wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Wananchi... Sasa namalizia mjengo wangu

    Kwanza sifa zote ziende kwa mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunipa pumzi, Alhamdullilah. Tulidharauliwa sana. Kipindi naenda kusoma ndugu walikaa kikao wakawa wanasema "unapoteza muda tu, hiyo kozi hailipi." "Kwanza kuna ajira huko?" "Mishahara yao midogo sana" "Kwanza kazi ya kukimbia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Aweso: Ruksa wenye visima Binafsi vilivyo hakikiwa kuhudumia wananchi

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka watoa huduma binafsi ya visima kutoa huduma hiyo kwa kuzingatia taratibu za uuzaji zilizowekwa kisheria ikiwemo maji bei elekezi na kuhakikisha maji hayo yana ubora. Amewataka wamiliki wa visima binafsi na vya umma kuendelea kutoa huduma hiyo kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe na Crimea, Warusi walishahamisha wananchi kimya kimya

    Ndio dhambi za dhuluma, unamega ardhi ya watu ila ujue hata kama miaka itapita mia lazima itakuja watoka wajukuu wako puani, Urusi baada ya kuiba Crimea ikaifanya sehemu ya nchi yake, ila wazalendo wa Ukraine wametembeza kichapo cha balaa na imekua wazi Warusi wataishia kutema maeneo yote...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nape na Wizara ya Makamba zote zinawatesa wananchi

    Wizara ya Nape kila kukicha gharama za bando zinazidi kupaa na Watanzania wanajua. Wizara ya Makamba kila kukicha inaongoza kwa kukata nishati ya umeme na kwalo vitu kama radio, TV, freezer na vitu vingi fanani navyo vinaharibika kwa kuungua na hata biashara zitegemeazo umeme zinaharibika...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wananchi wa Mbagala walalamikia DAWASA kusitisha huduma ya mwekezaji binafsi

    Wakazi wa Mitaa ya Bughudadi, Kizinga na Moringe, Kata ya Mbagala wameilalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa kutowatimizia mahitaji yao ya maji maeneo yote na kudai kuwa hali hiyo inawalazimu kutumia muwekezaji binafsi kupata huduma hiyo. Malalamiko hayo...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Nape ondoka Wizarani bila shuruti, kwa sasa hupendwi na Wananchi na Mungu pia

    Sitoandika mengi hapa kwako Nape, Yani vifurushi leo unakuja na lugha laini ila ikipita miezi kadhaa wazunguka huko huko huenda kutekeleza malengo yako, maana mmeishajua mwenye nchi wasahaulifu, watapiga kelele, ila nyie mwala mema ya nchi, hivi mwafikili hizi pesa za dhuluma mtazikwa nazo...
  7. JamiiForums Tanzania Force Account: hata Kipanya anajua madudu!

    Sasa hata Kipanya na wananchi wameanza kuielewa Force Account na madudu yake. Serikali ifanye Technical Audit kwa hii miradi kabla haijabomoka yenyewe.
  8. JamiiForums Tanzania Ili wananchi wa kipato cha chini watumie gesi ya kupikia

    Ili wananchi wa kipato cha chini watumie gesi ya kupikia tufanye yafutayo haraka. Tutengeneze mpango kabambe wa kuwawezesha wananchi wa kipato cha chini kutumia gesi ya kupikia badala ya kuni na mkaa. Tutoe ruzuku kwa ajili ya kupunguza gharama ya majiko ya gesi pamoja na mitungi ya gesi...
  9. JamiiForums Tanzania Morogoro: Wananchi wachoma ofisi ya kijiji Kilombero, wawili wauawa

    Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ikwambi kata ya Mofu tarafa ya Mngeta Wilaya ya Kilombero wanadaiwa kuchoma moto ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Mofu kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yanayotolewa na viongozi wakati wa utatuzi wa migogoro ya wakulima na wafugaji. Akizungumza na Mwananchi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Serikali ichunguzeni kampuni ya Mysol, inatesa wananchi

