wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali Iunge Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Tanganyika

    MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza mpango wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha Polisi katika...
  2. SoC03 Rushwa bado tishio kituo cha Polisi Mjini Shinyanga, wananchi masikini wanakosa haki zao

    Kituo cha Polisi kilichopo Wilaya ya Shinyanga hasa Polisi dawati la jinsia kwa kushirikiana na maafisa ustawi wa jamii wameendelea kuchukua rushwa na kuwanyima wananchi maskini haki zao hasa kwenye makosa ya ulawiti, ubakaji na makosa mengine ya jinai. Katika sheria kifungu cha 17 kinasema...
  3. B

    Hivi Musukuma anajikuta kama nani kuwatisha wananchi kiasi hicho?

    Asalaam Aleykum wana JF wenzangu. Rejeeni mada tajwa hapo juu. Mimi nikiwa kijana Mzalendo wa Kitanzania, huwa ninakerwa sana na baadhi ya wabunge akiwemo Joseph Kasheku aka Musukuma hasa kwa tabia zao za kuwaona wale wenye maoni ya tofauti na serikali (au maoni yao wenyewe) kama ni wajinga...
  4. K

    Ezra Chilewesa: Kwenye suala la Bandari, wananchi mtuache/tutaamua kwa niaba yenu

    Juzi kwenye mjadala kuhusu Bandari,nilimsikiliza Mbunge wa Biharamuro akiwataka wananchi kuwaamini wabunge wao(spika pia akakazia). Ezra anasema this time around wabunge hawatawakilisha mawazo na hisia za waliowatuma Bungeni, instead wabunge wataamua wanavyojua au kuambiwa wao. Swali ni je, Si...
  5. SoC03 Nafasi ya wananchi katika kuiwajibisha Serikali

    Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki yenye wakazi zaidi ya milioni 58. Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa, na wananchi wake wana haki ya kushiriki katika mchakato wa utawala kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuiwajibisha Serikali yao. Katika makala haya, tutajadili nafasi...
  6. Mwongozo kwa Vyama vya Upinzani katika Kulinda Haki za Wananchi

    Acheni janjajanja za kisiasa Acheni janjajanja za kisiasa na badala yake jikite katika masuala ya msingi na maendeleo ya wananchi. Epusheni siasa za matusi, ugomvi wa kibinafsi, na uzushi ambao hauchochei maendeleo na umoja wa taifa. Jitahidini kuwa wabunifu, na wajibika katika kuwasilisha...
  7. T

    Ya DP-World, ipite kura ya maoni kwa wananchi, la sivyo tutaendelea kulaani huu mkataba mpaka bahari itapokauka!

    Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila...
  8. U

    Umuhimu wa serikali kuwapa wananchi taarifa sahihi na kwa wakati

    Kuna yule binti Mtanzania aliyekuwa mshauri wa rais wa Zambia katika mahusiano ya umma, alisema kwamba, alipofika Zambia alikuta hali ni mbaya sana kuhusu usambazaji wa taarifa kati ya serikali na wananchi kwa sababu serikali ilikuwa haiwapi taarifa wananchi kwa wakati, hali iliyopelekea...
  9. K

    Uendeshaji wa Bandari zetu

    Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo mezani mfano vifungu vya mkataba na adhari ( + or -)zake kwa Taifa.
  10. L

    Serikali inatambua umuhimu wa Bandari ya Dar, haiwezi ikaibinafsisha. Puuzeni upotoshaji

    Ndugu zangu watanzania, Napenda kuwataarifu ya kuwa serikali ya Rais Samia Inatambua Umuhimu na upekee wa Bandari yetu ya Dar es salaam,Inatambua kuwa bandari hiyo ndio moyo wa uchumi wetu,ndio mboni ya Taifa letu kiuchumi,ndio Uti wa mgongo wa mapato yetu,ndio usalama wetu wa Taifa...
  11. R

