wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimepiga punyeto asilimia 75 % ya umri wangu sasa namashaka na sperm zangu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nilikua mraibu wa punyeto kupita kiasi takribani robo tatu 3/4 ya umri wangu na maisha yangu.. Nilianza uraibu wa punyeto baada ya kubalehe tuu na niliijua kupitia kwa kiongozi wa dini ambaye mpaka leo na muona kuwa ni shetani. yeye ndiye aliyenifunza kupiga...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wanawake au wanaume wa kabila gani ambao umewahi kukutana nao kimwili kwa wingi?

    Bila kuwapotezea muda na mambo ya salamu. Nitaanza mimi. Wanawake na makabila yao niliyowahi kuwala ni kama ifuatavyo Wakinga 15 Wapare 12 Wanyakyusa 10 Wachaga 09 Wahaya 06 Wasukuma 05 Wahehe 04 Wabena 04 Wanyamwezi 02 Wameru 01 Wagogo 01 Wangoni 01 Mkenya 01 Mzungu 01 Mwarabu 01 Mzambia 01
  3. JamiiForums Tanzania Haya wale Wanaume wenzangu tunaopenda Wanawake wenye Mizigo (Makalio) na hatuwapendi Mbaumbau (Wasionayo) tumepewa Ukweli Kamili na Mtaalam

  4. JamiiForums Tanzania Desturi za wasukuma

    ◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau ◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku, mapaja na viongo vingine vitamu hupelekwa kwa wanaume ◇ wanaume kula na wanawake ni marufuku. Wanawake...
  5. JamiiForums Tanzania Gentlemen commandments//the art of winning women psychology

    1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana 2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake". Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute 3.Ukimproach Mwanamke akikutaa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wanawake huwaumiza zaidi Wanaume wanaowapenda kwa dhati?

    Hili ni swali zito na lenye uchungu, ambalo wanaume wengi wamewahi kujiuliza baada ya kuupenda kwa dhati na kuumizwa vibaya. Hebu tulichambue kwa uhalisia na kwa undani. Kwanza, swali hili si kuhusu wanawake wote, bali linahusu mwenendo fulani katika uhusiano maalum. Kwa hiyo: Kwa nini baadhi...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume mnao Suka nywele, kutoboa pua na masikio wengine mkaona haitoshi mnajikrimu, je ni utanashati tu au kuna kingine?

    Wakuu Sote tunajua wazi sisi wanaume si wa mambo mengi. Ni rahisi sana kumkuta mwanaume ana suruali mbili na mashati matatu na hawazi wala kuongelea mavazi na ameridhika nayo wala hajari. Ni rahisi sana kwenda geto la mwanaume ukakuta hakuna lotion aina yoyote ila ana mafuta ya kupaka tu na...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume tuamke tusihonge sana kwa michepuko, mbele tuna majukumu mazito.

    Baba ni baba tu Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia. Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma. Kuwa na watoto katika familia ni jambo la muhimu sana, na linaimarisha uwepo wa uzao wako hapa duniani...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?

    Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote. Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia...
  10. JamiiForums Tanzania Kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana asubuhi halafu unajamba inatokana na nini?

    Swali, hivi ile issue ya kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana hasubuhi alafu unajamba pyeeee inatokana na nini,? Unaweza ukaona utani ila ukiwa kwenye nyumba za kupanga ni nouma yaani shwaaaa pyeeee😂😂😂😂 Unapata fezeha atari 🤩 yaaani pyeeee Tunaomba Ushauri jinsi ya kuzuia
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mdada humu aliandika akiwa karibu na wanaume wanaweweseka, yeye anaona kama sifa hivi ila ajui kuwa wanamkimbia hawataki vizinga

    Saikolojia ya wadada wengi wenye makalio makubwa ni kufikiria kinyume nyume kama ilivyo minyama yao iliorudi nyuma.
  12. JamiiForums Tanzania Swali Kwa wanaume?

    Ni vyakula gaini haswa ni vizuri kwa afya ya uzazi wa kiume? Ulipo ona unawahi ku mwaga wazungu ulifanya ni nini kurekebisha na kupona ili tatizo? Mwisho ni kweli kama umeweza kumfikisha mwanamke flani kileleni orgasm je utaweza kwa kila mwanamke?
  13. JamiiForums Tanzania Ukimuuliza mdada yoyote, hivi ni kiumbe gani haswa una hisi kinadhalalisha wanawake, atajibu haraka "wanaume", ila ukweli halisi wanaujua moyoni mwao.

    Hivi ni kweli kuna kiumbe ambacho kinaongoza kujidhalalisha chenyewe alafu tena kilalamikia matokeo yake🤣
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar bana!

    Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto. Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hili ni bora Wanawake wenyewe mjadiliane kisha mtupe majibu ya Kueleweka sisi Wanaume ni kwanini kwa sasa huwa mnatufanyia sana Faraghani?

    Na kibaya zaidi sasa 75% ya Wanawake wanaopenda hii Dhambi huwezi amini ni Wasomi wazuri tu na Walokole hasa wale ambao Wanaabudu kwa Matapeli Wawili maarufu wa Kawe na Kimara Temboni. Sasa kazi yangu ni kusoma tu Comments zenu. Kudadadeki....!!!!!!!
  17. N

    JamiiForums Tanzania Hii mada ni kwa Wanaume miaka 50 na kuendelea: Uhusiano kati ya Kuongezeka kwa Tezi Dume na Ukosefu wa Nguvu za Kiume kwa wenye umri zaidi ya 50

    Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume. Utangulizi: Nilihamasika kuanzisha...
  18. JamiiForums Tanzania Gorrila, eti wanaume wangapi wanaweza mshinda na kumpeleka chini?

    eti wanaume wangapi wenye nguvu wanaweza shindana na gorrila na kumshinda kwa kumpeleka chini? nimesikia mpaka wanaume 100 eti ndiyo wanaweza mpeleka gorrila chini, nini maoni yako ? … kama zikipigwa wanaume vs gorilla
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF bana, eti mtu anatumia dakika 15 hadi 20 kuoga, 🤣🤣

    Mwanaume inatakiwa isizidi dakika 5 tofauti na hapo tutauliza maswali mengi
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume njooni mnijibu swali langu

    Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo?? Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…