wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lindi: Wananchi wasota na kivuko kwa siku 21. Waiangukia Serikali

    Wakazi wa Kata ya Kitumbikwera katika manispaa ya Lindi, wameiomba Serikali kuharakisha matengenezo ya kivuko kilichopo katika eneo lao ili waendelee na shughuli za uzalishaji mali. Kuharibika kwa kivuko cha MV Kitunda, kumesababisha wananchi hao kutumia boti zinazodaiwa si salama zenye...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Wananchi wenye taarifa kama Kichocheo cha Demokrasia Huru

    Kwa kutambua umuhimu wa ushiriki wa vijana, hasa katika vyuo vikuu, kushiriki katika mazungumzo na mijadala yenye habari kuhusu masuala na matarajio yao ya sasa, JamiiForums imeandaa mazungumzo yanayohusisha wanafunzi wa kozi mbalimbali wa chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT)...
  3. JamiiForums Tanzania Wapinzani tusimjibu Makonda. Tukimjibu tu tunajiharibia kwa wananchi

    Maana sisi ndio tulipaswa kupambana ili dhuluma , ufisadi na uonevu wa CCM uwekwe wazi. Lakini tumebako kubug'aaa tu. Leo hii wananachi wanataka kuona wazembe, mafisadi na wapigaji wanawajibishwa hadharani. Alafu eti tuanze kuropoka na kupinga. Tutajichafua kwa wananchi.
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: TANESCO hamtalala usingizi hadi wananchi wapate Umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kufikiri kila itakayoweza kutatua tatizo la upungufu wa Umeme Nchini na kama wasipofanya hivyo atahakikisha hawalali usingizi Pia, Dkt. Biteko amekiri kuwa TANESCO inakabiliwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Dar: Wananchi Mikocheni wagomea Kituo cha Mafuta kujengwa kwenye makazi yao

    Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao. Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023. === Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
  7. JamiiForums Tanzania Tembo Nickel yapewa siku 30 kulipa fidia kwa wananchi wanaoguswa na mradi

    Tarehe 14/11/2023 maelekezo hayo yametolewa kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Kuanza zoezi la ulipaji fidia Waguswa wa mradi huo ambapo wananchi wa vijiji vitano vya Kata ya Bugarama na Muganza wataanza kulipwa fidia zao hivi karibuni. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Anayemuelewa Makonda anaeneza nini atuambie, sisi wananchi tunona kama haeleweki

    Mara apande Baiskeli, mara Troli na saa nyingine unaona kama vile amelazishwa kufanya baadhi ya matukio. Ni kweli CCM ilishakufa na hakuna namna ya kuizindua tena si Makonda wala nani. Kwani mpaka imwshindikana wakaamua kumtafuta mtu waloyemtupa nini ilikuwa shida? Ccm imemshinda Mjema...
  9. JamiiForums Tanzania Mpanda: Wananchi waondokana na adhaa ya maji ya visima

    Wananchi wa Mtaa wa Tulieni iliyoko Kata ya Nsemulwa, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamesogezewa huduma ya maji safi mara baada ya mradi wa kutanua mtandao wa maji safi kukamilika katika mtaa huo. Hadija Kunja na Saidi Ramadhani ni wananchi wa mtaa huo wamesema kwa muda mrefu Wananchi wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco na kuhadaa wananchi mara kina cha maji, mara uchakavu wa mitambo. The story will never end

    Hivi kwanini wa TZ ni mazumbukuku. Kila uwongozi ukija TANESCO wanakuja na same story lakini wa TZ wanasahau walichoambiwa nyuma. Ni upole ama ni ujinga. Mvua inanyesha sasa hivi natumaini bwawa limejaa. Lakini bado mgao. Mitambo inatengenezwa kila uwongozi lakini haiponi. TZ bwana !! Mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Heche apeleka mvua kubwa Tarime, mkutano wa Makonda wasambaratika, wananchi watimka mbio

    Kuna watu "wataalamu". Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani. Shikamoo Heche
  12. JamiiForums Tanzania Kuna wimbi kubwa nimeingia nchini la kuwahadaa wananchi kuwa barabara zinajengwa kumbe hazijengwi!

    Watanzania ni Wale na huwa hawana nia ya kusahau wanachiambiwa ila vitu vingi wanafanganywa. Kuna ujenzi wa barabara nchini mikataba ilisainiwa ya ujenzi wa barabara wa kilometers 2,000 haijulikani kinachoendelea. 2. Barabara ya Kimaro kwenda Chalinze haijulikani kinachoendelea. 3. Tarime kwenda...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete aishukuru DAWASA kutatua changamoto ya maji Chalinze. Rais Samia atoa fedha kusambaza kwa wananchi

    Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete ameishukuru serikali na Uongozi wa Wizara na DAWASA kwa kutatua tatizo la Maji katika halmashauri ya Chalinze. Akiongea mbele ya Kamati ya Bunge ya Mitaji kwa Umma, Mbunge huyo wa Chalinze...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda Msafara wake wasimamishwa na maelfu ya wananchi wa Ilemela

    📌📌 WANANCHI WA ILEMELA WASIMAMISHA MSAFARA WA MWENEZI MAKONDA KUMPA PONGEZI ZA RAIS SAMIA NA KUSIKILIZA KERO ZA STENDI YA MABASI YA NYAMONGORO Wananchi, Wafanya biashara na Wadau mbalimbali Wilayani Ilemela wamesimamisha msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Longido Wafukuzwa kwenye vijiji vyao

    Ndugu wana jf ni siku za karibuni tuu wananchi wa Loliondo ngorongoro wameondolewa kwenye maeneo yao ya asili...na sasa zoezi hilo limeshaanza wilaya ya Longido ambapo vijiji zaidi ya 30 vya mlima wa Ketumbeine na Gelai wameambiwa waondoke haraka kwenye maeneo yao ambayo wameishi kabla hata ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa tahadhari kwa Wananchi kipindi cha Mvua

    Ili kuepuka au kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kuletwa na mvua kubwa au mafuriko, Wizara ya Afya inatoa rai kwa wananchi kuchukua tahadhari zifuatazo wakati wa mafuriko: 1. Watahadharishe watoto na watu wengine kukaa mbali na mitaro ya maji, nguzo za umeme, kuta za nyumba na maeneo...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Waziri na mbunge wa Tanga akila kwa anasa huku akisahau wananchi jimboni kwake wana dhiki

  18. JamiiForums Tanzania Kweli Wananchi Wamechafukwa. Soma!

    Picha chini ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, tarehe 11 Novemba, 2023 ameshiriki matembezi ya Jeshi la Polisi yenye lengo la kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) (Mimi naona wanakimbia hawa)
  19. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

    Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU Wananchi wote mnakaribishwa
  20. JamiiForums Tanzania Mpanda: Wananchi wakerwa kutogawiwa mashamba mapema

    Wakazi wa Vijiji vya Matandalani na Mtisi vilivyopo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamekerwa kwa kucheleweshwa kugawiwa mashamba mapema ambapo wamekuwa wakiahidiwa na Ofisi ya Ardhi kwa lengo la kutekeleza zoezi hilo lakini utekelezaji unasuasua ambapo maeneo hayo yalirejeshwa kwa Wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…