wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Uwajibikaji wa taasisi zinazohudumia wananchi; Je, wanafanya inavyotakiwa?

    Ni miezi 6 sasa nafuatilia usajili wa kikundi chetu kwa mkuu wa wilaya ya kinondoni chini ya wizara ya mambo ya ndani. Kila nikienda nipate majibu wananiambia taarifa zetu hazijarudi na hawajui ni lini zitarudi tumeamua kusajili kwa njia ya mtandao online tumelipia elfu 50 ya fomu ya huduma ni...
  2. B

    Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
  3. Mapinduzi ya Kijeshi kwenye baadhi ya nchi yaliyowahi kupata Ushirikiano wa Wananchi

    Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi Afrika 1. Mali (2020, 2021) – Wananchi walipinga ufisadi na ukosefu wa usalama, wizi wa mali za Umma...
  4. GE2025 Kulikoni walioitwa wabunge wa COVID-19 ambao walifukuzwa uanachama wa CHADEMA wanakubalika zaidi kwa wananchi wakati CHADEMA imesahaulika kabisa?

    Je, Chadema walikurupuka kuwatimua hazina hiyo muhimu ya viongozi wa wanawake wanaokubalika zaidi kwa wananchi na kuwaita wasaliti? Maana iko wazi kwamba, wote waliojiunga na chama tawala na kupewa fursa ya kugombea nafasi ya ubunge, wanakubalika zaidi, wanaaminika zaidi kwa wananchi, na...
  5. Rais Samia apiga selfi na wananchi wa Kibaingwa

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Agosti 30, 2025.
  6. GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Miongoni mwa atakayozungumza: 1. Biashara za Rostam Aziz 2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam 3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki 4. Wezi wanakoficha pesa 5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini 6...
  7. R

    Mwanamke aliyejifanya Msukule akamatwa na wananchi akiiba, Arusha

    Mwanamke mmoja anayedhaniwa kuwa ni msukule amekamatwa mkoani Arusha, ndani ya duka la dada mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe Mwanamke huyo alikutwa akiiba vitu mbalimbali, ikiwemo viatu na nguo, kitendo kilichowashangaza wateja na majirani waliokuwa karibu na eneo hilo ‎ ‎Mashuhuda wa...
  8. JESHI LA WANANCHI SHIKAMOO.

    Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama. Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka "...
  9. RC Iringa: Kuna maafisa wanafokea wananchi, kama huna majibu ya maswali aliyokuuliza mwananchi usimfokee

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameonya na kukemea tabia ya Watumishi na maafisa wa Serikali kuwafokea na kuwatokea kauli mbaya Wananchi pindi wanapohitaji huduma, huku akisema kuwa kufanya hivyo ni utovu wa Nidhamu na kwenda kinyume cha Misingi, taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma...
  10. GE2025 Unyenyekevu wa Wagombea kwa Wapiga Kura kipindi cha Uchaguzi ni Mbinu za Kisiasa na kuwalaghai Wananchi?

    Wakuu! Tupo kwenye joto la uchaguzi mkuu hapa nchini, na tumeona baadhi ya wagombea wakionyesha maisha ya kawaida kwa wananchi ni kama kujishusha na kuishi maisha ya hadhi ya chini. Hata hivyo, je, wananchi wanawezaje kutofautisha kitendo halisi cha unyenyekevu cha mgombea na propaganda...
  11. K

    GE2025 Dkt. Homera asindikizwa na mamia ya wananchi wa Namtumbo kuchukua fomu ya kugombea ubunge

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Namtumbo Dkt. Juma Zuberi HOMERA, Tarehe 26 Agosti, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  12. Kwa taarifa tu mkude ndie mchezaji pekee ataagwa na timu mbili tofauti kwa heshima..Simba day na wananchi day

    KILA.LA KHERI MWAMBA ULIITENDEA HAKI TATHNIA YA MPIRA ALL DBEST NIONGEZE SAUTI AMAA.???
  13. Tanzania – Tujifunze kwa Norway jinsi Inavyogawa Utajiri wa Taifa kwa Wananchi Wake.

    Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
  14. Askofu Gwajima: Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida

    Akizungumza leo Agosti 25,2025 kwa njia ya mtandao mbunge wa zamani wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Amesema, Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida. Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  15. Nyuma ya ukosoaji na ushauri unaotolewa na Wananchi kwa Serikali ndipo pa kuangaliwa kwa kina.

    Kumekuwa na wimbi kubwa la washauri na wakosoaji wa masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali jambo ambalo linaloteteresha utangamano wa Kitaifa. Tumeshuhudia Wazee ambao kwa kweli ushauri wao ni muhimu wakishauri kwa kukosoa au wakishauri vijana kukosoa pale wanapoona kuna ukakasi...
  16. Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

    Unazipa asilimia ngapi jezi za wananchi?
  17. C

    Sasa ni rasmi MBUNGE si muwakilishi wa wananchi tena, na hatakiwi kuwa chaguo la wananchi tena bali sasa ni chaguo la watawala

    Kwa sasa wananchi hawana haki kwa jambo lolote kwenye siasa za Tanzania, hawana haki ya kujichagulia wawakilishi wanao wataka maana zoezi hilo lipo mikononi mwa watawala nadhani sasa hakuna haja ya kuleta majina huku ni kutupotezea muda na matumizi mabaya ya fedha muwe mnamaliza wenyewe huko...
  18. R

    Je Serikali inaweza kuwafanyia Wananchi Uhaini? Maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi

    Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi! Kama serikali inafanya uhaini dhidi ya wananchi, kwanini wananchi nao wasifanye uhaini dhidi ya serikali ambayo...
  19. Tuseme ndio umekuwa rais, na unataka kuwa fair square!, ni hatua gani utazifanya kuboost uchumi wa wananchi wa kawaida angalau hata kwa asilimia 35%

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  20. Kwa nilivyomuelewa Polepole hata kama wananchi wakisusia kupiga kura, CCM itashinda tu

    Kwa mfumo wao wa NIDA asee unaweza usifike kituo cha kupiga kura lkn mfumo ukatick umepiga kura tena umechagua CCM kabisa Yaani kura inajipiga automatically wewe ukiwa om afu utasikia 30 millon wamemchagua Samia then hiyo 7 million ni CHAUMMA na matawi mengine
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…