This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Licha ya Sheria ya Mazingira, 2004 kukataza upigaji wa kelele unaosababisha kero kwa Wananchi, bado suala hilo limekuwa kero katika maeneo mbalimbali nchini.
Sheria hiyo kifungu cha 3 inatafsiri kuwa kelele ni kila uchafu zi usababishwao na sauti ambayo kwa asili inakataliwa au ile iwezayo...
Tumeona mara kadhaa Rais akikataa Wabunge fulani fulani wasipitishwe, kauli maarufu ni hile ya msiniletee Magwajima.
Wananchi hawana tena uamuzi kwa kuchagua kiongozi wanayemtaka zaidi ya mamlaka kupanga nani awe mbunge, serikali kuu inaingilia maamuzi ya muimili mwingine ambao ni bunge...
Hilo ni jukumu ambalo wananchi kutoka kata na majimbo yote wameikabidhi CCM kuhakikisha kuwa viongozi wenye tija,weledi,hofu ya Mungu na kaliba inayofanania wanapitishwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi huu wa 2025.
Tuwape haki hii!!Tunajionea wanavyojitokeza kusema!
Mh. Jaji Mkuu,
Kwanza nikupongeze sana sana sana kwa kuchaguliwa kuwa Jaji wetu Mkuu wa Tanzania.
Wakati huu unaingia, tunakumbuka kuwa Jaji wetu mstaafu alikuwa akisisitiza sana sana haki na utawala bora. Mungu ambariki.
Pamoja na haya, wapo baadhi ya mahakimu wanaosumbua sana wananchi, hasa...
Padri Kitima Kwa sasa Viongozi wapo juu ya wananchi, Hawawasikilizi tena Wananchi wanalalamika lakini wanawapuuza kama sisi wanavyotuuza, sasa hicho kiti kizuri kwa sababu unapowanyanganya watu madaraka ya kutawala nchi yao unajenga obwe la uwajibikaji na hapo hapo tujahakikisha unadumu madarakani.
Swali la baadhi ya wananchi;
Mhe. Waziri GwajimaD, hivi hawa wasaidizi wako hawana msaada hadi useme sisi tukuletee matatizo ya nchi nzima wewe?
JIBU: wasaidizi wangu wana msaada mkubwa na wanafanya kazi kubwa sana na kilichotakiwa ni iwapo hamjapata huduma kwao basi, mje rufaa ya malalamiko...
Wananchi mbalimbali wa Kitongoji cha Mtukura - Iriba, Kijiji cha Isenyi, Kata ya Nyakasasa wakielezea jinsi maboresho ya miundombinu yalivyokuwa na faida kwao kwa kuwa ni changamoto ambayo imekuwa ikiwasumbua kwa muda mrefu.
Barabara hizo zinaendelea kufunguliwa kwa kutumia mitambo ya Mbunge wa...
Wananchi wa Kata ya Terati, jijini Arusha, leo Julai 6 wamefunga barabara ya Mapambazuko wakipinga uteuzi wa mgombea udiwani wa CCM, Julias Lenina, ambaye amemaliza muda wake, lakini jina lake limeteuliwa tena kuwa miongoni mwa watakaopitishwa kuwania nafasi hiyo.
Wakieleza sababu za hatua...
Wakati joto la maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 likizidi kupanda, wananchi wametakiwa kuchukua nafasi ya kipekee katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa, wakihimizwa kuepuka ushawishi wa fedha na zawadi zinazolenga kununua dhamira zao za kisiasa.
Wito huo...
Tufanye tathmini ya bunge la Kasi na viwango la comrade samwel SITA na hili ambalo binafsi sijui lilisimamia nini maana wananchi walitekwa wakauwawa na Bado spika akazuia bunge kuiuliza serikali je lipi lilikuwa bunge Bora?
Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) wameonesha kuridhishwa na huduma zinazotolewa na wizara hiyo.
Wakizungumza katika banda la Wizara ya Ardhi tarehe 4 Julai 2025 katika maonesho hayo...
Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji.
Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
Hili swala nilitaka kuliongelea mda mrefu sana hasa kwenye swala la mbunge wa babati alichomfanyia kijakazi wake nikaghairi
Ila siku za karibuni nimeona mijadala mingi kuhusu Director of Public Prosecution yafutayo ni maoni yangu juu ya nafasi ya DPP
Awe anachaguliwa na wananchi
Atakuwa chini...
Baadhi ya wakazi wanaoishi karibu na eneo linalodaiwa kujengwa Kanisa la Arise and Shine (Kawe), linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wameeleza malalamiko yao kuhusu athari zinazodaiwa kusababishwa na ujenzi huo.
Wakizungumza Julai 1, 2025, Saa tatu asubuhi mbele ya Mkuu wa Wilaya ya...
Wakuu hili lina ukweli au ni porojo tu? mnatutia wasiwasi wanachama na wapenzi..
Kama ni kweli semaji atapanda nini sherehe ijayo? mbwa, fisi au?
Je yanga hawawezi kuchukuliwa hatua kwenye hili wakuu maana yule tayari alikuwa alama yetu wekundu?
Je kama ni kweli je kanuni hazijakiukwa kweli hapo?
Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka kungepelekea Taharuki ambayo ingewainua Wairan na kuwafanya waingize Barabaran na kupindua Serikali yao kama...
Moja ya hoja zilizopendekezwa na wananchi katika rasimu ya Katiba mpya ya Tume ya Warioba ilikuwa ni kuweka ukomo wa vipindi vya mtu kuwa mbunge. Mapendekezo yalisema ukomo uwe vipindi vitatu, hata hivyo, Rais Kikwete na bunge la katiba waliikataa hoja hiyo.
Kama ilivyo duniani kote, utumishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.