    Jeshi la Polisi kaeni neutral kipindi cha uchaguzi ili wananchi wachague viongozi wao kwa uwazi na uhuru 2025 ili haya ya bandari yasitokee

    Kumekuwa na matukio mengi yanatokea kipindi cha hivi sasa. Mara punde taarifa ya kuhusu Bandari na DP world nk. Wananchi wamekuwa wanajilaumu kuwa japo uchaguzi ungekuwa wa haki basi wabunge wa upinzani wangekuwa bungeni na wangepambana na mambo haya yanayoendelea nchini kwetu. Lakini hivi...
  12. Nafurahishwa na muamko wa Wananchi kuhoji

    Nafurahishwa sana na namna watanzania Wana hoji juu ya rasilimali zao hii ni ishara kubwa sana "Political culture "ya Tanzania sasa inahama kutoka Subject political Culture kutokana na tafiti ya mwisho iliyofanywa na REDET (UDSM) Tanzania's Political Culture: A Baseline Survey ya 2000. Ni wazi...
  13. SoC03 Maendeleo ya Kweli: Kuhusisha na Kuwezesha Wananchi

    MAENDELEO YA KWELI: KUHUSISHA NA KUWEZESHA WANANCHI Imeandikwa na: MwlRCT Maendeleo ya kweli ni mchakato unaohitaji ushiriki wa wananchi wote. Ili kufikia maendeleo haya, ni muhimu kuhusisha na kuwezesha wananchi ili waweze kuchangia katika maendeleo ya jamii zao. Katika makala hii, tutajadili...
  14. Huenda Wananchi wengi wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake

    Wananchi wengi watakuwa wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake kwa kuuziwa na wauzaji wa maduka madomadogo maarufu kama maduka ya mangi na waha. Wauzaji wa bidhaa hizo aidha hawafatilii muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa zao ili wazitoe dukani au wengine hujua na kufanya kusudi kuwauzia watu...
  15. Sakata la Picha ya Mbunge wa Ngara Wananchi Wakana Kulazimishwa

    SAKATA LA PICHA YA MBUNGE WA NGARA WANANCHI WAKANA KULAZIMISHWA Wananchi na wakazi wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wamekanusha kulazimishwa kuweka picha ya Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ndaisaba Gerge Ruholo kwenye maeneo yao kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini...
  16. Wananchi wa Rorya watakiwa kushiriki shughuli za maendeleo baada ya Rais Samia kutoa Tsh Milioni 540

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi katika Kijiji cha Mkengwa. Juma Chikoka, DC Rorya amesema...
  17. K

    Bunge mnataka Wananchi watoe Maoni kuhusu Bandari kwa Mkataba upi? Kwanini unakuwa siri?

    Kunatafutwa namna ya kusema wananchi waliunga mkono. Wananchi wana ambiwa watoe mawazo kuhusu ubinafishaji bila kuweka wazi mkataba sasa mawazo yao hasa ni ya nini?
  18. Prof. Kabudi aibuka. Aililia tembo kuvamia Mashamba ya Wananchi wa Kilosa

    Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi amesema wananchi wa Jimbo la Kilosa wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa kwa tembo kuvamia mashamba na kuharibu mazao na miji ya watu na kwa muda mrefu wananchi hao hawajalipwa kifuta machozi kutokana na uharibifu huo. Pia, ameomba Wizara ya Maliasili...
  19. Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

    Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali. Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
  20. SoC03 Kiini cha utawala bora ni kuhakikisha kwamba wananchi wana sauti katika maamuzi yanayowaathiri katika maisha yao ya kila siku

    Imeandikwa na: Mwl.RCT Utawala bora ni mchakato muhimu katika kusimamia na kuongoza jamii kwa njia inayoheshimu na kuzingatia haki na maslahi ya watu wote. Hata hivyo, katika nchi nyingi za Afrika, utawala bora bado ni changamoto kubwa. Kuna ukosefu wa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…