wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani inafundisha Wanajeshi wa Kiafrika kufanya Mapinduzi nchini mwao? Walioongoza mapinduzi Guinea na Burkina Faso ni zao lao

    Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani zilizotumika kuwafunza Viongozi wa Kijeshi wa Mapinduzi barani Afrika Mnamo Januari 2022, Luteni Kanali...
  3. JamiiForums Tanzania Hamas wametoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye vita Gaza

    Wanaukumbi. Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza. Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine zinazodhibitiwa kwa mbali. Walikamatwa baada ya kambi yao ya kijeshi kuzidiwa na wapiganaji wa Hamas, na...
  4. JamiiForums Tanzania Mwandishi aliyetoa habari za vifo vya wanajeshi wa IDF kauliwa na Mossad

    Wanaukumbi.. ⚡️[Itathibitishwa] Habari za kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Kiyahudi Jerry Yorkam, ambaye aliandika ripoti inayoelezea idadi ya Wayahudi waliouawa katika vita vya Gaza baada ya siku 83 za vita. Idadi ya magari 825 Idadi ya Wazayuni waliouawa 8435 Idadi ya vifo vya Ufaransa 902...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

    Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa SADC. Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao...
  6. JamiiForums Tanzania Maelezo kwa ufupi juu ya clip ikionyesha wanajeshi katili wakiua raia

    Hii clip nimeiona kutoka kwenye uzi alioanzisha mdau anaitwa GoldDhahabu wenye kichwa cha habari Hawa wanajeshi katili ni wa wapi? . https://streamable.com/ly7v6f Kuna maelezo mengi tofauti na sehemu kubwa si sahihi. Tukio linaonyesha raia ambao wamefungwa mikono na kuzibwa macho wakikokotwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fangasi za Ajabu zinawawatesa wanajeshi Israel, wafariki. Laana za Allah zawaandama

    Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal. Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaidi. === Leo ikiwa ni siku ya 81 ya mapambano kati ya Jeshi la Israel (IDF) na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Israel yatangaza kuanza kukodisha wanajeshi mamluki

    Israel imetangaza rasmi kuhitaji huduma ya wanajeshi mamluki kutoka sehemu mbali mbali duniani. Tangazo lililotolewa na jeshi la Israel (IDF) imeelezea ofisi za usaili zipo kwenye ubalozi wa Israel jijini New York kwa wahitaji waliopo bara la Amerika ya Kusini na kaskazini huku wahitaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Israel yaamrisha Misri iondoe wanajeshi wake eneo la Rafah, inataka kupapiga na ipakalie

    Raundi hii Israel haicheki tena, yaani inatunisha misuli kote maana ni dhahiri hawa waarabu na dini yao hamna siku watakuja kukubali kuishi na Wayahudi kwa amani,================== The IDF has allegedly informed Egypt of its intention to occupy the Rafah border area and asked Egyptian soldiers...
  10. JamiiForums Tanzania Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

    Wanakumbi. VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸 Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine. Wiki...
  11. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Kikosi cha 13 cha Brigedi ya Golani katika jeshi la Israeli wakishangilia kuondoka Gaza

    Wanaukumbi… Wanajeshi wa Kikosi cha 13 cha Brigedi ya Golani katika jeshi la Israeli washerehekea kutoroka kwao kutoka Gaza(Jeshi la Israeli liliondoa Brigedi ya Golani kwa sababu ya idadi kubwa ya vifo vyao) - Idhaa ya 12 ya Israeli =============== Soldiers of the 13th Battalion of the Golani...
  12. JamiiForums Tanzania Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

    Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo. Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili? TAHADHARI: Video hapo chini ina matukio ya kutisha. Usiiangalie kama huna ustahimilivu wa kutazama matukio ya kutisha.
  13. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa Tel Aviv, baada ya Wanajeshi wa IDF kuwaua mateka watatu huko Gaza

    Wanaukumbi. Maandamano makubwa huko Tel Aviv Israel. Wananchi wa Israel wanapiga kwa nini jeshi la nchi yao limewaua mateka wao, Wananchi wanahoji kwa nini waliwapiga risasi wakati hawakuwa na silaha… Wananchi wa Israel wanaitaka mateka warudia wakiwa hai...
  14. JamiiForums Tanzania Magaidi wanne wa Hebollah wauawa na IDF, pia wanajeshi wa Lebanon wapigwa

    Israel imeshaonya Hezbolla, wakiendelea na uchokozi watasababisha huko walipo pia kufanywe shamba.... Three Lebanese soldiers were lightly injured Friday by Israeli shelling in southern Lebanon, medical sources said, while the Lebanese army reported no casualties in a second attack on a...
  15. JamiiForums Tanzania Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

    Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat...
  16. JamiiForums Tanzania Biden anasema kuna uwezekano wa "wanajeshi wa Marekani kupigana na wanajeshi wa Urusi"

    Wanaukumbi. 🇺🇸 BIDEN WARNS: WE HAVE TO FIGHT RUSSIAN TROOPS IF UKRAINE FALLS In what appears to be a form of blackmailing to an entire nation, Biden ties the confrontation with Russian troops directly to the withholding of aid to Ukraine "Congress have to pass aid for Ukraine" "If Putin...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

    Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa. Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi? Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi, Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake. DF...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Kenya waanza kuondoka DR Congo

    Kikosi cha kanda ya Afrika Mashariki kimeanza kuondoka katika eneo lenye matatizo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wanajeshi hao walitumwa kwa mara ya kwanza katika eneo hilo mwezi Novemba mwaka jana kutokana na ombi la serikali ya Kongo kwa matumaini ya kulidhibiti kundi la...
  20. JamiiForums Tanzania Meli ya Israel yatekwa Yemen

    Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update Israeli media confirmed that Houthis attacked a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…