wanandoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za wanandoa walichaguliwa na wazazi zinadumu na zile za "nimempenda mimi" hazidumu kabisa?

    Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu. Utafiti (Uchunguzi) wangu binafsi kama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 98% ya Ndoa ambazo Wanandoa Walichaguliwa na Wazazi wao zimedumu na zinadumu. Ila...
  2. mama D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ujinga, wivu au ni roho mbaya wanandoa waliotengana kuwazuia waliokua wenza wao kuwa na wenza wengine?

    Nilisikitishwa sana na hili tukio lililomkuta kaka Sindato kwa kweli! Na hii sio kwa Sindato tuu. Inatokea kwa watu wengi wanaume kwa wanawake. Unakuta watu wameshashindwana na kuamua kuachana lakini mmoja wao anapoamua kuingia kwenye mahusiano mengine inakua vita. Tena wengine wanafikia hatua...
  3. NGUVU NDOGO NI IPI

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wana ndoa wenzangu

    Kwanza mm sio muumini wa watu kupeana taraka.pili ndoa sio Jambo la kukurupuka tu ndugu zangu.nitaanza kuwapA ushauri wanaume; *Jamani tupende kupunguza na kudhibiti hasira zetu tambueni pia kua wanawake nao wameumbiwa hasila Unapochukua maamuzi magumu fikilia mala mbili michepuko sio...
  4. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Jirani: Kabla ya tukio la mauaji ya wanandoa, kulitokea mauzauza nyumbani kwao

    Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza. Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao. Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika...
  5. Anna pita

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kwa wanandoa?

    Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa? Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aidha kuchati na simu au kuangalia zake tv. Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumbani, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingizi ushakupitia tena...
  6. Poker

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanandoa ambao hawachepuki kabisa?

    Hivi katika ndoa kuna mwandoa ambaye hachepuki kabisa yani unakuta mume na mke wote wametulia tuli!
  7. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Wanandoa hili nalo vipi?

    Kwanini wanawake wakiachika ndio wanaanza kujitunza na kujiweka safi na wanakuwa pisi kali Haswa! Lakini akiwa ndani anavaa kama Anaenda kuuza mbogamboga au ndio Mazoea. Najua wengi hapa watasingi waume hawatunzi. Hapana.
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Nini itasaidia kuepusha vipigo na mauaji baina ya wanandoa?

    NINI ITASAIDIA KUEPUSHA VIPIGO NA MAUAJI BAINA YA WANANDOA? Mwanamke hii inaweza kukusaidia mwanamke Kijana ambaye unaingia Ndoani. 1. Hakikisha kabla hujaolewa uwe na Elimu sahihi juu ya Ndoa. 2. Unapoamua kwamba unataka kuolewa hakikisha unatafuta nguvu hizi tano ziwe kwako. i. Nguvu ya...
  9. ragin

    JamiiForums Tanzania Wanandoa tuache unafiki na huu msemo “amelala na mchepuko kwenye kitanda wanacholalia na mkewe/mmewe”

    Hakuna watu wanafki kama watu walioingia kwenye NDOA na hata hawa wapambe. nasema ni wanafki zaidi ya walio nje ya ndoa... Kama una hako kamsemo kakuwaambia watu au kuelezea kesi za watu huku ukiitaja hii sentensi hebu iache mara moja unajiaibisha. “amelala/kafumaniwa na mchepuko tena kwenye...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania DC Handeni apiga marufuku wanandoa kusoma meseji za wenzi wao

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni Siriel Mchembe amelazimika kupiga marufuku Wanandoa wa Wilaya hiyo kuacha kusoma msg kwenye simu za wenzao ili kuepusha migogoro na vifo vitokanavyo na wivu wa kimapenzi, ameyasema haya kwenye maziko ya Kijana wa miaka 35 aliyeuwawa kwa kukatwa mapanga na kuchomwa visu...
  11. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Wanandoa mkipendana sana madhara yake mnapeana Mimba kila siku

    Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini. Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila...
  12. safuher

    JamiiForums Tanzania Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana? Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo. Kuna watu wana...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini ngumu kusikia Mauaji ya wanandoa Zanzibar kama Bara

    Habari wadau,? Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana Zanzibar ama Pemba? Je, huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada.? Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi ila Zanzibar why hapana?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wengi wameoa/olewa na watu ambao hawakuwapenda, wanandoa mnavumilianaje kwenye hili?

    Nimefanya uchunguzi sio rasmi kwa wamama wawili watu wazima Waliodumu Kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 20 Mmoja akiwa na watoto na Mwingine akiwa na watoto na wajukuu Kabisa, Wote story zao zilifanana, ingawa ni watu tofauti hawajuani, utaskia mama anasema huyu mwanaume alienioa, wala alikua...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wengi huchepuka siku ya Jumamosi wanapohudhuria sherehe

    Jumamosi wanandoa wengi husingizia kwenda kuhudhuria sherehe za ndoa Kitchen party na birthday party. Huko wanakoenda kuhudhuria hujikuta wanafanya mambo ya ajabu na aibu kabisa.
  16. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Mungu anachukia wanandoa kuachana

    Siku za leo neno kuachana kwenye ndoa kimekuwa kitu cha kawaida sana na isitoshe mpaka baadhi ya watumishi wa Mungu kuhalalisha kabisa na kuruhusu hili swala. Kwa kwale linaniumiza moyo sana. Sasa ndugu zangu Mungu hapendi hali hiyo pamoja na watumishi wake kuruhusu iwe kwa talaka au pasipo...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanandoa waliooana 1946 Sasa wanasherehekea miaka 75 ya ndoa Yao

    Ulysses umri 94 na Lorraine Dawson mwenye miaka 92 wote wa huko west Virginia wanasema ndoa yao hiyo ya miaka 75 ilikuwa na furaha na changamoto nyingi, wakati wanasherehekea anniversary hio mume alivaa magwanda ya kijeshi aliyopigana nayo Vita kuu ya pili ya dunia na ndio mavazi ambayo aliyavaa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Ni wanandoa, lakini siku hizi hawapendani kama zamani

    Wamekuwa ni watu wenye visirani na ugomvi kila iitwapo leo-usiku, hasa hasa mwanamke, amekuwa ni mtu wa kwanza kumsema mumewe kwa majirani hasa kwenye vikao vya hisa na vyama! Naomba tu kufahamu sababu ambazo zinapelekea wanandoa wengi kubadili mienendo yao na kupunguza upendo baina yao siku...
  19. mshale21

    JamiiForums Tanzania Ubakaji kwa wenza walio katika ndoa ina maana gani?

    Wakuu, ni matumaini yangu kuwa hatujambo wote! Yawezekana nikawa mgeni, lakini ninastaajabu Sana ninaposikia eti mtu yupo katika ndoa na anabakwa na mwenza wake waliojenga ndoa pamoja! Niliziona taarifa katika tovuti ya BBC, zikimwelezea mwanaume mmoja ambaye alikuwa akielezea kwa maskitiko...
  20. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama?

    Wakuu naomba kuuliza hili swali? Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine? Ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama wanajitegemea Iko hivi wakuu Ikiwa mama anaishi na mtoto wake baada ya baba mtoto kufariki, wakawa na maisha yao ya...
Back
Top Bottom