wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 DC Haniu: Wananchi jitokezeni kupiga kura Oktoba 29, msikubali wasio na nia njema na Nchi

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025. Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi Cameroon waandamana wakitaka Matokeo halali ya Uchaguzi kuheshimiwa

    Hali ya wasiwasi imekithiri katika miji mbalimbali ya Cameroon, kufuatia madai ya ushindi yaliyotolewa na mgombea wa upinzani, Issa Tchiroma Bakary, katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 Soma Kiongozi wa Upinzani ajitangaza Mshindi wa Urais Cameroon, amuomba Rais Paul Biya...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi, viongozi wanawatoa wananchi akili? Wanajitoa akili au wao ndio hawana akili?

    Mwaka 2025, bado wanawauzia wananchi hofu, eti "tunu hii ya amani tuilinde" Amani gani ? Na wanaposema amani wanamaanisha "uninga wa wananchi", so wananchi waendelee kuwa wajinga ili wao wazidi kuneemeka na watoto wao, wakitumiana miamala ya ma bilioni. But this is the end.
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Nimejiuliza why wananchi wamempokea na kumjadili huyu mwanajeshi. Jibu, wananchi wanataka utulivu na nchi yao

    Tumeonya sana sana kama watu wa Mungu , machawa yakaona sie mataira ,kumbe lengo letu ni moja ilikua kuliponya Taifa . Huwezi ongoza taifa ambalo liko katika wakati kama huu, hakuna Duniani kote hata waliojaribu , mnajua what happened, narudia ipo nafasi ya kuliponya Taifa . 1. Sitisha...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi Serikalini Wanataka Wananchi Mkinukishe Kwanza ili Wawaunge Mkono

    Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka. Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi. Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna huyu Kitumbo amewaahidi wananchi wa Cheyo Tabora kutatua changamoto za barabara

    Mgombea Udiwani kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora Yusuph Kitumbo amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kutatua kero ya Barabara mara baada ya kuachaguliwa kuwa Diwani wa kata hiyo. Kitumbo ameyasema hayo leo October 4,2025 wakati wa uzinduzi wa Kampeni katika kata hiyo uliofanyika Katika viwanja vya...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu, Wananchi wasipojitokeza kuandamana 29th October

    Kuna kila dalili huenda wakajitokeza wachache wakakamatwa au wasijitokeze kabisa. Baada ya 29th October itakuwa wakati mzuri wa wanaharakati wa Tanzania kukata tamaa. Watanzania inabidi waachwe kwenye mateso na changamoto ambazo zitaamsha akili zao bila kuwepo yeyote wa kuwasemea. Idadi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wananchi tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura mafisadi barabarani, ikulu, na bungeni

    Wananchi tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura mafisadi barabarani, ikulu, na bungeni, Sisi tutawapa kura za kutosha kama wanavyotaka.
  9. JamiiForums Tanzania JWTZ mmeona ya Polepole? Mmeona Wananchi wanavyotekwa na Kuuawa? Mmeona Ufisadi wa Viongozi?

    Jeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini? Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude? Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Inadaiwa baadhi ya Wananchi wa Mbeya leo wakipokea posho ili wakajaze mkutano

    Hayo mambo kwakweli ni ya aibu, huwezi kulazimisha watu wakupende. Mbeya hiyo leo inadaiwa wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi...
  11. JamiiForums Tanzania Birthday ya Kikwete na maoni ya wananchi

    Ridhiwani kapost picha mtandaoni akiwa na babaake na kumtakia birthday njema.. Maoni yaliyofuata ya wananchi yanaumiza na kufikirisha sana
  12. JamiiForums Tanzania Habari njema ni kuwa JWTZ ndio Taasisi pekee ilobakia yenye Kibali Cha Wananchi Nchi nzima na inayoungwa Mkono na Ulaya, Marekan na Nchi Wahisani.

    Lolote lile litakalifanyoka na Vijana wa JWTZ wanaokerwa na Utekaji, Uuaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya Kuua Viongozi wa Dini ya Ukristo, kubagaWa Kwa Rasimali za Nchi n.k ,lolote lile liyakalifanywa na Wazalendo Hawa. NCHI NZIMA ITAWAWAFANYIA SHEREHE, JUMUIYA ZA KIMATAIFA...
  13. JamiiForums Tanzania Haya yote yanatokea sababu wananchi hawana pa kusemea

    Ni kwamba serikali na viongozi mlitegemea nini mnapomfunga mtanzania kutoa malalamiko yake?! Mwanzo watanzania tulizoea wapinzani watusemee na kutuwakilisha kwa kile kinachotuumiza mioyo yetu. Mkaona sio sawa mkaamua kumchukua na kumuweka kizuizini mwenyekiti wa upinzani, haitoshi mkafungia...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 ITV Kipindi cha 'Aibu yako hata wewe' hamuyaoni malori yakibeba wananchi kama mizigo kwenye kampeni za CCM?

    ITV mna hiki kipindi kinaitwa "AIBU YAKO HATA WEWE" ambacho mmekuwa mkikitumia kukemea ukiukwaji wa taratibu na sheria za barabarani unaofanywa na madereva wa vyombo mbalimbali vya usafari kutoka na hatari ya usalama wa watu na vyombo hivyo. Kwenye kampeni za CCM tumeona malori yakitumika...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

    Mamlaka ya mwisho kabisa iko kwa wananchi siku wananchi wa Tanzania wakijitambua dharau za Viongozi zitaisha viongozi wamejaa dharau sana kudharau wananchi kuwaona kama takataka. Hiyo inatokana na wananchi kutojua kwamba wao ndo wenye mamlaka ya mwisho ya kuweza kuondoa yale yanayowaumiza...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Zacharia Obadi: Maandamano ya Oktoba 29, 2025 ni msimamo wa Wananchi na siyo Chama

    Hawajaweka wazi na Zacharia Obadi, Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria anasema ni msimamo wa wananchi na siyo chama. "Wimbo umekuwa ni huo tu No reforms No election na wengine wameenda mbali zaidi nakusema kwamba tarehe 29, october tunaandamana CHADEMA hatujajitokeza wazi wazi nakusema huo...
  17. JamiiForums Tanzania Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote

    Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati mgumu ambapo ufisadi na rushwa vimezidi kuathiri maisha yetu ya kila siku. Miundombinu yetu ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Nikipewa nchi, napiga marufuku kampuni zote zinazoleta kausha damu kwa wananchi

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema iwapo atachaguliwa kuingia madarakani atapiga marufuku kampuni zote zinazowaingiza wananchi kwenye mikopo ya kinyonyaji maarufu kama kausha damu. Mwalimu amesema haiwezekani taifa kuendelea kuendesha uchumi wake...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwaifunga aahidi zahanati na barabara kwa wananchi wa kata ya Tumbi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiwa katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tumbi leo Septemba 21,2025 amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kukamilisha ujenzi wa Zahanati na ukarabati wa Barabara inayotoka Barabara kuu ya Urambo hadi Kijiji cha...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Uyole: Dkt. Tulia awaahidi wananchi kuwajengea shule ya kata Mwasanga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Kupitia Ccm Dkt Tulia Ackson ameahidi kuendelea Kuwezesha wananchi kiuchumi pamoja na kujenga Shule katika kata ya Mwansanga jimboni humo Akiwa katika Mwendelezo wa Kampeni zake, wananchi wa kata ya Mwansanga walimueleza kuwa wanahitaji Kupata shule ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…