 anakuambia mimi bado bado