peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,830
- 21,460
Watanzania ni Wale na huwa hawana nia ya kusahau wanachiambiwa ila vitu vingi wanafanganywa.
Kuna ujenzi wa barabara nchini mikataba ilisainiwa ya ujenzi wa barabara wa kilometers 2,000 haijulikani kinachoendelea.
2. Barabara ya Kimaro kwenda Chalinze haijulikani kinachoendelea.
3. Tarime kwenda Mugumu, haijulikani kinachoendelea.
4. Santa Juu kwenda Longido haijulikani kinachoendelea.
5. Tanga kwenda Dar kupitia Pangani na Bagamoyo haijulikani kinachoendelea.
6. Geita kwenda Kahama ni Siri yamungu!
7. Ring roads Za Dodoma mjini kms 120 haijulikani kinachoendelea.
8. Tengeru Arusha kwenda Holili ni hewa.
9. SGR Dar Moro imelala usingizi.
Serikali inataka kuwaambia nini wananchi!!!