wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi

    Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi kwa kuwapora mali zao. Jeshi la polisi tunaomba mkafanye kazi yenu Vingunguti.
  2. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi (JP Magufuli) Sengerema wafikia 72%, viongozi watembelea kukagua mradi

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023. Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga kurejea barabarani Mei 2

    Hizi ni jamhuri mbili tofauti: Odinga katangaza kurejea barabarani. Kama wanaoyaitisha maandamano Kenya ni wananchi kwa nini yasiwe kabla au baada ya hiyo May 2? Kama wanaoyaitisha ni wananchi kwa nini yaliyopita yalianza kwa kuitishwa na Odinga? Kulikoni hata yakasimamishwa naye alipoamua...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanroads! Barabara zenu Dar es Salaam ni mbovu kupindukia. Tuambieni sisi wananchi mna mipango gani na sisi?

    Hali ni mbaya sana tena sana. Sehemu ya dakika 5 sasa hivi tunatembea nusu saa. Shida kubwa ikiwa hasa jimbo la kibamba. Mpaka daladala wameondoa mabadi yao kwa sababu ya ubovu wa barabara. Mfano mzuri ni hii barabara ya Mbezi High School kwenda Mpigi magoe. Hii siyo barabara ni handaki kabisa.
  5. JamiiForums Tanzania DC Rungwe apongeza mchango wa Wananchi katika ujenzi wa Shule ya Msingi na Bweni la Sekondari

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
  6. JamiiForums Tanzania Crowd funding: Wakurugenzi wa Kamono Farms wakamatwa kwa kujipatia fedha za wananchi isivyo halali.

    Hii ni kama utapeli wa Jatu au Mr Kuku ila imetokea nchi jirani ya Zambia. Wakurugenzi watatu wa Kamono Farms wanashikiliwa na vyombo vya dola kwa makosa ya kujipatia pesa kilaghai kutoka kwa wananchi kwa kuwashawishi wawekeze fedha zao kwenye kilimo kwa ahdi ya kupata faida kubwa sana kitu...
  7. JamiiForums Tanzania Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee. Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo ni wananchi wanakotoka viongozi

    Baada ya kusoma chapisho hili... Na lile la Abbas Tarimba kutaka ongezeko bei ya mafuta, Naomba niseme mapema... Kama nchi Bado tuna safari ndefu sana! Haya ni matokeo tu! Tatizo kubwa lipo na linaanzia kwa wananchi hadi kwenye mifumo ya uchaguzi! Uchaguzi wa ovyo ovyo tunaishia kupata viongozi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Spika amzuia Mbunge wa Iringa kujadili hoja ya kufutiwa leseni mawakala wa mbolea

    SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya wakulima kuungua kwa kukosa mbolea baada ya uamuzi wa Serikali kuwafutia leseni mawakala 721 kutokana...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

  11. JamiiForums Tanzania Majimbo 214 kuchota bilioni 15.9 kuchochea maendeleo ya wananchi jimboni mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 15.99 kwa ajili ya mfuko wa jimbo kwa majimbo 214 ya Tanzania Bara katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi Bungeni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala...
  12. JamiiForums Tanzania Uozo kila mahali hakuna penye afadhali, tunaoumia ni sisi Wananchi

    Habari zenu wana JamiiForums, Kwa kweli nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa habari mbalimbali hasa zinazohusu taifa letu la Tanzania kwa kweli tuna safari ndefu sana mpaka kufikia kile tunachokiita maendeleo na sisi kama wananchi inabidi tuamke kwa kweli. Uozo kila mahari hakuna penye afadhali...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi waokolewe toka kwa wakoloni weusi

    Wakoloni weupe hawakutenda weusi wanatenda.
  14. JamiiForums Tanzania Mnawaletea wananchi maji kwakuwa Makamu wa Rais yupo Mwanza, siku zote mnayapeleka wapi?

    Wasalaam wanajamvi. Leo karibia jiji la Mwanza lote mabomba yanatoa maji, hii ni kawaida yao wakuu wa Idara pindi watembelewapo na ugeni wa viongozi. Mfano wilaya ya Ilemela kuna maeneo unapita mwezi bila maji. Kwahiyo haya mlioamua kutubless leo siku zote yanaendaga wapi?
  15. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Wananchi Tunajipa Matumaini Hewa

    Ukweli ni kwamba tunasubiria embe chini ya mkaratusi. Tunaushangaa wizi na ubadhirifu wa pesa ya umma ulioibuliwa na CAG, kwani sisi tulikuwa na mategemeo gani? Hivi mwizi anaweza kuacha asili yake? Mwizi wa shati hawezi kuacha kuiba suruali ikikaa kwenye mapito yake. Wala mwizi wa maboga...
  16. JamiiForums Tanzania Wakati Mama mwenye nyumba akinunua goli kwa milioni 5, wananchi Ubungo wakosa daraja la milioni 12

    Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia kivuko hicho kutokuwa salama wakati wa kuvuka Inaelezwa kuwa hali hiyo wamedumu nayo kwa zaidi ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi hata kama hamjui kusoma, je hata picha hamuwezi kuangalia?

  18. JamiiForums Tanzania Nikiambiwa nichague Mataifa Matatu tu ya Wananchi wanaojielewa, werevu wapenda Haki, Maendeleo na siyo Waoga nitachagua haya...

    1. Kenya 2. Rwanda 3. Uganda Ukiona nchi yako unayoipenda haiko jua huenda huko kukawa kumejaa Wapuuzi na Mazuzu wengi kuliko hata Wao wanavyojijua.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kocha Nabi kaenda leo: Haya siyo matokeo ya wananchi

    Hivi kweli Yanga ndiyo timu ya kupata kagoli 1 tena baada ya wapinzani kupungua. Wakati hadi confederation CAF wanaijua. Alafu kocha Nabi hatumuoni kaenda wapi na kuiacha timu ikiwa taabani hivi. Kwa mwendo huu, yajayo ya Rivers United yatafurahisha
  20. J

    JamiiForums Tanzania RIPOTI YA CAG:TASAF, TANROADS ZAKALIA MAMILIONI YA FEDHA ZA WANANCHI

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini hundi zilizochacha zenye thamani ya Sh352.12 milioni zilitolewa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kwa waathirika wa miradi miwili mkoani Dodoma. Hali kadhalika, CAG alibaini kuchelewa kulipa fidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…