wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Bandari kavu kwenye makazi ya watu Mtaa wa Magogoni – Kigamboni ni hatari na kero kwa Wananchi

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu. Mojawapo imekuwa ikileta changamoto malori yanayosubiri kupakia na kushusha kontena yana-park barabarani na kutuachia...
  2. JamiiForums Tanzania Mwananchi ashangaa Tume kusema Vijana walilipwa bila kutaja aliyewalipa

  3. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Watawala wakubwa wanajihisi wao ni WATAKATIFU, Wananchi na wakosoaji ndio tatizo

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
  4. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Wananchi Wafichua Ukweli wa Uchaguzi

    Tume ilipata ushahidi mkubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida ambao walikuwa karibu na matukio. Walifichua kwa uwazi matukio ya kabla, wakati na baada ya uchaguzi na kutoa picha halisi ya yaliyotokea nchini. #UshahidiWaWananchi #TumeYaUchunguziReport Uwajibikaji Wa Haki
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Ruzuku ya Dizeli kulinda Wananchi

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua ya kulinda wananchi dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta duniani kwa kutoa ruzuku ya takribani shilingi 259 kwa kila lita ya dizeli. Kwa mujibu wa taarifa ya EWURA, mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya soko...
  6. JamiiForums Tanzania Ruzuku ya Dizeli: Serikali Yalinda Wananchi

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua ya kulinda wananchi dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta duniani kwa kutoa ruzuku ya takribani shilingi 259 kwa kila lita ya dizeli. Kwa mujibu wa taarifa ya EWURA, mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya soko...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania Responded Wananchi wa Mbagala Rangitatu wadai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara wakati kesi iko mahakamani

    Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026. Wananchi wanadai wana zuio la Mahakama Kuu na kesi ipo mahakamani ila Manispaa ya TEMEKE walifika ghafla Mei...
  9. JamiiForums Tanzania Ajali yaua wawili Mpanda, Wananchi wachoma gari

    Watu wawili wanadaiwa kufariki dunia baada ya kugongwa na gari walipokuwa wakisafiri kwa pikipiki, kufuatia gari hilo kupoteza mwelekeo, kuacha njia na kutumbukia mtaroni. Wakizungumzia tukio hilo, mashuhuda wamesema lilitokea katika mtaa wa Mpanda Hotel, ambapo waliogongwa ni dereva wa...
  10. JamiiForums Tanzania LHRC: Bila uhuru wa habari, sauti ya Wananchi hupotea

    Tanzania imeshuka katika viwango vya uhuru wa habari kwa mwaka 2025, hali ambayo imeelezwa kuwa inatokana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu. Akizungumza jijini Arusha katika kongamano la waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Festo Dugange: Serikali imetenga Sh Bilioni 200 kuwawezesha Wananchi Kiuchumi

    Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini kote, ikiwemo sekta za kilimo, ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi wa samaki, Ili kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia fursa mbalimbali za kifedha zinazotolewa na Wizara pamoja na mifuko...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Devolved Feast: Mabilioni Yateketea kwa “Office Tea” Wakati Wananchi Wanateseka

    Report ya uchunguzi ya NTV Kenya ya Machi 2026, “Devolved Feast,” imeibua mjadala mkali baada ya kufichua matumizi ya kifahari katika baadhi ya serikali za kaunti. Uchunguzi unaonyesha mabilioni yanatumika kwa vitu kama “pencils na papers” lakini kwa uhalisia hizi ni inflated office expenses na...
  15. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe amshukuru Waziri Mkuu kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano kwa kukagua miradi, kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa kuadhimisha miaka 62 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo ya daraja jipya la...
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Mamia ya Wananchi wamsimamisha Heche Magufuli bus Stand. Huu ni upendo mkubwa kwa CHADEMA. Watu wanahitaji ukombozi

    Upendo kwa Chadema
  17. JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi wa kiserikali ni kosa la kiufundi kujibishana na Wananchi. Unajiingiza na kuingiza serikali kwenye mitego ya kuchukiwa

    Hamjambo! 1. Kama Mtibeli jukumu langu ni kuwafundisha.. 2. Kwenye Saikolojia kuna kanuni za kumaintain power na kubaki na heshima. Bila kutumia nguvu na mabavu. 3. Hapa nazungumzia Stoicism (Ustahimilivu wa kihisia), ambapo mtu anachukua msimamo wa kutokujibu uhasama au changamoto za nje...
  18. JamiiForums Tanzania Iran inataka Vita viishe, Rais ataka wananchi wajibane

  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Pemba tuliathiriwa na Mradi wa Barabara ya Mtambile - Nanguji hatujalipwa fidia na hatuna pa kuishi

    Sisi ni Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Jimbo la Mtambile, Wilaya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba katika eneo letu tunaloishi kumepita mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mtambile hadi Nanguji inayojengwa na mkandarasi IRRIS. Malalamiko yetu mkandarasi huyu alijenga njia kwa kujaza kifusi kingi bila...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano Oktoba 29: Kero Halisi za Wananchi

    Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha, pamoja na kuoza kwa maadili ya kijamii. Hata hivyo, kero hizi halisi zilitumiwa vibaya na wanasiasa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…