    Wana Jamii Forums nawasalimu nyote Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL maana tunakoenda naweza kuja kukata kichwa cha mfanyakazi wao nikapata kesi ya mauaji. Hii kampuni...
  11. JamiiForums Tanzania Wananchi Iran waendelea kuandamana dhidi dhuluma za kidini

    Serikali inaendelea kuua wananchi wake kama jitihada za kumpigania "mungu" na uislamu....japo wananchi wamechachamaa, masuala ya kidini waachiwe kila mmoja ajiamulie, sio mwanamke anauawa kisa kipande cha nywele kimejichomoza. ================== Acity in Iran that was the scene of a bloody...
  12. JamiiForums Tanzania Maoni ya Katiba Mpya: Kama madaraka yanatokana na wananchi, kwanini Rais Samia aseme kuwa mapendekezo ya Kikosi Kazi siyo amri kwa Serikali?

    Maoni ya kikosi kazi, kilichokuwa kikiongozwa na Profesa Mkandala, kimewasilisha rasmi maoni yake kwa Rais Samia, iliyoyakusanya kutoka kwenye makundi mbalimbali ya wananchi. Hata hivyo nimeshangazwa Sana na kauli iliyotolewa na Rais Samia baada ya kuyapokea maoni hayo, kuwa maoni hayo ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa kimsingi wa CPC ni kuzingatia zaidi wananchi

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) unafanyika mjini Beijing. Akihutubia katika ufunguzi wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa CPC Xi Jinping amesisitiza kuwa kuwanufaisha wananchi ni lengo kuu la Chama hicho, kauli ambayo kwa mara nyingine tena inaonyesha kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wa kata ya Loya, Uyui waishukuru Serikali kwa Fedha za vyumba tisa vya madarasa

    Mchakato wa kujenga vyumba tisa vya madarasa BADO unaendelea !Hii ni BAADA ya vile sita kukamilika na kufikisha vyumba 15 vya madarasa, lakini shule hiyo BADO haina vyumba viwili vya maabara vya kemia na biolojia, pia haina jengo la ofisi la utawala, ukumbi wa mikutano na mabweni ya kutosha...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wapinzani nimewapa kazi ya kukutana na kuzungumza, walete mapendekezo yao tukubaliane

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo tarehe 18 Oktoba, 2022 Zitto Kabwe- Kiongozi Mkuu wa Chama, ACT Wazalendo Nikiwa kiongozi wa kitaifa, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza sana...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tusaidie huyu kigogo wa CCM Kilosa anatuonea wananchi

    MIWA YA KIKUNDI CHETU IMECHOMWA MOTO KABLA YA MUDA WA KUVUMWA NAKUTUSABISHIA HASARA YA MAMILIONI YA SHILINGI. Huyu ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Kilosa. Ukweli ni kwamba yupo hapo kwenye uongozi siyo kwa nia ya kusaidia wananchi anaowaongoza bali ni kwa ajili ya kujilinda...
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya: Kikundi cha kihalifu maarufu kama vibeberu com chabaka wananchi mchana kweupe

    Thread was deleted
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia amemaliza ziara ya Mkoa wa Geita bila kuruhusu wananchi kuuliza maswali?

    Nimeona maajabu Mkoa wa Geita. Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini? Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa mikutano imekuwa kinyume.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Usiku wa deni haukawii kucha, kazi kwenu wananchi!

    Usiku wa deni haukawii kucha, Wasudani wanadai shingo ya mtu huko igeuziwe kibra! Mimi simo, ila povu linaruhusiwa!
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia azungumza na Wananchi Kilangalala Mkoani Geita, Leo Oktoba 15, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi Kilangalala Mkoani Geita leo tarehe 15 Oktoba, 2022 ambapo pia alitembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Chato na kuzindua Kituo cha Kupoozea Umeme na Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu mkoani humo. =====...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…