wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kifinyo cha Kimataifa kizidi hadi Wanajeshi na Polisi wakose Posho na Mishahara

    Watanganyika tumeamua. Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao. Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja...
  2. JamiiForums Tanzania Haya Wanajeshi mjipange Sasa, Niliwaonya , Kuna Panga linaenda kupita huko kwenu wanatafuta Wanajeshi wanaounga Mkono Wananchi

    Niliwaandikia hapa https://www.jamiiforums.com/threads/wanajeshi-mnaoungana-na-wananchi-hakikisheni-nchi-inakombolewa-duru-zimethibitisha-samia-akifanikiwa-mtafanyiwa-persecution-ambayo-haijawahi-tokea.2394820/ Hamkua Serious, Sasa na nyinyi Kilio kilekile tulicholia wakati wa Usaliti wenu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanaua watu mtaani ni Wanajeshi wa Uganda au Janjaweed wa Zanzibar ?

    Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano. Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko...
  4. JamiiForums Tanzania Wanajeshi na askari police wameviishi viapo

    Kwa upande wa Jeshi sina cha kuongeza kila mtu ameona namna walivyoviishi viapo kwa Taifa lao. Kwa upande wa police nanyi mmeonyesha kumbe nanyi mpo conscious japo mwanzo nilikuwa nawatazama kwa sura hasi sana. ufyatuaji wenu wa mabomu ya machozi umedhihirisha kuwa hamkuwa na nia ovu mioyoni...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi toka lini kuchana mabango ya kampeni za uchaguzi ikawa kosa kisheria? Ina maana ukiwa mwanajeshi sheria inakulazimisha kuchagua chama tawala tu?

    Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi! Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk! Kwa jicho la 3, mimi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

    Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake kwa hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Wanajeshi mnaoungana na Wananchi, Hakikisheni Nchi inakombolewa, Duru zimethibitisha, Samia akifanikiwa Mtafanyiwa Persecution ambayo haijawahi tokea

    Wakuu Hawa wahuni wako serious sana sana !!. Sasa Kuna Taarifa za kuthibitika , ni kwamba Genge la Akina Samia limeamua mambo yafuatayo Kwanza, Wahakikishe iwe ni Kwa Jasho ,Damu Samia aapishwe. Pili, Baada ya Uhapisho wake, KUTAFUFANYIKA PERSECUTION DHIDI YA WANAJESHI WOTE AMBAO...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi na wanajeshi wapinga tizi zito Kinondoni

    Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Mkoa huo umefanya mazoezi ya pamoja Oktoba 3, 2025. Mazoezi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Jeshi la Wananchi Mwenge – Kikosi cha Bendi, yalihusisha matembezi mafupi (route match) pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu sana raia wanawategemea wanajeshi wawakomboe kumbe tena wanajeshi nao wanawategemea raia

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii inchi ni ngumu sana wakuu Mimi nilitegemea wanajeshi watukomboe kumbe wanajeshi nao wanatutegemea sisi raia tena Dah nimechoka kabisa aisee Ivi hakuna hata captain mmoja kweli asokote kikosi atukomboe jaman SAYUNI BOY
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi

    Nawasalimu nyote kwa isani ya maandamano ya amani 29 October Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi kakikundi kidogo chenye tamaa za madaraka na vitoto vya shetani vinatka kumwagilia mafuta wananchi na majeshi kumwagana...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi wa Tanzania wameukataa uchaguzi au ni Maigizo?

    Kuna Mwanajeshi kataka Tanzania isifanye uchaguzi. Je, Yupo peke yake au nyuma yake kuna wenzie. Kama katoka hadharani na kisema, huu mwezi wa kumi 2025 utakuwa ni mwezi kona. Anaitwa Kapteni Tesha kutoka Shule ya Anga ya Jeshi. Amesema katafakari sana.. Amesema, "JESHI LICHUKUE NCHI HARAKA...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

    Wakuu habari. Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?. #kazi ipo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yaani ni aibu sana kuagiza mpaka sare za wanajeshi nje ya nchi

    Aibu sare za wanajeshi zinatolewa nje ya nchi kwasababu. Kuna viwanda vya nguo kama A to Z ambavyo Bill gate foundation wanatoa pesa za ili watengeneze neti za mbu cha ajabu badala ya kutoa kazi kwa hizi kampuni tunaenda kuagiza sare kwa kulipa mabilioni Yaani ni aibu sana kuagiza mpaka sare...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wenye Vyeo vya SM (Sir Major) wanaogopwa sana na kuheshimiwa mno Jeshini hata na Maafisa wakubwa Majeshini?

    Leo katika hii Mada kazi yangu kubwa itakuwa ni kusoma tu Comments zenu. Na nasikia pia wanasifika zaidi kwa Kuroga.
  16. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wakipongezwa Kuwalinda Raia dhidi ya Askari/Police. Jeshi letu msikubali kutumika

    Sehemu nyingi Duniani askari police huwa hawana akili. Askari Police wengi asilimia 80 huwa hawana tofauti sana na Mbwa.(Naamini wa Tanzania wapo tofauti) Wana Elimu ya kutosha na wameelimika. Sasa ukija kwa hawa Police na hata Mbwa huwa wana akili. Huwezi mwambia Mbwa amuume bwana ake akafanya...
  17. JamiiForums Tanzania IDF imesema Hamas wameua wanajeshi 4 jana, siku zote huwa hawasemi ukweli wamekufa wengi

    Wanaukumbi. Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa katika shambulio la Hamas pembezoni mwa Jiji la Gaza mapema Jumatatu Septemba 8, 2025 jeshi limethibitisha baadaye siku hiyo. Tangazo hilo limetolewa wakati Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akiwatolea rai wakazi wa Jiji la Gaza “kuondoka mara moja,”...
  18. JamiiForums Tanzania Kikosi Cha Wanajeshi Wapatao 1000 Wa Urusi Chazungukwa Na Vikosi Vya Ukraine Wakati "Command Centre"Yao Ikiangamizwa Kabisa Huko Pokrovsk, Ukraine

    Majanga Kwa Putin🤔 .. Pokrovsk continues to be one of the hottest areas on the frontlines in , the scene of fierce fighting.
  19. JamiiForums Tanzania Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuwateka wengine 4

    Wanakumbi. Kundi la Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuripotiwa kuwakamata wengine 4. Hata hivyo Israel imedai kuwa ni mwanajeshi mmoja tu aliyeuawa na wengine 11 wako katika hali mbaya. Israel imeweka udhibiti mkali wa vyombo vya habari kuhusu ripoti zinazohusiana na...
  20. JamiiForums Tanzania Gaza City: Hamas wateka wanajeshi wanne wa Israel huku wakiwaua wengine 9 katika shambulizi la kushtukiza

    Kikosi cha wapiganaji wa al qassam kimefanya shambulio hivi Leo na kufanikiwa kuwateka wanajeshi wanne wa Israel na kuuwa wengine 9 na kuacha majeruhi wengi. katika tukio linaloendelea katika mji wa Gaza. Helikopta 8 za jeshi la Israel zimeonekana zikibeba maiti na majeruhi kuwapeleka hospitali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…