wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania BoT Vs Kitila Mkumbo Vs Mwigulu; Wananchi tumsikilize nani sakata la akiba ya dhahabu?

    BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha? Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Eric Shigongo: Ukisoma Ripoti za Uchumi wetu ni nzuri sana lakini Wananchi hawana fedha mfukoni

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli yenye msisitizo mkubwa kuhusu hali halisi ya uchumi wa Tanzania, akiongea bungeni jijini Dodoma. Akizungumza katika kikao na wanahabari, Mbunge Shigongo amesema kuwa licha ya rekodi rasmi kuonyesha kuwa uchumi wa nchi unaendelea kukua...
  3. JamiiForums Tanzania Uwekezaji na Uchumi Tanzania: Vipato vya wananchi viheshimiwe

    Habari Tanzania ! Mimi na Wewe ni marafiki. Tunapendana sana. Tunaishi taifa moja na kwanini leo nikunyime Elimu. Karibu. Y = C + S ni sawa na kusema; Y= C+ I Hii maana yake; Y = Income/ Kipato C= Consumptions/ Matumizi S = Savings/ Hifadhi I = Investment/ Uwekezaji Nawaletea mambo kwa...
  4. JamiiForums Tanzania POTOSHI Polisi auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29

    Auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29
  5. JamiiForums Tanzania Kenya inachezewa kamchezo kadogo sana na Tanzania, Viongozi wanajua wananchi hawaelewi

    Katika diplomasia ya kiuchumi, thamani ya fedha ni kama sumaku. Inaposhuka, inavuta wateja na watalii kuja ndani ya nchi, na inapopanda sana, inawafukuza na kuwapeleka kwa majirani. Kwa kutumia mfano wa Tanzania na Kenya, hivi ndivyo mantiki hii inavyofanya kazi katika biashara na utalii: Katika...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi

    Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi. Tulipagana na jeshi la Ukoloni lenye silaha za kisasa tukalishinda tukiwa hatuna silaha wala mabuti na hizo kofia za kuzuia risasi hatuwezi kushindwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Botswana anawaheshimu wananchi waliomchagua awatumikie

    Kauli ya ilituendelee tunahitaji vitu.... Je tumefeli wapi?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali za nchi pamoja na kupata huduma wanazostahili - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 27, 2026...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi rudisheni gulio Bugandika, Wananchi wanakosa huduma za msingi

    Nawanyooshea kidole Mkurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera kwa kuwaonea Wananchi wa Kata ya Bugandika hasa vijijini. Hiyo ni kutokana na kitendo chao cha kuondoa gulio lao la kila Jumatano na kulipeleka kwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi umejenga Daraja kati ya Viongozi na Wananchi, pande zote zinaogopana na kuishi kimachale

    Uchaguzi wa Oktoba 2025 umechangia kuibua mgawanyiko mkubwa kati ya viongozi na wananchi, ukuta wa hofu, na kutokuaminiana. Hiyo ni kutokana na maandamano ya baadhi ya wananchi walioupinga uchaguzi huo, wakikabiliwa na nguvu za kijeshi na kusababisha mauaji, majeruhi na uharibifu wa mali...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha wananchi wa ulaya waliwahi kuwanyonga watawala wakuu wawili Kwa sababu baadhi nazoziona kwenye taifa letu ikiwemo umaskini

    Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni Umaskini na njaa Kodi kubwa Kokosekana Kwa haki na usawa Kuupuuza matatizo ya wananchi Kwa upande wa kiongozi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Nchemba: Kazi za serikali zifanyike Dodoma ili kuwasogezea wananchi huduma

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema kazi za serikali zifanyike makao makuu ya nchi, Dodoma, ili kuwasogezea Watanzania huduma. “Mheshimiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu mwelekeze Katibu Mkuu atengeneze timu ifanye tathmini ya majengo yote ya Serikali yaliyoko Dar es Salaam ambayo hayana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wananchi: Kuzimwa kwa intaneti kote nchini wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha

    Kuzimwa kwa intaneti kote nchini Uganda wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha ya wananchi, hususan wafanyabiashara na vijana wanaotegemea huduma za mtandaoni. Biashara za fedha kwa njia ya simu zilisimama, waendeshaji bodaboda waliopata wateja kupitia programu walipoteza...
  14. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mwana mitandao Speed akirushiwa ndizi na kufanyiwa sauti za nyani na wananchi wa Morocco

  15. JamiiForums Tanzania Ziara Kihongosi inathibitisha kuwa CCM imekataliwa. Ni kama mtendaji wa kata anazunguka kusikikiza kero za wananchi

    Fuatilia kila anapopita na kusikiliza kero za watu. J Hakuna muitikio au msisimko kama kuna kiongozi mkuu wa chama tawala yupo kusililiza kero na kujua mapunngufu ya chama chake. CCM haikubaliki kwa sasa hii ndio picha kamili. Mwenezi wa CCM nae hakubaliki.
  16. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe akemea Wananchi kutupa takataka kwenye barabara Manispaa ya Morogoro

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka katika barabara za Muhimbili, Tubuyu II, Mjimwema, Barakuda na Kihonda-VETA zenye urefu wa Kilomita...
  17. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

    Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia. Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana. Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania tajiri, Wananchi maskini– What is going on?

    Ukiangalia Tanzania kwa macho ya wazi bila ujinga, bila woga, bila kuogopa nani atasema nini, utajua huu ni mojawapo ya nchi tajiri sana duniani, sio Afrika tu, hata baadhi ya nchi za Ulaya tumewazidi big time. Tuna nini? Madini: Dhahabu, almasi, nickel, lithium, uranium, tanzanite (ambayo ni...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wametakiwa waheshimu na kulinda amani. Lakini viongozi walioko madarakani wao wanavunja katiba na sheria haki za kibinadamu.

    Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote. ▪︎ kutokuwepo kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mchinjita: Wananchi wawe wa kwanza kulinda haki zao sio viongozi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kukata tamaa kufuatia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa silaha kubwa ya "mkandamizaji" ni kuuvunja moyo na mtazamo wa wanaokandamizwa. Akizungumza jana, Januari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…