This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi...
Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29.
Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika
Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo?
Tulijenga...
Hali hii imeonekana kwa uwazi nchini Tanzania katika miaka ya karibuni, ambapo baadhi ya vyombo ambavyo kiasili na kisheria vinavyopaswa kuwa mabega ya wananchi kama vile Bunge na vyombo vya habari vimeshindwa kuendeleza wajibu wao ipasavyo.
Matokeo ya hali hiyo ni pamoja na kuziba kwa mianya...
Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025
Wamesema kuwa hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya...
Wakuu,
Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa kuripoti habari kuhusu mauaji kama walivyofanya BBC, kwao habari muhimu ni pongezi
-----------
Baadhi...
Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake.
Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!.
DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
Katika ukombozi wa taifa la Tanganyika sekta ya kulaani na matusi alikabidhiwa Sativa ila kwa sasa rasmi hii sekta kapewa Rachel Dangwa, ambapo inasemekana huwa hata akiota, anaota anaitusi serikali ya madhalimu.
Huyu mwanadada kaamua kusimama na wananchi kwa kuitusi serikali ya ccm kwa matusi...
Kwa yaliotokea iwe funzo kwa wote wanaopenda kuharibu miundo mbinu kwa malengo ya kiasasa, ni upumbavu kuchoma miundo mbinu ambayo unaitumia wewe mwenyewe
Huyu dada, very ambitious, alidhani kuwa kwa kukubali kutumiwa kwake basi pengine atapanda ranks na kuwa mtu mkubwa zaidi ya cheo alichozawadiwa. Matokeo yake akaligeuza bunge kuwa chawa wa rais, akashiriki kubariki azimio eti la kumpongeza rais utendaji wake wakati alitakiwa amsimamie huyo...
Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyochapishwa Julai 2025 inaonyesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti nchini imefikia milioni 54 kufikia robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, hilo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 29, Mwaka 2020.
Katika kipindi cha miaka minne hiyo...
Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria.
Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao
Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli
Bali...
Pro-mfumo mbovu
.Haya mambo hayawezi ishia mpaka yaishe wakulisave Taifa ndo kwanza hana ata wazo bado hajaamka kabisa.
Lazima tukubaliane yaliotokea tra29 na siku zote zilizofuata imetokana na wanachi vichaa kukutana na serikali katili
Ukweli ni kwamba pande zote hizi mbili zilificha makucha...
Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka Kwa Wananchi ya kwamba,Vyombo vyetu vilivyopewa dhamana ya kuwatetea wananchi Kwa Mujibu wa Katiba Sheria havifanyi hivyo,badala yake vinaendelea kulinda maslahi ya wanasiasa walioko Madarakani huku wananchi...
Nani kama Samia? Mtachonga sana.
Tunazidi kusonga mbele katika kazi na utu. Maelfu ya watanganyika wanafurahia ushindi wa maajabu wa Samia. Ushindi wa kihistoria.
Nimepigiwa simu na ndugu yangu wa Kishimundu anatokwa machozi ananiambia ana siku ya tatu hajala anajigaragaza kwenye michanga kwa...