wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    PreGE2025 Maajabu: Kweli huu ni Wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania. Angalia namna CCM na Mapandikizi yao yanavyokataliwa waziwazi na Wananchi!

    Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini. Kuna namna Mungu anafanya jambo kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli, ulaghai na dhuluma za Chama cha Mapinduzi na Mapandikizi...
  2. figganigga

    Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

    Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
  3. H

    Jimboni Ruangwa, Kwa Majaliwa, Wananchi Waunga Mkono NO REFORM NO ELECTION

    Sote tunafahamu kuwa uchaguzi wa 2020 ulituletea Waziri Mkuu ambaye ni kinyume cha Katiba. Katiba yetu inatamka wazi kuwa Rais atamteua mbunge mmojawapo aliyechaguliwa na wananchi kuwa Waziri Mkuu, ma atathibitishwa na Bunge. Waziri Mkuu tulite naye hakuchaguliwa na kura hata moja ya...
  4. M

    Kwa huu usaliti unaofanywa na genge la Mbowe iwajulishe wananchi kuwa Mbowe alikuwa ni kikwazo kikubwa cha mabadiliko ya kweli nchini.

    Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa! Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa miaka yote hii alijenga chama huku akiwa na mawazo ya udalali wa kisiasa kwa maslahi binafsi...
  5. Upekuzi101

    PreGE2025 G55 mtapigwa mawe na wananchi huko mtaani kama wazo lenu ni kuzunguka nchi nzima kukwamisha No Reform, No Election

    G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani. Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi...
  6. T

    Ally Kamwe akataa uchawa; Aziheshimisha taasisi za kiraia mbele ya serikali

    NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali: 1. Nina shughuli yangu sitaki kiongozi wa serikali aje ! 2. Nina hela yangu ya mfukoni nitatumia in one day kulisha wananchi ( ng'ombe...
  7. Just Pray

    PreGE2025 Baadhi ya wananchi wamewataka wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu

    Baadhi ya wananchi mkoani Morogoro wamewaasa wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wanatumia mgongo wa siasa kumbe ni wanaharakati. Wakizungumza na JAMBO TV wananchi hao Ismail Rashidi, Ally Mtoela na Salumu Majaliwa wamesema kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  8. Ojuolegbha

    PreGE2025 Katibu Mkuu CCM, Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Mbinga Mjini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake ya siku tano, katika Mkoa wa Ruvuma, leo Jumamosi tarehe 5 Aprili 2025.
  9. ELI COHEN

    Maswala gani matatu utaanza nayo ili kuufufua uchumi wa nchi hii endapo utapata nafasi ya juu katika uongozi?

  10. Tlaatlaah

    WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
  11. Waufukweni

    Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi. Askari huyo alikimbilia basi...
  12. Nipe Maji

    Afisa afya Makete: Wananchi acheni kula ngedere na nyani mtaambukizwa Mpox

    Wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wametakiwa kuepuka tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono sambamba na kuacha kutumia vitoweo vya wanyama kama Nyani pamoja na Ngedere ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Mpox. Kauli hiyo imetolewa na Afisa afya halmashauri ya wilaya ya Makete na...
  13. and 998 others

    Wananchi wamuomba Dr Godwin Mollel agombee tena ubunge jimbo la SIHA (2025-2030)

    Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
  14. peno hasegawa

    Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025: Wananchi Mkoa Mbeya, wakubaliana na Kauli Mbiu ya Kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi 2025

    Katika muktadha wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, wananchi wa Mkoa wa Mbeya, pamoja na wilaya zake zote, wameonyesha hisia za kutoridhika na hali ya kisiasa na kiuchumi nchini. Kauli mbiu yao ya "Kama hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi" inatoa mwangaza wa wazi juu ya matarajio yao. Wananchi hawa...
  15. Nipe Maji

    PreGE2025 Musoma: REA yatoa elimu kwa wananchi kuhusu kutumia fursa ya miradi ya REA, wananchi waomba huduma hiyo ifike maeneo yote ambayo bado hajafikiwa

    Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu. Hayo yamejiri wakati Wataalam wa REA walipofika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kutumia fursa ya miradi ya REA...
  16. Nipe Maji

    DAWASA yapokea maombi zaidi ya elfu nne kutoka kwa wananchi wanaohitaji kuunganishiwa huduma ya maji

    Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imepokea maombi ya maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya elfu nne wa maeneo ya Bangulo, Kata ya Pugu Stesheni Wilayani Ilala waliojitokeza kuomba huduma ya Majisafi baada ya kukamilika kwa mradi wa Usambazaji maji Dar...
  17. Nipe Maji

    PreGE2025 Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya, Saranga jijini Dar es Salaam wachangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege

    Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya eneo la kwa Mzungu kata ya Saranga jijini Dar es Salaam wameonesha kwa vitendo umoja wao kwa kuchangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege ili kupunguza adha waliyokua wakiipata kutokana na ubovu wa njia hiyo hasa kipindi cha mvua. Barabara...
  18. Nipe Maji

    PreGE2025 Wananchi walalamikia kutokushirikishwa kuibua na kutekeleza miradi ya maendeleo

    Wananchi wa Kata ya Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, wamelalamikia kutoshirikishwa katika kuibua na kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ya elimu na afya hivyo kushindwa kusimamia uwajibikaji na kulinda miundombinu ya miradi hiyo inayogharimu mamilioni ya fedha za umma. Wananchi hao...
  19. Just Pray

    Pwani: Watu wasiojulikana wakidaiwa kuwa ni polisi wabomoa nyumba na kuchoma moto mali za wananchi wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo

    Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo. Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
  20. Nipe Maji

    PreGE2025 Damas Ndumbaro: Mama Samia Legal Aid imewafikia wananchi zaidi ya milioni mbili

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mpaka sasa imefika katika mikoa 23, ambapo imesikiliza na kutatua kero na changamoto za Wananchi ambapo mpaka sasa takribani wananchi milioni mbili, laki moja na tisini na mbili, mia tatu...
Back
Top Bottom