wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ingilia kati. Kodi zinazolipwa na wananchi zimezidi na haziendani na Miradi ya Maendeleo inayofanywa na Serikali

    Wanabodi, Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo wa kodi ya kuwa wezesha kufanya shughuli zingine za ziada ambazo zinaweza zikawa na manufaa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Namna bora ya kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi

    Habari wapendwa, Ni matumaini yangu kuwa hamjambo kwa neema ya Mwenyezi Mungu. Kupitia jukwaa hili la "Stories Of Change" napenda kushiriki kwa kuja na mada isemayo "Namna Bora ya kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi" Kwanini nimeamua kuja na mada hii? 1. Naamini ni njia mojawapo ya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

    Nimawazo tu, Kama uholanzi Mawaziri wanafanya ziara kwa kutumia baiskeli kwa sababu wanabana matumizi ya pesa za walipa kodi. Zanzibar nayo iige mfano kama huo walau mawaziri watumie boda boda na wakuu wa mikoa, wilaya, wawakilishi na masheha ndio waamua watumie boda boda au baiskeli. Hii...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuimarisha vitengo vya habari Serikalini, kelele za tozo ni matokeo ya wananchi kutopata taarifa sahihi

    Taarifa sahihi ndio msingi wa umoja na mshikamano, kama Taifa tunahitaji kila Mtanzania apate taarifa sahihi kutoka katika vyanzo sahihi. Serikalini katika kila wizara, halmashauri au taasisi kuna kitengo cha habari kwa ajili ya kutoa taarifa ya utekelezaji wa mambo kwenye taasisi hizo au...
  5. J

    JamiiForums Tanzania RSM (Regimental Sergeant Major) wa Jeshi la Wananchi - JWTZ

    RSM / Regimental Sergeant Major. Kwa waliopitia JKT watakuwa wanajua uzito wa askari mwenye mamlaka ya RSM wa kikosi. Kwa kawaida RSM ni askari mwenye cheo cha Warrant Officer II, au Warrant Officer I, ktk kikosi husika. RSM hushughulikia masuala ya utii wa askari wa ngazi za chini kikosini...
  6. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kiafrika, Mzalendo kama Nyerere, Thomas Sankara na Magufuli asingekubali wananchi wao wanyonywe kupitia tozo

    Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi. Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki? Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
  7. JamiiForums Tanzania Sababu ya wananchi kususia vikao serikali za mitaa

    Wakati vumbi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 likiwa bado halijatulia, baadhi ya wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi nzima wanashindwa kuitisha mikutano ya kila robo mwaka kutokana na wananchi kudaiwa kuisusia. Mbali na wananchi kususia mikutano hiyo katika baadhi ya mitaa na vijiji...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaunga mkono vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita

    Wananchi wanaunga mkono Vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu, Vipaumbele hivyo ni; Vituo vya Afya Kilimo Maji Usafiri na Usafirishaji Elimu Ajira Usalama wa Chakula Huduma ya Umeme N
  9. JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha: Wananchi Asilimia 68 "Hawana Furaha", Serikali yaonya

    Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi. “Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
  10. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sensa kwa mwaka huu 2022, tofauti na miaka mingine, je yana tija kwa wananchi?

    Mabadiliko ya utaratibu wa kuhesabu watu kwa mwaka 2022, tofauti na miaka mingine je, ni kweli yana tija kwa wananchi wa kawaida? Mabadiliko hayo baadhi ni pamoja na: 1: kubadilika kwa mihula ya shule/ vyuo. (Kwenye muda wa likizo) 2: matumizi ya vishikwambi 3: mabadiliko ya siku, (sensa...
  11. JamiiForums Tanzania Wananchi wameridhika na tozo kwa kuwa fedha zinazopatikana zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo

  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watafiti waonya wananchi kuhusu Maziwa yaliyochafuliwa

    Onyo hilo linatokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI) iliyobaini kuwa takriban 50% ya sampuli za Maziwa zilizokusanywa kutoka kaunti za Nakuru, Laikipia na Nyandarua zilikuwa na uchafu. Ripoti hiyo ilionesha kuwa kati ya sampuli 493 za Maziwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wataja uchumi kuwa ni tatizo kubwa zaidi linalosumbua kaya zao

    Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa TWAWEZA wakati wa uzinduzi wa utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, Agosti 25, 2022. Matatizo makubwa matatu yaliyotajwa kuwasumbua zaidi wananchi kwenye kaya zao yote ni matatizo ya kiuchumi. Kati ya hayo, tatizo kubwa zaidi ni kupanda kwa bei za bidhaa na...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI TWAWEZA yaahirisha uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, leo Agosti 25, 2022

    Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa. Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti wa TWAWEZA Waonesha Gharama za Maisha, Ukosefu wa Ajira/Kipato na Uhaba wa Chakula Kuwa Mambo Makubwa Yanayowaumiza Watanzania

    Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi. TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi. Utafiti huo mpya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ndio zao

    Wanaanza kwa kukujaza upepo mpaka unajiona umenona, wewe ndio wewe, Mfalme. Wanakulainisha na kukulegeza mpaka miguu inakosa nguvu, huwezi kusimama. Wakianza kuingiza huna cha kuzuia, umekwisha. Kwani michezo yao si tunaijua?! Kila siku tunaisikia na kuicheza, lakini ikifika muda wa kuchambua...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Ushiriki wa wananchi katika kudai uwajibikaji sekta ya kilimo

    Utangulizi Kwa kipindi kirefu kumekuwa na changamoto ya ushiriki wa wananchi katika kufuatilia na kuwajibisha viongozi wa serikali katika jamii zao. Hii imepelekea ufujaji wa radimali za umma katika sekta ya kilomo na kudhohofisha usalama wa chakula. Wananchi ni nguzo muhimu sana katika maeeleo...
  18. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya lambalamba za benki kwa baadhi ya wananchi

    Wadau mapokezi ya tozo za benki kwa wananchi yamepokelewa kwa namna tofauti, hivi sasa tunavyozungumza wapo baadhi ya wananchi wameshasafisha account zao za benki na kupeleka fedha zao kusikojulikana na kuacha account zao nyeupe kabisa wakihofia lambalamba.
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Iraq yasitisha shughuli zake Wananchi wakisisitiza kuvunjwa kwa Bunge

    Mahakama nchini Iraq imezisimamisha shughuli zake ikiwa ni baada ya wafuasi wa kiongozi wa kidini mwenye ushawishi mkubwa Moqtada al-Sadr kuongeza shinikizo lake kutika kuvunjwa kwa bunge, ukielezwa kuwa mgogoro mkubwa tangu uvamizi wa Marekani. Katika siku za hivi karibuni kiongozi huyo...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya gani Serikali ikawaambia ukweli wananchi kwamba nchi inaelekea kufilisika?

    Pamoja na kwamba, mwananchi ndio mjenga nchi, lakini kwa uelewa wangu mdogo, naona kwa Tanzania mambo ya tozo yamezidi. Ni bora serikali iwaambie ukweli wananchi kwamba, nchi inaelekea kufilisika ili tuanze kujifunga mkanda, kuanzia viongozi mpaka wananchi. Kinachoendelea sasa Tanzania ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…