wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ugawaji Mikoa hauzingatii namna bora ya Utawala kwa ajili ya Wananchi

    Wakuu, Mikoa ifuatayo haikugawanywa kwa kuzingatia Jiografia rafiki kwa uendeshaji wenye ufanisi na tija. 1. Arusha kupata mkoa wa Manyara: ingefaa usianzishwe mkoa wa Manyara badala yake wilaya mbili za Simanjiro na Kiteto ndio zingeunganishwa na mkoa wa Kilimajaro. 2. Mkoa wa Pwani umekaa...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wawe na utamaduni wa kupokea simu na kujibu jumbe fupi ktk kutatua kero za wananchi

    Mimi ni mfatiliaji mzuri wa Kipindi cha Mhe. Polepole chenye jina la Papo kwa Papo! Kumekuwa na tabia ya baadhi ya Viongozi kutokupatikana kwenye simu! Na hii ndio picha iliyopo kwenye Jamii! Viongozi wengi wa Serikali, RC, RAS, DC, Mawaziri, Wabunge, Makatibu Wakuu, nk wamekuwa na tabia ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi ona wanasiasa wakiitisha maandamano au kwenda mahakamani kupigania maslahi ya Wananchi?

    Najiuliza tu, Maandamano na kesi zote wanafungua zinahusiana na wao kushika madaraka. Mbona hawaandamani serikali ikifungia wakulima mipaka, mbona hawaendi mahakamani kupinga sheria za kodi etc. Mbona hawaendi mahakamani kupinga makato ya bodi ya mikopo. Kama wako kwa maslahi ya wananchi si...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uhakika Tanzania tunaingia katika kumi bora za Nchi zenye wananchi wenye furaha duniani

    Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani. Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe gari gani kama ni ndege labda za kivita kama ni treni ni haipa lupu. Ila huyu ni binadamu mwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Sikubaliani kabisa na utaratibu wa Serikali kuwataka wananchi kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa ilihali imetumia bilioni 700 kujenga daraja

    Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu. Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe? Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge waliochaguliwa na wananchi wana uwezo mkubwa wa kuleta chachu ya maendeleo

    Januari imefika taarifa iliyoko ni kuwa watoto wetu wengi wanaoanza kidato cha kwanza hawana madarasa ya kusomea. Hili ni swala la kila mzazi na mwananchi. Hatujui nani katika hawa watoto atakuja kuboresha sera za nchi sisi tukiwa ni wazee. Watanzania walioko Ughaibuni wangetumika kusaidia...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Geita walalamikia kodi za TRA

    Mabibi na mabwana itakuwa ni kujidanganya kuwa kila kitu ni shwari pasipo kuangalia mrejesho tokea kwa wananchi. Hivi serikali ya awamu hii inafahamu kwa nini ina mwonekano hasi? Hapo ni kibwagizo tu. Ila ukweli wa mambo ni kuwa uporaji wa haki na uhuru wa watu haujawahi mwacha yeyote...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri avunja bodi ya Maji Mbeya na kuagiza meneja wa RUWASA kusimamishwa kazi kwa kushindwa kutatua kero za Wananchi na kutoa ripoti za uongo

    Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nani kawatuma wananchi kumwona Mbowe shujaa wa siasa za Tanzania?

    Duniani wapo watu wamezaliwa na wivu. Wakati wote wanatamani wao waonekane bora kuliko wengine. Hii haikuanza hivi karibuni bali imeanza toka asili ya binadamu. Utakumbuka Kaini alivyotoa sadaka iliyomchukiza Mungu wakati Abel alitoa sadaka infaayo Mungu. Matokeo yake Sauli hakulia na kumshutumu...
  10. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Afya watoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Naibu wake Dkt. Godwin Mollel wametoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi. Wamesema lengo la kutoa namba hizo ni kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mapokezi Ya FC Platinum: Hatimaye 'Wananchi' Waonyesha Uzalendo...!!!

    Nimekuwa shuhuda siku ya leo majira ya alasiri wakati timu ya Platinum kutoka Zimbabwe ikipokelewa uwanja wa ndege JNIA.Ukweli zile mbwembwe na amsha amsha kutoka kwa wenzetu 'Wananchi' kwenye mapokezi hasa za timu za nje zinapokuja kupambana na 'mnyama' sikuziona.Jambo hili haliwezi kupita hivi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania RC Hapi: Jumamosi ya pili ya kila Mwezi itakuwa ni siku ya kufanya mazoezi watumishi wa umma na Wananchi wote mkoa wa Iringa

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Salum Hapi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk. Kufuatia hali hiyo RC Hapi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya...
  13. JamiiForums Tanzania Je, tumbua tumbua ya viongozi imeleta tija kwa Wananchi?

    Natoa onyo kwa Watanzania wote wenye mapenzi na nchi yao tusipende kushabikia mambo bila kuyachuja kama yana manufaa kwetu. Hii dhana ya kutumbua majipu, imeipatia sifa serikali ya awamu ya tano. Hii ni kwa sababu tumbua tumbua imeonekana kama ni dawa ya wazembe na mafisadi. Lakini kila tumbua...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu simamia viongozi, wananchi wamechoka kuchangishwa pesa za madarasa kila mwaka

    Tundu Lissu alilaaniwa kwa kuzuia michango ya lazima kwa wananchi. Sasa kila mwaka kuna michango kwa ajili ya madarasa, ni ukweli kwamba michango hii ni ya lazima kwa wananchi. Sioni taabu sana, tatizo langu ni wasimamizi wa michango hiyo na matokeo duni. Kundi la viongozi katika wilaya...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza daraja la Busisi limalizike kwa miaka 3 na sio 4. Awataka Wananchi kuongeza kulima

    RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kuzitumia mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao ya biashara ili kuweza kuziuzia nchi zinazokabiliwa na janga la Corona, huku akimtaka mkandarasi wa daraja la Kigongo Busisi kuimaliza kazi hiyo ndani ya miaka...
  16. JamiiForums Tanzania CUF: Liwale inahitajika Tume huru ya Uchaguzi

    CUF-CHAMA CHA WANANCHI. TAARIFA KWA UMMA. LIWALE INAHITAJIKA TUME HURU YA UCHUNGUZI.
  17. JamiiForums Tanzania TCRA yapewa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti. Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA...
  18. JamiiForums Tanzania CUF inawatakia wananchi heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2021

    CUF-CHAMA CHA WANANCHI HERI YA KRISSMASI NA MWAKA MPYA 2021
  19. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi hivi unawatafuta nini wananchi kwenye ardhi? Hebu tuliza spidi unaenda kasi isiyo na faida

    Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi. Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao. Ni hivi ndugu Lukuvi, sisi wananchi hatupendi stress, kutishwatishwa, kusukumwasukumwa, kupelekwapelekwa...
  20. JamiiForums Tanzania RC Mongella marehemu Omela Wangwe hakupigwa na wananchi wenye hasira. Simamia haki ili waliomuua wakamatwe

    Ni mwaka sasa tangu marehemu Omela Wangwe auwawe kwa kupigwa na Mwanajeshi ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilayani Ilemela. Marehemu hakukamatwa kwenye tukio lolote, bali alipigiwa simu ili aje aeleze wapi alipata milango aliyokuwa anaiuza kama dalali na alikamatwa na watuhumiwa wanne na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…