wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Iramba: DC Mwenda ataka mpango mkakati wa kutekeleza majukumu, akaza kamba kero za Wananchi

    MHE MWENDA ATAKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEZA MAJUKUMU, AKAZA KAMBA KERO ZA WANANCHI. Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea na ziara yake ya kupita kata kwa kata kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea maelezo na ufumbuzi wake. Akiwa kata ya Kiomboi leo Ijumaa Julai...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi Muleba waiomba Serikali kuwafikishia mawasiliano ya radio na simu

    WANANCHI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUWAFIKISHIA MAWASILIANO YA REDIO NA SIMU Wananchi wa Wilaya ya Muleba wameiomba Serikali kuwafikishia huduma za mawasiliano ya redio na simu wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew wilayani humo...
  4. JamiiForums Tanzania Maoni ya wananchi kuhusu Chanjo ya Corona

    Kupitia BBC, haya ni maoni ya baadhi ya Watanzania kuhusu chanjo ya Corona iliyozinduliwa jana na Rais Samia. Kwenye video hii, walioipinga [waliokataa kuchanjwa] ni wengi kuliko walioikubali. Watu hawa sijui ndo kama wanaakisi maoni ya Watanzania kwa ujumla; yaani Watanzania wengi kuikataa...
  5. JamiiForums Tanzania Walitumia nguvu kubwa kuwatisha watu juu ya chanjo, leo wanashangaa wananchi kuogopa chanjo

    Toka chanjo imetoka, serikali chini ya Magufuli imekuwa inaweka hofu kwa wananchi juu ya usalama wa chanjo. Rais alisema waziwazi kauli za kupinga chanjo. Alisema kama wazungu wanaweza kutengeneza chanjo basi wangetengeneza chanjo ya UKIMWI. Watu kama Kigwangalla wakatoa kauli kupinga chanjo...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa ushawishi kwa Wananchi, CHADEMA sasa wanaishitaki Serikali kwa Wazungu

    Ndugu zangu, Laana ya usaliti ni mbaya, enzi zile za Dr. Slaa, Chadema ilikuwa inategemea umma kwa dhahma yoyote waliyopata ungesikia "tunaenda kushtaki kwa wananchi" na kweli Serikali ingebadili msimamo. Chadema hii ya sasa jambo lolote utasikia akina Lissu wakisema "tumesambaza barua kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ruangwa, Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne. Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na corona. Source : Mwanahalisi twitter ====== My take Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inaandaa Mpango wa Kuangamiza Wananchi Wake Maskini

    Mchawi si mpaka avae tunguli au hirizi. Utamwona tu ana ku wish nini. Serikali ya Tanzania ina mpango dhabiti wa kuangamiza Wananchi wake kupitia kodi na tozo za kinyama, kinyonyaji na kibaradhuli. 1. Tozo ya Miamala 2. Tozo ya simu ya mshikamano (yaani maskini waendelee kushikamana katika...
  9. JamiiForums Tanzania Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

    Fisi huyo aliyeua mtoto wa mwaka mmoja na nusu baada ya kuvamia nyumba katika Kijiji cha Kangeme wilayani Kaliua alijeruhi pia watu watatu ambao inaelezwa wanaendelea vizuri. Diwani wa kata ya Zugimlole, Ramadhan Balikeka amesema kuwa wananchi waligawana nyama na haelewi walienda kufanya nini...
  10. JamiiForums Tanzania Haki mojawapo ya Mbunge ni kutetea Wananchi wake na sio Serikali

    Mbunge ni kiongozi anayechaguliwa na wananchi ili akawawakilishe Serikalini badala yao. Moja ya haki yake kuu ni kuwatetea wananchi na sio Serikali. Hivyo basi mbunge anapogeuka na kuanza kuitetea Serikali huku wananchi wake anawasaliti hapo anakuwa amevunja haki zake na kuusahau wajibu wake.
  11. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Kauli za Mbatia zimekusudia kuwachochea wananchi na kuwagombanisha na Serikali

