wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wananchi walipe gharama halisi ya kuunganishiwa umeme

    Rais Samia amesema Tanesco hawawezi kuunganisha umeme kwa gharama ya Shs. 27,000/= kwa wananchi wote wa vijijini kwa sababu gharama zinatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine. Kwa hiyo amesema kuna sehemu watalipa Shs. 27,000/= na sehemu zingine watalipa gharama halisi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Soda zimeisha mtaani!

    Wanajamvi Heri ya mwaka mpya. Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
  3. JamiiForums Tanzania Mlio kwenye system mtujuze, ni kwanini mikataba inayoingiwa kati ya Serikali na entity nyingi ya kimataifa hufanywa kuwa siri kwa wananchi?

    Eti jamani, hasa nyie mlio kwenye system hebu tupeni mwanga kidogo; ni kwanini mikataba inayoingia serikali huwa inafanywa kiwa siri kiasi mwananchi wa kawaida hapaswi kabisa kujua. Mathalani hii mikataba ya mikopo, ni kwanini msiiweke hadharani ili tujue masharti yake yakoje, why?
  4. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa usimamizi mzuri wa mikopo katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati na maendeleo ya wananchi

  5. M

    JamiiForums Tanzania Chama Tawala nchini Tanzania Chawatakia Wananchi wake heri ya Mwaka mpya 2022

    === Chama Cha Mapinduzi Tanzania ambacho ndio Chama Tawala cha nchi hiyo kimewatakia heri Wananchi wa nchi hiyo katika kuufika mwaka mpya wa 2022, CCM chini ya Mwenyekiti wake Mhe Samia Suluhu Hassan ambae pia ni amiri Jeshi mkuu na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimewatakia heri raia...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugai alimaanisha nini kusema 2025 wananchi wawapime kama wataendelea na hawa wakopaji?

    Nimeshindwa kuelewa kwa kina juu ya maneno ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Spika nilimwelewa kwamba kuna tozo zinazoendelea kutozwa zililenga kuondoa upungufu wa madarasa. Lakini tutakopa tena 1.3 trioni kwa ajili ya kujenga tena madarasa. Ukweli ni kuwa tozo pekee...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati ndiyo njia pekee ya kuipata katiba ya wananchi

    Hakuna asiyejua kuwa wakati kuna mchakato wa (akina Zitto na wenzao) kuandaa misingi ya tume huru ya uchaguzi, wahudumu wa tume hiyo wameendelea kuteuliwa bila hata ya mashauriano. Ni wazi kuwa kwenye jambo hili nyeti kuna wenye maslahi yao binafsi ndani ya mchakato unaoendelea. Wananchi...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Serikali inasahau inachosema kwa wananchi

    Nakumbuka wakati serikali ikipigia chapuo tozo walisema, tozo itawezesha nchi, na nchi itaondokana na mikopo ambayo mingi mashariti yake si rafiki. Haya yalisemwa na kusisitizwa na Mhe. Rais akiwa anapita maeneo ya Tegeta akiwa safarini kutengeneza Movie ya Utalii Tanzania. Cha ajabu serikali...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Magufuli Haiwezi Kufutika kwa Siasa Uchwara

    Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea. Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Lindi wacharuka wadai haki kwa Vitendo

    Hii clip inajieleza: Wananchi hawa wa kata ya Mandawa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameona wala isiwe taabu. Wamejielekeza vilivyo kwenye mada. Vinginevyo chukueni vyenu wala tusijuane! Haki ni zetu sisi. Heshimuni matakwa ya watu.
  11. JamiiForums Tanzania Kama kuna zuio la kuingiza mafuta ya kula kutoka nje, Tunaomba liondolewe wananchi tutakufa jamani

    Nadhani kuna zuio la kuingiza mafuta kutoka nje ya nchi jamani zuio hili kama lipo liondolewe maana hali saivi ni hatari sio siri jana nimeuziwa mafuta ya kula lita moja 7500/= nimeshangaa sana, hivi mbona mambo yanakua magumu kiasi hiki, sasaivi tumerudi enzi za kupika chakula bila mafuta...
  12. JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi kujenga uwanja kwa michango sio sawa

    Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari. Lazima mgawanyo wa faida itakayotokana Na uwanja kwa wanahisa ifahamike kabla watu...
  13. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi

    Zoom Saturday Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Disemba 18, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wakabiliwa na njaa Oldonyo Sambu

    Wananchi wa kijiji cha Lemanda,oldonyo sambu wanakabiliwa na Njaa kutokana na Kukosekana kwa mvua muda mrefu na hivyo kupelekea mifugo kufa na wanafunzi kuanguka shuleni kutokana na njaa. Mwenyekiti wa Kijiji hicho Bwana Mosses Nguluma amesema kuwa eneo hilo lipo ukanda wa chini na hivyo...
  15. JamiiForums Tanzania Vita ya CCM chotara na CCM walowezi: Nani alirudisha Chama kwa wananchi?

    Wana JF Japokuwa Kiroboto anapigana kivyake kwa kutokubaliana na mambo fulani fulani yanayoendelea ndani na nje ya serikali mbali na maudhui yake ya kununua machawa toka upinzani, angalau bado ana kauzalendo kalikokuwa kamemezwa na mapapa ya CCM Asilia ambao kazi kubwa ni kuhakikisha...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaonya Viongozi wanaotumia ubabe migodini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wakuu wa Wilaya, Wabunge na Serikali za Mitaa kutoa ushirikiano mzuri kwa Wananchi badala ya kufanya ubabe Migodini. Amesema, "Wabunge ambao maeneo yenu miradi hii ipo, iwasaidie kujenga Maendeleo na nchi sio iwajenge ninyi binafsi. Kuna ile...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nape, unatoa wapi muda wakusherekea chama kurudi kwa wenye chama huku Jimbo lako wananchi wanashindia maembe?

    Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi. Lindi na Mtwara Kuna gesi lakini haina mchango Kwa sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Rais yeyote yule ana Majukumu mazito sana wananchi tuungane kuwaombea marais wetu

    Raisi ni cheo kikubwa sana kinachotawala nchi yeyote duniani hapa Majukumu ya Raisi ni mazito sana kwasababu anatawala nchi yote kwa ujumla na kuhakikisha kila jambo linakwenda kwa usahihi kama katiba inavyo ongoza. Inapotokea Raisi ametingwa basi wananchi wakati mwingine wajaribu kuelewa...
  19. JamiiForums Tanzania Maendeleo huletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa kodi

    Maendeleo huletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa kodi, ni jukumula Serikali kuhakikisha inatengeneza sera na namna bora ya kuhakikisha kila Mwananchi analipa kodi, Serikali ya awamu ya Sita iliona ni bora kuziingiza kodi kwenye miamala ya simu ili kila unapofanya muamala ikatwe kodi moja kwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kiongozi yupi ndani ya CCM anaweza kuvumilia kukaa mahabusu japo kwa wiki moja kwa ajili ya Wananchi?

    Kati ya viongozi wote wa CCM ni yupi anaweza akatuhumiwa kisiasa akakamatwa na kuwekwa ndani kisha akavumilia kukaa huko akisubiri haki itendeke bila kutuma watu Kwa viongozi waandamizi wakamwombee msamaha? Yupi mwenye uchungu na Wananchi kiasi kwamba anaweza kuweka Taifa mbele na kuachana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…