Katika mahojiano aliyofanya leo na VOA, Lissu amekiri kuwa Watanzania wamempuuza kwa kutokuandamana pamoja na yeye kutoa wito huo kwa nguvu zote.
Amesema hata kabla ya uchaguzi aliwahimiza watanzania kuwa tayari kuingia barabarani lakini bado haikusaidia, Watanzania walimgomea. Ametulaumu...