wanandoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Maombi maalum kwa waliopo single wanaotaka wenza wao

    Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu, karibuni tena katika maombi maalum ya siku 21 kwa walio katika mahusiano kwa ajili ya kuombea mahusiano na uchumba. Day 05 Bwana Yesu, naomba moto wako ukafunike mahusiano yetu na kuyalinda mbali na uharibifu. Yasivunjike bali yakapate kustawi na kufikia...
  2. Pdidy

    Kinachowaunganisha Zaidi Wanandoa Maisha yao Yote ni Tendo La Ndoa

    KWA WANANDOA Vipo Vitu Vingi Sana Vinavyowaunganisha Wanandoa, kama Kazi | Biashara | Watoto | Ndugu | Maisha ya Kiroho Ila Binafsi, Najua Kinachowaunganisha Zaidi Wanandoa Maisha yao Yote ni TENDO LA NDOA.. 🫵Ukibisha, Basi una Mtindio wa Ubongo 😂 Ndio Maana Mwanamke au Mwanaume Akikosa Lile...
  3. Pdidy

    Mambo yanayoharibu ubora wa Sperm

    KWA WANANDOA PEKEE | NA WANAOTARAJIA WATOTO Ukiachana na Zile Sarakasi | Mibinjuko ya 6 kwa 6 na Vilio vya Mahaba kutoka kwa Ma Mtu Kikubwa Zaidi KinachoFanya Mwanamke Apate Ujauzito au Mimba ni BAO | SHAHAWA | MSHINDO Mimba hutokea pale shahawa (mbegu za mwanaume) zenye ubora zinapokutana na...
  4. M

    Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

    Nimeona Dw wanasema Zambia karibu 50% ya Dna test zinazofanyika wanakuta akina baba sio waliozalisha. Hapa Tanzania ni zaidi ya 70% kaa na akina mama au akina dada watakupa ukweli wa mambo. Hapa Bongoland hali ni mbaya zaidi kwa akina mama kupigwa nje kwa sababu mbalimbali.
  5. Mafyangula

    Padri awabana maswali mazito wanandoa katika kati ya ibada. Ukisikia kukabia juu ndio huku

    Huyu Padri ni kiboko amewabana maswali ya wanandoa hali iliwashangaza wengi huku wakijikuta wakisubiri majibu hayo, alinza kumuuliza bwana harusi je umemchagua huyo mke kati ya wanawake wangapi jamaana akajiuma lakini akasema ni watano, Naye bi harusi naye akasema watano. Hii nimeipenda sana...
  6. Dogoli kinyamkela

    Faida za tendo la ndoa kiafya Post hii inawahusu wanandoa tu

    Faida za tendo la ndoa kiafya Post hii inawahusu wanandoa tu.. Kufanya sex kunasaidia kuzuia saratani ya kizazi. Kufanya sex kunazuia kuziba kwa mirija. Kufanya sex kunapunguza mafuta mwilini. Kufanya sex kunapunguza calories. Kufanya sex kunapendezesha ngozi kwani mishindo 2 ni sawa na...
  7. Mafyangula

    Wanandoa, acheni mazoea kwenye Tendo la Ndoa

    Wanandoa, acheni mazoea kwenye tendo la ndoa. Peaneni kila utamu unaostahili. Kuna katabia fulani ambacho ni kibaya sana kwa wanandoa, na ndicho kinachoharibu pia mahusiano mazuri kwenye ndoa — kuleteana mazoea, tena kwenye mambo ambayo hayataki mazoea kabisa. Mfano, kwenye tendo la ndoa...
  8. Binti wa zamani

    Endapo ungejua kabla ya ndoa kuwa mpenzi wako hana uwezo wa kuzalisha / kuzaa watoto, bado ungemuoa au kuolewa naye?

