wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi adaiwa kushinikiza wananchi kupiga kura ya siri kuwataja wachawi na wenye Fisi

    Nimepokea taarifa kutoka kwenye chanzo chenye uhakika zikidai kuwa DC wa Bariadi amewashinikiza wananchi wa mtaa wa Mangaka wilayani Bariadi kupiga kura ya siri kuwaandika majina wachawi na wenye Fisi. Takribani wiki tatu (3) zilizopita tulisikia habari za fisi kujeruhi na kuua watu kadhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushirikishwaji wa Wananchi katika mipango ya maendeleo ndio chachu ya maendeleo

    Inaelezwa kuwa utendaji wa viongozi wa vijiji umekuwa ukikabiliwa na changamoto mbalimbali kutokana na viongozi wengi kutokuwa tayari kushirikisha wananchi katika utekelezaji wa majukumu mbalimbali. Hali hiyo inadaiwa kusababisha kukosekana kwa uwazi katika masuala la mapato na matumizi na...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania imekosa Viongozi wenye kufariji Wananchi

    Bana bha JF bonsoir!? Inasikitisha kuona ya kwamba hakuna kiongozi anajali na kuishi dhana ya uongozi hasa wajibu wa kufariji wananchi nyakati ngumu, kila kiongozi anajiangalia yeye na roho mbaya ikitamalaki. Hii nchi viongozi ni machatu ya kutisha. Bei zinapanda no body cares for a common...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Juma Raibu: Sijaondoa msaada wowote niliotoa Moshi, gazeti limetumika kunichafua

    Puuzeni. Mhe. Juma Raibu Bado anaendelea kuwasaidia Wananchi wake na habari za upotoshaji zinazosambaa kwamba ameondoa miundombinu aliyotoa kwa Wananchi NI uongo na uzushi wa watu wanaomchafua. ---- Kesho kutwa nitachangia vifaa vya ujenzi kwa Kata za Mjini Manispaa ya Moshi ili waweze kujenga...
  5. JamiiForums Tanzania Lini wananchi wataacha kuziamini porojo za wanasiasa?

    Tangu nchi ipate Uhuru Haakuna Ilani ya Uchanguzi ya chama cha siasa isiyokuwa na agenda kusabambasa maji, zahanati, pembejeo, masoko, ajira kwa wananchi, lakini baada ya uchaguzi kumalizika na mshindi kutangazwa hakuna ahadi iliyotekelezwa. Uchaguzi ukija wanarudia yaleyale tena mpaka miaka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

    Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani. Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua...
  7. JamiiForums Tanzania Jambo pekee nitakalojifunza Vita ya UKRAINE na URUSI linaendana na funzo la viongozi wa TANZANIA kwa wananchi pia kwa majirani zako we msoma uzi

    Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!! Nina Funzo kubwa kwamba USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI? Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana Kwa Magharibi Kumesababisha asiingiliwe mipango yake mapema , kwasasa hakuna hasa anayejua Kama...
  8. JamiiForums Tanzania Makamba Yusuf. Na hawa Wananchi waliokunjamana uso utadhani wanaangalia jua kali, lini wataanza Kulamba Asali kama Ninyi?

    Hii nchi inaumiza sana moyo. Yaani wakati wananchi wa kipato cha chini wanaumia na maisha magumu wakilambishwa Shubiri. Kuna mtu anatamba kuwa wao wanalamba asali. Na mbaya zaidi kuna watu wanampigia makofu na kushangilia. Hili ndilo lililoniumiza zaidi. Yaani form one wanacheka na form two...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uvivu wa wananchi na bunge ni vya kulaumiwa kwenye bei ya chakula

    Utamaduni wa uvivu ndiyo umesababisha tatizo kubwa la bei ya Chakula. Hakuna sababu ya Tanzania kuagiza mbolea, ngano, mafuta ya kupikia na sukari. Uvivu huu sio kwa Tanzania nzima lakini mikoa ya pwani, kati na mashariki inaongoza kwa uvivu. Vijana wanataka kukaa mijini tu bila shughuli wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo: Utekelezaji mradi wa viungo Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na Uchumi wa Wananchi

    WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na uchumi wa wananchi wake kwa kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mazao ya kilimo kupitia...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inalazimisha wananchi wake waiseme vibaya na waichukie?

    Haiwezekani Serikali ilazimishe wananchi wake waanze kulumbana nayo kwa kuisema vibaya na kuichukia kwa sababu ya mtu mmoja tuu Huyo Waziri wa Nishati anafanya nini hapo? Kwanini anafanya serikali yote ichukiwe kwa ajili yake peke yake? Je, watu wazuri na makini wa kuisimamia hiyo wizara...
  12. JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mguu kwa Mguu iliyofanyika Kawe ni fedheha kwa CHADEMA, kwani imekosa mvuto kwa wananchi

    Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni yao ambayo wameipa jina la Mguu kwa Mguu lengo likiwa ni kuwatembelea wananchi na kwahamasisha...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

    Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa: Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani? Hekima ipi mpewe na nani nyie? Au ndiyo la kuvunda?
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania UVCCM wangekuwa wanajali maslahi ya wananchi wangemshinikiza Rais Samia amfute kazi January Makamba na Mwigulu Nchemba

    UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao. Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha. Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku...
  16. JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa hali mbaya ya bei za bidhaa na uhaba wa chakula, Serikali ichukue hatua kuelimisha wananchi

    Uchumi unajengwa na mambo makuu mawili tu uuzaji na ununuaji iwe bidhaa au huduma (Demand and Supply). Mnyororo huu ukiyumba wa uuzaji na ununuaji tegemea maafa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi Hali mbaya ya maisha ilishaonekana hata kabla ya vita na niliandika uzi huu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bila kuwasikiliza wananchi wako utakwama

    Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo. Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti. Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk. Mapungufu ya msingi yapo...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

    Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu. Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku. Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki...
  19. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Magufuli na legacy yake

    Kesho ni kumbukumbu ya kutimiza mwaka 1 toka Raisi wa 5 wa Tanzania John Pombe Magufuli alipo fariki dunia, Magufuli alikuwa ni M-Socialist wa mlengo mkali wa Shoto na mwanamagauzi mkubwa wa uchumi. Ni yeye Magufuli ambaye ameacha legacy kubwa sana Tanzania ya vitu ambavyo ni alama ya uongozi...
  20. JamiiForums Tanzania Ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi na kutoza kodi ya viwanja na nyumba. Je, wananchi wameandaliwa?

    Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…