Habari..
Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa na kanisa)
Nimeshahudia kesi za watu watatu wakristo, mmoja alifunga ndoa na mwanamke ambaye...
Watoto ishirini na moja wako chini ya uangalizi wa shirika la ustawi wa watoto nchini Marekani (California), wakati mamlaka zikichunguza wanandoa kutoka eneo la Los Angeles kuhusu tuhuma za kuwadanganya wanawake wabeba mimba kwa niaba (surrogate mothers) kutoka maeneo mbalimbali nchini
Watoto...
Mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye?
Maisha yakoje au yanakuwaje?
Namaanisha ulioa tu au uliolewa tu pasipo sababu ya upendo.mnaishijeishije?
askari
askari polisi
ccm
diwani
dola
halmashauri
hata
hawataki
ibada
jeshi
jeshi la polisi
katiba
katiba mpya
kuzuia
kwenda
mpya
muhimu
mungu
polisi
rais
rais samia
samia
simu
uenyekiti
ufufuo na uzima
ushahidi
wanandoa
waumini
1. KUMBIKUMBI
Hawa huongozana kila mahali. Yaani wanapendana hadi mahasidi wanatamani wanywe maji ya betri.
2. WAPAMBANAO
Hawa muda wote hupambana , hubishana na kurushiana maneno na kukosoana utasema wanaachana kesho ila huwa wanapendana , hawaachani ng'o.
3.WAZAZI WENZA
Hawa kwa asilimia...
Leo Juni 17, 2025 miili ya wale wanandoa ambao inadaiwa walikutwa wamechinjwa chumbani kwao Juni 12, 2025, inaagwa muda huu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bonyokwa, Ilala Dar es Salaam.
Wanandoa hao, Antony Ngaboli (46) na mkewe, Anna Amiri (39) ambapo mwanaume inaelezwa alikuwa...
Wakuu
Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe?
Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼
Vitu gani niongeze ili akute meza ipo...
Vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya wanandoa Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi(53) wakati miili yao ikizikwa katika makaburi ya familia yaliyopo eneo la Kariwa chini, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Wanandoa hao ambao ni wakazi wa Msufuni, Msaranga, wanadaiwa...
Tukio hili lilitokea China ndani ya hifadhi ya wanyama pori huko Beijing.
Wanandoa na mama mkwe (mama wa mke) walikuwa ndani ya hifadhi mke aliposhuka kuelekea upande wa dereva alikokuwa amekaa mumewe. Inadaiwa alikuwa anasubiri mumewe ahamie kwenye siti ya abiria ili yeye aendeshe. Punde...
Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba
Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba
Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa
Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa
M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
Ripoti ya Wizara ya Afya kwa ushirikiano wa African Population and Health Research Centre (APHRC) na Taasisi ya Guttmacher imeeleza kuwa kati ya Aprili 2023 na Mei 2024, zaidi ya visa 792,000 vya utoaji mimba vimeripotiwa Nchini Kenya.
Ripoti imeeleza namba hiyo ni sawa na wastani wa visa 57.3...
Serikali imetoa wito kwa jamii na taasisi zilizopewa dhamana ya kufungisha ndoa pamoja na wazazi na walezi kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu ya maadili kwa wanandoa.
Kauli hiyo ya Serikali inakuja wakati kukiwa na wimbo la kuvunjika kwa ndoa na wahusika kudai talaka.
Akiwasilisha makadirio...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI?
Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti
Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ?
Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti
Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ?
Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa huku JF si wanandoa. Unaona kabisa huyu hajaoa wala kuolewa.
Neno kuoa ni kuwa na mke unayempata kihalali—iwe kidini, kimila au kiserikali—na unatambuliwa rasmi kama mume wa mtu. Neno kuolewa ni kuwa chini ya mamlaka ya aliyekuoa, yaani unakuwa mke halali wa...
Jamani nina huzuni mwenzenu acheni tu na mvua hizi. Kama nilishawahi kukukosea humu kwanza nisamehe
kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo.
Unajitahidi wanao basi wasipate shida. Unajitesa kuweka mambo sawa ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada wa kazi ampe vitu na huku...
Baadhi ya wanandoa hukubaliana mmoja wao achepuke.Kwa mfano mume mwenye dosari kwamba jogoo hawiki huongea na mkewe,akachepuke na mke hufanya hivyo,huku akimuarifu mumewe kila stage.Halikadhalika mke mwenye doasari humruhusu mmewe kuchepuka,na mara nyingi mke hutafuta mwanamke kwa ajili ya...
Pale ambapo asubuhi unagombana na mkeo ama mwenza wako ambaye mnaishi nae na baada ya hapo kila mtu anaenda kwenye mishe zake za kila siku.
Jioni unajikuta wewe ndio umewahi, ukiwa umepumzika unamsubiri, kumbuka mligombana asubuhi na mwenzio aliondoka bila furaha.
Anarudi unamuona ana furaha...
Nafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.