wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watawala, wananchi wana haki ya kupata taarifa sahihi na kwa wakati

    Ili kujenga jamii iliyobora mawasiliano katika kutatua changamoto za jamii ni muhimu sana. Lakini katika hili ofisi na taasisi za Serikali zimekuwa na changamoto katika kutoa mawasiliano kwa Umma na taarifa muhimu zinazowafaa wananchi. Ukianza kutafuta taarifa za jambo fulani katika Serikali na...
  2. JamiiForums Tanzania Katiba mpya kwa sasa hatuhitaji, chaguzi hatushiriki. Sisi tupotupo na haijulikani tunataka nini. Au tunataka michango tu ya wananchi?

    Kama chama kikuu cha upinzani sisi tunahitaji nini kwa sasa? Katiba mpya ingetupatia tume huru na tungeshinda chaguzi kihalali. Chaguzi zikifanyika hatushiriki hii ni kwa sababu tulishasema hatutashiliki chafuzi za wezi wa kura Sasa chama chetu cha Chadema kipokipo tu na hakina muelekeo zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Msimu huu wa joto kali ni vizuri wizara ya afya ikahimiza wananchi kunywa maji mengi/matunda

    Mikoa mingi hapa nchini kwa sasa inapitia katika kipindi cha jua kali na lenye joto kali kupindukia, si usiku si mchana joto ni kali. Bado wananchi mfumo wao wa maisha ni ule ule kutokana na wengi kutokujua umuhimu wa kunywa maji mara kwa mara hususani kipindi kama hiki. Kipindi kama hiki...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kumshitaki mjeshi anayesumbua wananchi?

    Mambo vip jman Ni nani anajua jinsi ya kumshtaki mwanajeshi anaesumbua wananchi nipo huku naona Mzee anaonewa kweli Mzee anaumri wa miaka 66 anarukishwa kichura chura uraiani.
  5. JamiiForums Tanzania Ushiriki Huru wa Wananchi Katika Shughuli za Kisiasa Ndiyo Msingi Thabiti wa Utawala Bora

    Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia. Lengo kuu la...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni hitaji la Wananchi, vyama vya siasa ama?

    Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF. Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa. Madai ya Katiba Mpya ni nani hasa mhusika wake?Je,ni wananchi,vyama vya siasa au? Nauliza kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Viti Maalumu vishindaniwe kwa wananchi ili kupunguza mianya ya upendeleo na rushwa

    Hivi karibuni ilichapwa makala ya kitaaluma na Dk Victoria Lihiru, mhadhiri katika Chuo Kikuu Huria cha Dar es Salaam iliyojaribu kuonesha udhaifu uliopo katika mfumo wa kuwapata wagombea wa viti maalumu vya wanawake ambao kwa kiasi fulani umechangia kuibuka kwa mgogoro unaoendelea juu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ushenzi wa vikwazo wanaoumia ni wananchi

    Vikwazo vya kiuchumi na kufungia pesa imekuwa ni silaha ambayo imetumiwa mara kadhaa na mmarekani na wenzake. Hii silaha ilianza miaka ya 1950 hivi na Korea kaskazini. Wakaja Iraq, Iran, Venezuela…hata Zimbabwe wamo. Nchi wenza wa mmarekani hazijawahi kuwekewa vikwazo hata zikitenda madhambi...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Wananchi wanafahamu kuwa Wabunge wanapaswa kuwajibika kwa niaba yao badala ya vyama vyao?

    Na je, wananchi wanafahamu kwamba wabunge wao wako bungeni kwa niaba yao na kwamba wakifanya kinyume wawawajibishe? Katiba ya Tanzania, ibara 63 (2) iko wazi kwa jambo hili: “Sehemu ya pili ya Bunge (baada ya Rais) itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuna mteule wako anapiga simu kuzuia habari ya wananchi Kigamboni isisambae, kuna kitu hapo si bure

    Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao Inaelezwa kuwa kuna kigogo mmoja pande za kule kwenye kuvuka maji kule, Kigamboni anahaha kupiga simu...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao

    Inadaiwa kuwa huu mchongo unawahusisha vigogo wa kwenye mamlaka za juu na ndiyo maana kuna danadana zinaendelea. Taarifa za uhakika kutoka wa watu ambao wamekuwa sehemu ya waathirika wa mradi huo kwa ardhi yao kutaka kuuzwa kwa bei ya chini amedai kuwa wameshafanya vikao vingi lakini hakuna...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri aonya watendaji RUWASA kuchafuana wakisaka madaraka, ataka watoe huduma bora kwa wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewaonya watendaji wa Mamlaka ya Maji Vijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, akiwataka kuacha mara moja tabia ya kuchafuana kwa lengo la kusaka madaraka. Amewataka wafanye kazi kwa pamoja kuhakikisha miradi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi wawaita kituoni wananchi walioibiwa masufuria ya 'ubwabwa'

    Wananchi mkoani Njombe wameshauriwa kufika na kutambua mali zilizokamatwa wakati wa doria kutokana na kuibwa nyakati za usiku yakiwemo magodoro, pikipiki, sufuria zinazotumiwa na mama lishe migahawani, mitungi ya gesi, jiko na vingine vingi. Mali hizo nyingi zimekuwa zikiibwa wakati wa usiku...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki...
  15. JamiiForums Tanzania Urusi: Facebook yazuiwa kisa taarifa tata katika vita yao na Ukraine

    Urusi imezuia matumizi ya mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya Meta Platforms Inc's (FB.O) nchini kwao kile kilichoelezwa kupishana katika masharti ya vitu vya kuweka mitandaoni wakati huu wa vita yao na Ukraine. Maamuzi hayo yameongeza presha kubwa kwa vyombo vya ndani ya Urusi...
  16. JamiiForums Tanzania Kama mmefikia kuwa na hoja duni kama hizi, mtapata nafasi ya kupata sapoti tena toka kwa wananchi?

    Sasa huku ni kukengeuka au kutokuwa na watu makini maana mnashupalia hoja zisizo na mashiko kabisa na kuonekana kama majuha. Hivi rais wa JMT kupanda dege la Emirates ni hoja ya kuishupalia ili mpate kick? Sakata la Ngorongoro je? Mbona mnalielezea vingine kabisa? Sakata la Ngorongoro nalo...
  17. JamiiForums Tanzania Iringa: Wananchi wafunga barabara kushinikiza matuta barababarani

    Wananchi wa eneo la Kitwiru mkoani Iringa wamelazimika kufunga barabara kwa muda, wakishinikiza kuwekwa kwa alama ya wavuka kwa miguu au matuta, kutokana na matukio ya ajali za mara kwa mara za watu kugongwa katika barabara hiyo. Wakazi hao wamesema wanawaomba Wakala wa Barabara. Tanzania...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

    Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%. Wakimnyima...
  19. JamiiForums Tanzania Profesa Adolf Mkenda mulika vyuo vikuu vyenye utitiri wa programmes ambazo ni irrelevant, unmarketable

    Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi ni mfano mzuri zaidi wa wadai haki kwasababu wao ndio wanaoipa Mamlaka Wawajibikaji na mara nyingi wanalipia huduma wanazopata

    Tunaweza kusema kuwa kuna uwajibikaji wa kidemokrasia katika utoaji huduma pale ambapo wananchi au wawakilishi wao wanahoji au kutoa mrejesho kuhusu huduma za umma halafu watendaji wa kisiasa na watoa huduma ama wayafanyie kazi maoni hayo au wawajibishwe. Kutokana na dhana hiyo ya msingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…