    Kuna kesi ya kusuluhisha tumeletewa ya mwanaume ambaye alijua hana uwezo wa kuzalisha kumuoa mkewe bila kumwambia kwamba hana uwezo wa kumpa mmba. Sasa hivi ndoa ina miaka 3, mke alienda hospitali kwa ajili ya uchunguzi akakutwa hana shida yoyote, akaanza kukazia mumewe naye aende hospitali...
  9. Bi zandile

    Kugusana gusana kwa wanandoa sio kwa tendo la ndoa pekee

    Baadhi ya wanandoa hutomasana pale tu wanapotaka kufanya tendo la ndoa. Huo sio upendo bali ni shughuli. Upendo wa kweli huambatana na kushikana shikana mikono bila sababu na hukumbatiana kwa sababu tu. Mguse mpenzi wako - bila sababu. Mdada, mkalie kwenye mapaja huyo mubaba wako mkiwa...
  10. M

    Rafiki wangu amegundua mke wake anajihusisha na usagaji. Anaomba ushauri wenu

    Ipo hivi Nina rafiki yangu wa karibu sana, tunashirikiana mambo mengi sana , ukaribu wetu umefanya familia zetu pia ziwe karibu . Hii linafanya hata yanapotokea matatizo ya ndoa kwangu au kwake tuwe tunashirikishana na kushauriana hata kusuluhisha. Twende kwenye case yenyewe ( fact of the case)...
  11. N

    Wanandoa wazoefu, Niendelee kurudi nyumbani kula chakula cha mchana au nianze kununua chakula ?

    Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu. Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani. Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo Siku pekee ambazo sina...
  12. M

    Uboreshwaji wa data za wanandoa hasa kwa dini ya Kikristo

    Habari.. Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa na kanisa) Nimeshahudia kesi za watu watatu wakristo, mmoja alifunga ndoa na mwanamke ambaye...
  13. R

    Wanandoa wa Los Angeles wakamatwa kwa Tuhuma za Kudanganya Wanawake wabeba mimba kwa niaba, Watoto 21 wachukuliwa na Serikali

    Watoto ishirini na moja wako chini ya uangalizi wa shirika la ustawi wa watoto nchini Marekani (California), wakati mamlaka zikichunguza wanandoa kutoka eneo la Los Angeles kuhusu tuhuma za kuwadanganya wanawake wabeba mimba kwa niaba (surrogate mothers) kutoka maeneo mbalimbali nchini Watoto...
  14. N

    Kwa wanandoa, mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye?

    Mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye? Maisha yakoje au yanakuwaje? Namaanisha ulioa tu au uliolewa tu pasipo sababu ya upendo.mnaishijeishije?
  15. Carlos The Jackal

    Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  16. The redemeer

    Aina 10 za wanandoa

    1. KUMBIKUMBI Hawa huongozana kila mahali. Yaani wanapendana hadi mahasidi wanatamani wanywe maji ya betri. 2. WAPAMBANAO Hawa muda wote hupambana , hubishana na kurushiana maneno na kukosoana utasema wanaachana kesho ila huwa wanapendana , hawaachani ng'o. 3.WAZAZI WENZA Hawa kwa asilimia...
  17. A

    Wanandoa waliouawa kwa kuchinjwa waagwa kwenye makazi yao Bonyokwa, difenda ikikatiza mtaani

    Leo Juni 17, 2025 miili ya wale wanandoa ambao inadaiwa walikutwa wamechinjwa chumbani kwao Juni 12, 2025, inaagwa muda huu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bonyokwa, Ilala Dar es Salaam. Wanandoa hao, Antony Ngaboli (46) na mkewe, Anna Amiri (39) ambapo mwanaume inaelezwa alikuwa...
  18. Holoholo-Baba Kijacho

    Ni vitu gani muhimu vinatakiwa viwemo kwenye meza chumbani kwa wanandoa wapya?

    Wakuu Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe? Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼 Vitu gani niongeze ili akute meza ipo...
  19. Mkalukungone Mwamba

    Moshi: Diwani aahidi kutoa donge nono kwa watakaofanikisha kujua mtuhumiwa wa mauaji ya wanandoa

    Vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya wanandoa Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi(53) wakati miili yao ikizikwa katika makaburi ya familia yaliyopo eneo la Kariwa chini, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Wanandoa hao ambao ni wakazi wa Msufuni, Msaranga, wanadaiwa...
  20. Kindred Spirit

    Mkanganyiko wa Wanandoa Uliopelekea Umauti na Makovu ya Kudumu

    Tukio hili lilitokea China ndani ya hifadhi ya wanyama pori huko Beijing. Wanandoa na mama mkwe (mama wa mke) walikuwa ndani ya hifadhi mke aliposhuka kuelekea upande wa dereva alikokuwa amekaa mumewe. Inadaiwa alikuwa anasubiri mumewe ahamie kwenye siti ya abiria ili yeye aendeshe. Punde...
Back
Top Bottom