wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Chato: Wananchi hawamtaki Manunga awe mwenyekiti wa halmashauri. CCM Taifa wanalazimisha

    Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70. Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi. Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
  2. Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  3. Wananchi ndio nguvu yenu ya kuwapa mapato ila mnachokifanya mnajinufaisha wenyewe Wilaya ya Kahama

    Leo nipo mkoa wa shinganya wilaya ya kahama kikazi. Hongereni kwa kupewa manispaa sasa. Il nilichogundua kahama ina mchanganyiko wa watu wengi sana na wanachi wamejenga yani majengo unayokutana nayo ukiambiwa hapa ni kahama kwenye picha utabisha. wilaya ya kahama imetanuka sana kwa kahama...
  4. Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana

    Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana.
  5. Songea: Baada ya malalamiko ya Wananchi, RC wa Ruvuma afanya ziara kukagua Soko la Bombambili na masoko ya Manzese A

    Baada ya Wananchi na Wafanyabiashara kulalamika kuhusu hali duni ya mazingira katika Soko la Bombambili, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Abbas Ahmed Abbas amefanya ziara ya kukagua soko hilo pamoja na masoko ya Manzese A na B yaliyopo Manispaa ya Songea. Katika ziara hiyo, Mkuu wa...
  6. Issue sio Madini, Migodi, Rasilimali, Je vinasaidia nini Wananchi?

    Mdau mmoja akiwa nchi za nje ameshangazwa na namna ubora wa miundo mbinu ilivyo huko Ulaya, licha ya kwamba hakuna Rasilimali za kutosha ukilinganisha na nchi za Africa. Amesema kuwa nchi nyingi za Afrika zinatabia ya kujigamba kuwa na madini na Rasilimali nyinginezo, lakini hakuna...
  7. RC Serikali na wananchi sio wajinga kiasi hicho mnachodhani

    Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati. Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na...
  8. Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika

    Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja. Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
  9. Rasmi CCM ni chama cha serikali. Hakijali matakwa wala matamanio ya wananchi

    Kwa kushindwa kulaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba, CCM kimekuwa chama cha serikali. Makosa ya erikali yana baraka za CCM. Watu kuuawa mithili ya nzi tarehe 29 Oktoba, CCM iko kimya Nani atakiamini tena chama hiki ambacho sasa kinakosa uungwaji wa wananchi wengi hasa baada ya vurugu za siku hiyo...
  10. K

    KERO Nyegezi, Mwanza wananchi wanalia na mgo wa maji! Ndugu zangu Afrika ni laana

    Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi? ni Afya? ni Elimu? ni nini hasa? Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji! Mwanza wanalia mgao wa maji? Sio siri jamani sisiemu nchi imewashinda mkubali tuu
  11. Wananchi wanayo haki ya kumpindua samia wanapo kunyima kazi unatakiwa hujiuzuru hii ni nchi ya kidemokrasia wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho

    Wananchi wanayo haki ya kumpindua samia wanapo kunyima kazi unatakiwa hujiuzuru hii ni nchi ya kidemokrasia wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho. Wananchi ndio wanauwezo wa kumpa kazi mtu yoyote awe rais na ndio wana uwezo wa kutengua raisi sasa kama wakimkataa ataongoza wakina nani ? D25...
  12. L

    Maelezo Yaliyotolewa na Malisa Ni Ya Uongo Na Uzushi Mkubwa. Wananchi Puuzeni Taarifa Hizo. Hali ya Usalama ni Shwari Kabisa

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  13. Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
  14. Mwigulu: Fedha si za serikali ni za wananchi

    "Duniani kote hakuna fedha inayoitwa ya serikali; serikali ni mratibu tu. Miundombinu yote inayojengwa ni fedha yenu [wananchi], iwe imekusanywa siku hiyo hiyo au iwe ya mkopo." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mkoa wa...
  15. Hizi ndio akili za wananchi wanaotaka mabadiliko?

    Hapo si kujichotea tuu aisee, ni kama tuu shamba la urithi ukiishiwa unakata kipande 20*20 unauza, ndugu hawana noma.
  16. R

    Thomas Sankara: Rasilimali za nchi zinapaswa kuwanufaisha wananchi wote, si kuwatajirisha wachache

    Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi na Rais wa Burkina Faso kutoka 1983 hadi 1987, alitoa kauli hii kama sehemu ya maono yake ya taifa linalojitegemea na lenye usawa. Serikali yake ilitekeleza sera nyingi zinazolenga kupambana na ufisadi, kukuza ustawi wa jamii, na kuhakikisha kuwa...
  17. Q

    Serikali isiyojali matatizo ya wananchi wake, isitegemee kulipwa Uzalendo. Hiyo ni principle asili ya maisha

    Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini. OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
  18. Ndani ya siku sita hivi kuna taarifa nzuri wananchi watapata ,ila itakuwa kilio upande wa pili, japo kilio cha kinafki.

    Sina maneno mengi. Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6. Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
  19. Kwanini wananchi waTanganyika hasa mitandaoni wanawaona JWTZ kama WASALITI?

    Utaona hilo kwenye comments walizotoa kwenye picha zilizopostiwa jana wakati rais Samia anazungumza na wakuu wa Kamandi na viongozi wengine wa jeshi. Why? Je, wananchi wamepoteza imani na jeshi lao lililokuwa tegemeo kwenye maandamano ya Mo29 au D9?
  20. Umeingiza Mercenaries kuua Wananchi, umewazika kwenye makabuli ya halaiki halafu unajificha kwenye kichaka eti Jeshi lisishawishiwe kisiasa?

    Siku chache zilizopita akiwa anahojiwa na Waandishi wa Habari, Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema wazi kuwa kutokana na mwenendo mbovu wa Viongozi wa kisiasa barani Afrika hatoshangaa Mapinduzi ya kijeshi kuendelea kutokea katika Nchi za kiafrika. Jana akiwa anahutubia Makamanda wa JWTZ, Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…