Israel yaamrisha Misri iondoe wanajeshi wake eneo la Rafah, inataka kupapiga na ipakalie

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,993
49,489
Raundi hii Israel haicheki tena, yaani inatunisha misuli kote maana ni dhahiri hawa waarabu na dini yao hamna siku watakuja kukubali kuishi na Wayahudi kwa amani,==================

The IDF has allegedly informed Egypt of its intention to occupy the Rafah border area and asked Egyptian soldiers to evacuate the area, Arab media reported.

The IDF informed Egypt of its intention to occupy the border area on the "Philadelphi" Rafa route and asked the Egyptian soldiers to clear the border, as reported on Saturday in the Arab media.

The report also stated that the IDF emphasized to the Egyptians that from now on the IDF would not be responsible for the security of Egyptian forces in the area, while the IDF is attempting to occupy the border area, and emphasized that the military operation in the area will continue whether Egypt agrees or
 
Aingie mara ngapi ona huyu nae. Kwani kinachoendelea saiv gaz ani group offensive attack wewe uko buza bado u ajirafiji kwamba wakiingia
😄 Unanichekesha eti waingie mara ngapi wenzako wanakimbia huko, kilio kila nyumba huko Israel.

Kikoso cha Golan kiko wapi?

Kwa tarifa yako kila sehemu alizo ingia Israel walingia wakati ndege zao za vita zinapiga kuna area Hamasi akawachia waingie, badaye walipofika Gaza, Hamasi kawashughulukia vile ipasavyo 😄
 
Raundi hii Israel haicheki tena, yaani inatunisha misuli kote maana ni dhahiri hawa waarabu na dini yao hamna siku watakuja kukubali kuishi na Wayahudi kwa amani,==================

The IDF has allegedly informed Egypt of its intention to occupy the Rafah border area and asked Egyptian soldiers to evacuate the area, Arab media reported.

The IDF informed Egypt of its intention to occupy the border area on the "Philadelphi" Rafa route and asked the Egyptian soldiers to clear the border, as reported on Saturday in the Arab media.

The report also stated that the IDF emphasized to the Egyptians that from now on the IDF would not be responsible for the security of Egyptian forces in the area, while the IDF is attempting to occupy the border area, and emphasized that the military operation in the area will continue whether Egypt agrees or
Mzee wa Uharo Israel ndoano imenasa hajui la kufanya harafu mgongoro wa Palestina na Israel umeujulia JF soma…
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Mwanzilishi wa Hamas, Sheikh Ahmed Ismail Hassan Yassin, alisema:

“Hatuwachukii Mayahudi na kuwapiga vita kwa sababu wao ni Mayahudi.

Mayahudi ni watu wa dini, na sisi ni watu wa dini.

Tunawapenda watu wote wa dini mbalimbali.

Ndugu yangu hata kama ni ndugu yangu na yeye ni Muislamu,

Ikiwa ataiba nyumba yangu na kunifukuza, nitampinga.
 
Raundi hii Israel haicheki tena, yaani inatunisha misuli kote
Tupate matangazo kidogo! Hii idadi wanatoa wao! Zakuambiwa changanya na..............

Fourteen Israeli soldiers have been killed fighting in Gaza over the weekend, the Israeli military has said.

Source: Sky news: Sunday 24 December 2023 13:38, UK
 
Safari hii Hamas hataweza kupumua tena, watakwisha kabisa. Myahudi hataki tena kucheka na kima.
Kweli maana kwa hii kata funua anayepelekewa nayo hawezi kua tena. Majenga zaidi ya 300,000 hayataweza kaliwa na binadamu tena
 
Mi naomba tu hii vita iishe maana mwarabu hichi kipigo ni cha mbwa koko aisee
 
BREAKING:

⚡️🇮🇱🇪🇬 Gazeti la Israeli "Maariv":

"Misri iliifahamisha Israel kwamba kukalia kwa mabavu mipaka yake na kuingia kwa Wapalestina katika Sinai ni mstari mwekundu.
 
Attachments

  • IMG_8499.jpeg
    IMG_8499.jpeg
    67.4 KB · Views: 5
Unanichekesha eti waingie mara ngapi wenzako wanakimbia huko, kilio kila nyumba huko Israel.

Kikoso cha Golan kiko wapi?

Kwa tarifa yako kilacsehemu alizo ingia Israel walingia wakati ndege zao za vita zinapiga kuna area Hamasi akawachia waingie, badaye walipofika Gaza, Hamasi kawashughulukia vile ipasavyo
Mkuu huwa unafurahisha sana na comments zako.Tangu kujiapiza hawatoingia Gaza na sasa hukosi vijisababu vya kujipa moyo baada ya IDF kuwa mitaani Gaza
 
Back
Top Bottom