This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Wakuu,
Wananchi wa Kisesa wanaonekana wana mahaba na mbunge wao licha ya kuchabangwa na Rais.
Umati mkubwa wa wananchi wa Mwandoya waliokuwa wamehudhuria mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, wameshindwa kujizuia kwa furaha waliyonayo, na kujikuta wakimsindikiza hadi...
1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani
2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi
3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo isimamia serkalo na siyo bunge serikali
4. Chaguzi zetu ziwe na mashiko na sio za bora lipite...
Katika jamii nyingi za Kiafrika, hususan katika mataifa yanayoendelea, mwananchi wa kawaida amewekwa kwenye mzunguko wa ujinga wa kimfumo, ujinga ambao hauhusiani na kutokujua kusoma na kuandika, bali ni ujinga uliopandikizwa kwa makusudi na mfumo wa kisiasa unaonufaika na kutojitambua kwa...
"Athari za ukubwa wa deni la Serikali linaangukia kwenye mabega ya wananchi wanyonge. Wananchi wanaongezewa kodi, ushuru na makato katika huduma muhimu kama vile umeme, elimu, afya, maji na kodi kwenye mazao ya kilimo ili kulipa madeni haya.
Mathalani mwaka huu 2024/25 Serikali imepanga...
Serikali kwa maana ya kwamba viongozi husika (Raia nambari 1 hadi 10) wanawajibu wa kuleta majibu yenye mashiko juu ya maswali haya.
Niliwahi kuona mbele ya muda exactly nini kitatokea na kikaja kutokea na nikaandika;
"Thread 'Hukumu ngumu(bias) katika mashtaka mepesi' Hukumu ngumu(bias)...
Wakuu,
Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu.
Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 19 Juni, 2015
https://www.youtube.com/watch?v=j2aFvrKFZxM
Rais Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega...
Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu
Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
Huo ndo ukweli mchungu ,
Viongozi ndo picha ya halisi ya JAMII husika
Akili kubwa haiwezi kukubali kuongozwa na akili NDOGO
Vipaumbele vya viongozi ni vipaumbele vya jamii husika
Tunalaumu viongozi wanunua magari ya mabilioni kwenda kuzindua miradi ya mamilion au kutembelea wananchi wasio na...
Tuseme kidogo juu ya Waziri Bashe, aliyesoma Ushirika, lakini anapenda aitwe ni mchumi.
Aliingia wizara ya Kilimo kwa nadharia mfu za BBT. Akapiga keleleee! Eti akukusanya vijana mijini ili wakalime Dodoma! Yaani wakalime Dodoma! Gharama kubwa za kutia mashaka zikatumika kujenga miradi ya BBT...
Rais atafika Mwanza kuzindua daraja la Busisi Kigongo lakini wananchi wanashangazwa pia na dana dana zinazopigwa kukamilisha uwanja wa ndege wa Mwanza na kuufanya wa kimataifa.
Ni kweli kwa hili tunaidai Serikali kwa vile ni shs bn 3 kati ya 28 zimetolewa hadi sasa kipindi cha miaka miwili...
Nendeni huko katika Mtandao wa TOUR AND TRAVEL WORLD mkajisomee wenyewe. Halafu inasemekana kutokana na yanayoendelea baina aliyeko ndani na mshika mpini ni kwamba Rais Trump anaweza kumzuia hata mshika mpini nae asisafiri kwenda Marekani.
Ni ukweli usiopingika kuwa mawazo na maoni halali yanayotolewa kupitia mfumo halali wa kukusanya maoni na mapendekezo ya wananchi kupitia mikutano yao ya vijiji,kata na mabaraza ya madiwani hayapati fursa stahiki kulifikia bunge kupitia wawakilishi hawa wa wananchi.
Badala yake bungeni...
Habari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga...
Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu.
Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
Wakazi wa maeneo ya Ipogolo Kitwiru na mengine ya karibu mjini Iringa wamekusanyika katika eneo la Eso mjini Iringa kushuhudia boti ya uokoaji inayoelekea ziwa Victoria jijini Mwanza huku wakisifu juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika kuboresha maisha ya watu wake
Soma Pia:Boti...
Wananchi katika Kila taifa wanalipa kodi nyingi kwa njia mbalimbali, hata yule anaenunua kibanio cha nguo na kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia amelipa kodi. Kila muuzaji wa kitu chochote ni wakala wa TRA, anakusanya Kodi kutoka kwa wananchi wote na kuzipeleka serikalini. Na Kuna watu wanalipa...
Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson likielekea ukiongoni kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kumekuwa na maoni ya kupwaya kwa Bunge hilo kwa kushindwa kufikia malengo ya Wananchi wanaowakilishwa zikiwamo changamoto za utawala bora, uchumi na kijamii.
Hayo...
Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana.
Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.