    SHAKA: KAULI ZA MBATIA ZIMEKUSUDIA KUWACHOCHEA WANANCHI NA KUWAGOMBANISHA NA SERIKALI. NDUGU: SHAKA HAMDU SHAKA; MNEC & KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema matamshi ya Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI James Francis Mbatia aliyedai Rais Samia Saluhu Hassan kuwapa...
  12. JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba mpya ya wananchi Tanzania: Tuondoe dhana batili na potofu kuwa madai haya yanalenga kuiondoa CCM madarakani

    CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia. Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa madai ya katiba mpya ya wananchi ni ili wao wanyang'anywe mamlaka na madaraka yao ya utawala wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi tuanze rasmi kususia bidhaa na huduma za wasiolipa Kodi.

    Ndugu zangu wananchi wabunge hawalipi Kodi kwenye mishahara yao na ni mikubwa kwelikweli Sasa swali linakuja kwanini upande Basi lake? Kwanini ulale kwenye hoteli yake? Kwanini ununue chochote kwenye duka lake au hardware yake? Tena Bora lingekuwa lile bunge lililochaguliwa na wananchi la kina...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usikubali hasira dhidi ya Hayati Dkt. Magufuli zihamishiwe kwako!

    Hata mimi nimeanza kuumia kwa baadhi ya mambo yanavyoenda. Niliamini tumepata relief na kufungua ukurasa mpya (ndiyo maana nikajibrand kama New Page). Mambo yanavyoenda kwa kweli hamna chema ambacho umekifanya sasa. Juzi niliongelea nyongeza ya mishahara na kweli imeongezwa pungufu ya elfu...
  15. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, hamkuona uvuvi wa bahari kuu unaweza kulipatia taifa mapato kuliko kuwakakamua wananchi?

    Nimeshangazwa sana na kauli ya spika wa bunge la JMT kupigia chapuo tozo za miamala ya simu kwa madai kuwa eti ni muhimu kwa maendeleo ya jimbo la Kongwa na taifa letu. Mbaya zaidi anadai eti hana uhakika kama kuna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuwakamua wananchi kupitia tozo za miamala ya...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Kuwa Mtumishi wa Serikali Hakumaanishi Una Akili Kuliko Wananchi

    Ni katika kuadhimisha miaka 20 ya shirika la Haki Elimu. Ameshauri watumishi wa serikali waachane na kasumba ya kuamini kwamba kuwa kwao katika utumishi serikalini basi ni wao tu wenye akili kuliko wananchi wa kawaida. Martha Qoro (PhD) ameshauri juu ya kuongeza wigo wa kujifunza lugha...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Kuelekea Uchumi wa Wananchi

    PAMOJA TUNASHINDA Kumekuwa na mapambano na vita dhidi ya umasikini, nchi imekua ikibadilisha sera na kauli mbiu kila utawala mpya ukiingia, Licha ya jitihada zote hizo takwimu zinaonyesha ya kuwa kuna maendeleo ya serikali ki takwimu na watu wake wakisalia katika mkwamo ule ule wa umasikini...
  18. JamiiForums Tanzania Wananchi tumekuwa tukiingilia Uhuru wa Mahakama, tubadilike

    Kumekuwa na tabia kwa wananchi kusema katika mihimili ya serikali, kuna muhimili mmoja huwa unaingilia mamlaka za mihimili nyingine. Mihimili inayotambulika hadi sasa ni Serikali Kuu(Executive), Bunge na Mahakama. Lakini kwa kiasi kikubwa wananchi wamekuwa wakiingilia uhuru wa mahakama mara kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Sijasikia wananchi wa kawaida wakiwalilia mashujaa wa CHADEMA waliotiwa nguvuni

    Wanaopika vitumbua wako busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao. Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu wa CCM. Je ni kweli? Mbowe na Pambalu wamegeuka kuwa mashujaa wa kupigania haki...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya italetwa na CCM siyo Chadema

    Eid El Adha! Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya. Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka. Nawasalimu kwa jina la JMT!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…