Itakuwa umeona video mbalimbali za sehemu mbalimbali watu wakienda kuzika wapendwa wao huku wanacheza na kuweka nyimbo za kishujaa. Hii ni tofauti sana tuliozoea misiba kuwa na vilio.
Je maumivu yamepitiliza hadi wanaona wawape ushujaa wapendwa wao?
WANAWAKE WENGI WASIOPATA UJAUZITO WANAKOSEA HAPA
WANAWAKE WENGI WANAKOSEA HAPA
Unajua siku zako za hatari au bado unakisia tu? 🤔
👉🏾 Ukweli ni huu: Bila kujua mzunguko wako vizuri unaweza kushangaa kwa nini mimba haishiki… au ukaingia kwenye mimba bila kutarajia.
Hatua za Kujua Mzunguko Wako 🩸...
Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe .
Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?.
Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu .
Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
Huu ni ushahidi ufike kwa Shekhe Mziwanda, na Shekhe Jongo.
Msikilizeni Tundu Lissu akitetea Mashekhe wa Uamsho, na Answar Sunna.
Je, ni uungwana Mziwanda, Jongo, na Mwaipopo, kumshambulia Tundu Lissu?
https://www.youtube.com/watch?v=WcWTRjKreWc
https://www.youtube.com/watch?v=0WazpC_VdZE
Matayo 23:9 katika Biblia (New International Version - NIV) unasema:
Kwa Kiswahili cha kawaida:
Yesu anawaambia wanafunzi wake wasimwite mtu duniani "baba" kwa heshima ya kiroho, kwa sababu Mungu pekee ndiye Baba wa kweli wa kiroho aliye mbinguni.
KUMUITA PAPA KUWA BABA YAO KTK DUNIA
Wanasema Simba hakugomea mechi,ila wao ndio walighairisha.
Swali ni je,kati ya wao bodi na Simba nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa rasmi kuwa hakutakua na mechi?
Simba walitangaza usiku wa kuamkia siku ya mechi kuwa wao rasmi hawatocheza mechi.na kulivyokucha asubuhi ya siku ya mechi bodi...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi?
Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila...
Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa.
Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani.
Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali...
Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
Nani ameturoga? Kumfungia mwamuzi bila kudhibitisha pasipo kuacha mashaka kuwa mwanafuzi amekosea kwa makusudi na siyo kwa bahati mbaya ni kuonyesha namna tunavyodharaulika duniani.
Ni nani ana ushahidi kuwa waamuzi wetu wamekosea kwa kudhamiria? Hata sisi watazamaji tunategemea fursa ya...
Mkurugenzi TAMWA-ZNZ awashangaa wanaotaka mabadiliko ya sheria
Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa habari wanawake TAMWA-ZNZ Dkt,Mzuri Issa amesema mtazamo wa baadhi ya wanajamii kutaka watoto wakike wanaobakwa waliofikisha miaka (15) wawe sehemu ya kupata adhabu kisheria ikiwemo kufungwa...
Nimekuwa nikiona sana kuna kukosekana kwa uelewa juu ya utofauti wa mtu aliejiajiri (self employed) na mmilliki wa biashara (cusiness owner)
Mtu aliejiajiri ni mtu anaefanya shughuli zake yeye mwenyewe kwa asilimia kubwa ili kuzalisha kipato, mfano ni mangi mwenye duka, mtu mwenye duka anaeuza...
Wakati wote tangu dunia kuwepo, ulimwenguni matajiri ni wachache sana wakati mafukara ni wengi sana. Inakadiriwa asilimia 1 ya matajiri duniani wanamiliki asilimia 50 ya utajiri wote duniani!
Harakati nyingi duniani ni za kuwapa masikini unafu wa maisha. Kuna elimu bure, COVAX, MKUKUTA, LHRC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.