This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kuwa mawazo na maoni halali yanayotolewa kupitia mfumo halali wa kukusanya maoni na mapendekezo ya wananchi kupitia mikutano yao ya vijiji,kata na mabaraza ya madiwani hayapati fursa stahiki kulifikia bunge kupitia wawakilishi hawa wa wananchi.
Badala yake bungeni...
Habari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga...
Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu.
Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
Wakazi wa maeneo ya Ipogolo Kitwiru na mengine ya karibu mjini Iringa wamekusanyika katika eneo la Eso mjini Iringa kushuhudia boti ya uokoaji inayoelekea ziwa Victoria jijini Mwanza huku wakisifu juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika kuboresha maisha ya watu wake
Soma Pia:Boti...
Wananchi katika Kila taifa wanalipa kodi nyingi kwa njia mbalimbali, hata yule anaenunua kibanio cha nguo na kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia amelipa kodi. Kila muuzaji wa kitu chochote ni wakala wa TRA, anakusanya Kodi kutoka kwa wananchi wote na kuzipeleka serikalini. Na Kuna watu wanalipa...
Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson likielekea ukiongoni kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kumekuwa na maoni ya kupwaya kwa Bunge hilo kwa kushindwa kufikia malengo ya Wananchi wanaowakilishwa zikiwamo changamoto za utawala bora, uchumi na kijamii.
Hayo...
Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana.
Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma.
CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
awasili
furaha
jijini mwanza
maelfu
mapokezi
mbona
mkoani
mwanza
oktoba
oktoba tunatiki
rais
rais samia
samia
simiyu
tabasamu
tube
video
wananchi
wenye
you tube
Katika hali ya kawaida, mbogamboga huonekana kuwa chakula salama na chenye faida nyingi kiafya. Hata hivyo, katika muktadha wa miji au Majiji makubwa kama makubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Arusha na Mwanza, mboga hizo zinaweza kugeuka kuwa chanzo cha hatari ya kiafya kwa wananchi wengi maelfu...
Idadi kubwa ya wakazi kutoka maeneo mbali mbali ya mkoa wa kagera wamekiri kupata fursa kubwa ya kipato kutokana na kufanya biashara ya wadudu aina ya senene.
Wakizungumza katika mahojiano maalum na Kcr fm wakazi hao akiwemo Mektrida Leonard wamesema katika msimu wa senene wamekua wakipata...
Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .
Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
Anayeweza kunisaidia kufafanua bot inayosafirishwa kupita mikoa zaidi ya 4 kwa siku 30 kwanini lisingesafiri kwa maji kutoka Mtwara mpaka Mombasa Kenya kisha, wasafirishe mpaka bandari ya Kisumu kisha iingie kwenye maji yenyewe mpaka Mwanza?
Wataalam walitumia tathimini gani kuona njia...
Licha ya kupewa kibali cha kufanyia mikutano ya hadhara kwa sharti la kulinda amani, lakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ameonekana kushindwa kutumia uhuru aliopewa na sasa ameanza kuamuru vijana wake kuanza kuwapiga wananchi wanaokwenda kuwasikiliza ajenda zao mfu za No Reforms No Election...
Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Shaaban Ali Othman kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Taufiq Turky pamoja na Madiwani wametoa sadaka ya sikukuu kwa wazee, watu wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu ikiwa na lengo la kuwasaidia kipindi hiki cha sikukuu...
Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
Wasalam!
I declare!
PATRIOTISM FORWARD
PIA
SIASA NI DINI MPYA.
Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku.
Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
Watanzania wenzangu.
Nafikiri tumsaidie Rais kuwa taja na kuwashambulia ile sistem ya mfumo uliopo CCM ili wajijue na watambue wanajulikana.
Umeme wa moto umembana huyu mama akigusa tu anakwenda chali. Sasa kilichabakia tujitahidi kuwajua kwa majina hao wanaosimamia huo mfumo wa kibepari...
Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...