wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania DRC: Wanajeshi wa Kenya wamewasili DRC huku waasi wakikaribia Goma

    Wanajeshi wa Kenya wamewasili Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ajili ya kupambana na makundi ya waasi ambayo yamesababisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo kwa miongo kadhaa. Wanajeshi 903 wa Kenya wameingia DRC chini ya makubaliano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kutumia Tsh. Bilioni 86.1 kupeleka wanajeshi DR Congo

    Bunge la Kenya limepitisha kiasi hicho cha fedha kwa Wanajeshi 1,000 kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ikiwa ni bajeti ya miezi 6. Imeelezwa ruhusa hiyo ya Dola Milioni 37 imetolewa siku mbili baada ya Waziri wa Ulinzi, Aden Duale kukutana na Kamati ya Ulinzi ya Bunge. Fedha hizo...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi imepoteza wanajeshi 100,000. Hiyo ni sawa na ukijumuisha JWTZ, KDF, UPDF, RDF na uche

    Mpaka sasa Urusi imepoteza idadi ya wanajeshi sawia na active personel wote wa EAC na uchee.....na wameambulia asilimia 15% ya Ukraine ambayo na yenyewe inawatokea puani wanaikimbia... Russia's announced retreat from Kherson, a regional capital in southern Ukraine that it seized early in the...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kuwaua wanajeshi Warusi wanaokimbia mapambano chabuniwa

    Jameni kuwa mwanajeshi wa Urusi ni shida, kule mbele mnapigwa na kuuawa kama senene, mkirudi nyuma mnauawa na kikosi kilichobuniwa na Putin cha kuua wanaokimbia. Sidhani kama kuna miaka itakuja Warusi wasahau hii aibu wanayofanyiwa na kainchi kadogo. Wazungu wa Urusi sijui walikosea wapi, sio...
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wakitizama wavuvi wanavyovuta ndege kwa kamba

  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

    Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana. Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio. Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapeleka wanajeshi DRC kupambana na MRC

    Baada ya DRC kujiunga EAC, imebidi mataifa kwenye jumuiya yafanye maamuzi ya kuwasaidia. ======== Kenya's President William Ruto (left) on November 2, 2022 inspects some of vehicles to be used by Kenya Defence Forces soldiers deploying to the DRC as part of the East Africa Community Regional...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Hadi huruma, wanajeshi wa Urusi wanavyohangaika kuhamisha majeruhi kutoka Luhansk

    Wanateseka kutoroka huku wakiburuza majeruhi wao, jameni aliyewaponza yuko Kremlin anapiga gongo la Vodka ametulia hana habari. The Russians were seen evacuating around 150 wounded soldiers in Kherson and Luhansk, using the nearest crossings across the Dnipro River. After suffering a string of...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi Warusi waukimbia mji ambao walikuwa wamejitwalia kwa "kura" za maoni

    Wanajeshi zaidi ya 5,000 waogopa kuzingirwa, waamua kutoka nduki, ni mojawapo wa miji ambayo walikua wamejichukulia, shughuli inaishia Crimea maana ndiko ilianzia... Sijui mgambo wanywa gongo watafanya nini tofauti na hawa wanajeshi wanaokimbia mapambano. Russia has withdrawn troops from the...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Tuliwaambia hamna cha kura wala nini, wanajeshi wa Urusi wazingirwa Lyman

    Hizo sideshows za kura sijui referendum wala nini hatuna muda navyo, ngoma ni ile ile, inaishia Crimea, mlete wanywa gongo watafyekwa tu KYIV — Less than 24 hours after Russian President Vladimir Putin proudly proclaimed the illegal annexation of Ukraine’s Donetsk region, thousands of his...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Warusi waanza kuchoma maiti za wanajeshi wao

    Wanataka ionekane kama ambao walikimbia mapigano, sio kwamba waliuawa. Wanatumia magari yenye tanuri ya moto wa kuchoma maiti hadi majivu ======== The Russian Ministry of Defence has been notoriously protective of data on the casualties suffered during Vladimir Putin's "special military...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kenya itapeleka Wanajeshi kulinda Amani Jamhuri ya Congo

    Ruto amesema kwasababu Umoja wa Mataifa umetuma vikosi vyake kusaidia katika upatanishi wa amani na kupambana na waasi wa M23, kwa upande wa Kenya ikiwa ni sehemu ya EAC pia itajitolea kusaidia taifa hilo la Afrika ya Kati. Alibainisha kuwa kila nchi ndani ya EAC, ambayo DRC ni sehemu yake kwa...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanywa gongo walewa chakari wakiwa safarini kwenda kupigana pale wanajeshi wa Urusi wameshindwa

    Putin ameamua kukusanya wanywa vodka mitaani wakapigane pale ambapo wanajeshi rasmi wa Urusi wameshindwa mpaka kutoroka mapambano...... Chaotic scenes have been shared on social media following Vladimir Putin's mobilization decree amid reports that the authorities are looking to draft far more...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Cameroon wakamatwa kwa kuua raia kwa risasi

    Wanajeshi watatu wanadaiwa kuwashambulia Wananchi na kuua Wanawake wawili wasiokuwa na silaha katika Kijiji cha Andeck. Wanaharakati wa kutetea Haki za Binadamu wanalaumu Jeshi la Cameroon kwa tukio hilo walilofanya wakati wakiwasaka washukiwa wanaoupinga utawala wa Serikali iliyopo madarakani...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wazamisha merikebu iliyokua imesheheni wanajeshi wa Urusi na silaha

    Hali inazidi kuwa mbovu kwa Warusi kwenye nchi ya watu..... Ukrainian forces sank a Russian barge transporting troops, equipment and weapons across the major river crossing, Ukraine’s Operational Command South said, according to Pravda Tuesday. "Attempts to establish an alternative crossing...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mamluki wa Putin apokea kichapo na wanajeshi wa Urusi hotelini

    Mwanachama wa kikosi cha mamluki wanaoitwa Wagner, ambao Putin anawatumia kupigana huko Ukraine, anaonekana hapa kwenye video akigombana na wanajeshi wa Urusi, kisha ghafla akapokea kichapo cha mbwa, watu wana hasira... Videos posted to Telegram on Friday apparently show a Russian mercenary...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali haitabadili miaka ya Wanajeshi kuoa na kuolewa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Dkt. Stragomena Tax, ameliambia Bunge kuwa kwa sasa utaratibu wa miaka 6 utabakia kama ulivyo kutokana na misingi iliyowekwa kwa ajili ya kuwaandaa Askari hao kulinda nchi. Dkt. Stragomena amesema Askari wapya wanaojiunga na Jeshi wanabakia kuwa...
  18. 5

    JamiiForums Tanzania Zelensky awaonya wanajeshi wa Urusi kujisalimisha

    Hali imebadilika mwanzo wa hii operation Urusi ndio wakiionya Ukrain wanajeshi wake kujisalimisha lakini baada ya miezi 7 sasa Rais wa Ukrean Zelensky amekuja na kauli hii yeye kuwaambia wanajeshi wa Urusi wajisalimishe na hii ni baada ya Ukrean kufanikiwa kurejesha maeneo yake karibu kilimita...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Waalimu waombwa kutumia mishahara yao kutoa misaada kwa wanajeshi wa Urusi walio Ukraine

    Wameambiwa wale ni ndugu na watoto wao wanaoteseka kule Ukraine kwenye vita... Russian teachers have been asked to give up part of their salaries and donate it to Russian soldiers invading Ukraine. A teacher at one of the schools told Important Stories they were given flyers to apply to...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Putin katelekeza wanajeshi wake toka vita ianze miezi 8 sasa hajawahi watembelea askari wake walio msitari wa mbele Ukraine

    Vita ikilipuka amiri Jeshi mkuu huwa ana kawaida kuwatembelea wapiganaji walio msitari wa mbele vitani kuongea nao na kuwatia moyo na kuwasikiliza Raisi Zelensnkyy wa Ukraine amekuwa akiwatembelea mara kwa mara Askari wake walio mstari wa mbele na kupokelewa kwa shangwe na Askari wake Putin...
Back
Top Bottom