wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

    Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote. Kwenye maandamano ya wiki iliyopita...
  2. Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  3. GE2025 Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?

    Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura? Tuna siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Uchaguzi huu umegubikwa lindi la kukosa uhalali pengine kuliko uchaguzi mwingine wowote Tanzania. Hata mgombea wa CCM ameshutumiwa na mpaka kufunguliwa kesi kuwa kajipitisha bila...
  4. Makundi ya Kiraia Kenya yaitaka Uganda kuachia Huru Wanaharakati Bon Njagi na Nicholas Oyoo waliotekwa

    Makundi ya kiraia nchini Kenya pamoja na ndugu wa wanaharakati wawili waliopotea nchini Uganda wametaka wale wanaowashikilia kuwaachia huru. Bon Njagi na Nicholas Oyoo walitekwa nyara na vikosi vya usalama vya Uganda wiki iliyopita baada ya kuhudhuria mkutano wa kampeni wa kiongozi wa upinzani...
  5. Watu majasiri na hodari huwa hawakimbii nchi zao upambana humo humo na hata kufa kishujaa katika nchi zao

    Hii ni mifano tu Saddam Hussein, Muhammad Kadafi, kina Polepole hawa ni watu majasiri sana na upambana kwenye ardhi zao hata kukubali kufa katika ardhi zao. Hakika Mungu uinua watu wake hakuna wa kuzuia.
  6. R

    Wanaharakati wawili kutoka Kenya watekwa Uganda wakiwa katika Kampeni za Bobi Wine

    Wanaharakati wawili kutoka Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, walidaiwa kutekwa nyara Oktoba 1, 2025 mchana na wanaume wanne wenye silaha wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama. Wawili hao walikuwa wameungana na mgombea urais wa National Unity Platform (NUP), Bobi Wine, katika kampeni zake nchini...
  7. Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote

    Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati mgumu ambapo ufisadi na rushwa vimezidi kuathiri maisha yetu ya kila siku. Miundombinu yetu ambayo...
  8. M

    GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko. Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
  9. W

    POTOSHI Mwabukusi awalipua haya kuhusu wanaharakati na CHADEMA

    Wakuu, nimekiona hiki kipeperushi je, kina ukweli kwa haya yaliyoandikwa kwa kurejelea mahojiano aliyoyafanya Mwabukusi na kituo cha Clouds TV?
  10. M

    Siwezi kumlaumu Mbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana

    Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea. Siwezi kumlaumuMbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana. Wanaharakati wana 20% tu, lakini raia wana 80% ya mageuzi...
  11. Kamwe usiache kazi zako na kujiita mwanaharakati katikati ya jamii hii ya watanzania Ambao furaha yao ni kula na kunywa basi

    Hii nchi haihitaji kutetewa kwa namna yeyote sisi bado tuna akili za kitwana !! Kamwe usiache kazi zako na kujiita mwanaharakati katikati ya jamii hii ya watanzania Ambao furaha yao ni kula na kunywa basi !! Watanzania walishaelekea kibra tangu enzi za mkoloni !! Niseme sisi ni washamba ni sawa...
  12. GE2025 Tume ya Afrika yalaani vikali unyanyasaji wa wapinzani na Wanaharakati Tanzania, yataka haki za binadamu uhuru wa Habari na Mitandao kipindi Uchaguzi

    Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025. Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  13. Kuhusu Kesi ya ya Lissu wanasheria na wanaharakati waipeleke mahakama za kimataifa

    Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo. Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa. Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania Mimi sio...
  14. GE2025 CHADEMA imeponzwa na ujinga wa wanaharakati

    Wanaukumbi. CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI .. Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia. Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la...
  15. Maria Sarungi na mange Kimambi nyie watanzania wajinga mmekubali ni wanaharakati kweli??

    Wako nje ya Tz, mmoja ulaya, mwingine sijui kenya na familia zao zipo Safe. Ni kivipi ww mwanaume mwenye kende mbili ukubali harakati za hawa wavaa pichu, wanaojiita wanaharakati wa mchogo na wanafiki. Kama wanapenda nchi yao,, kwanini wasije huku Bongo na tupigane wote kama wana uchungu wa...
  16. GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

    Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026. Ratiba imetoka hiyo...
  17. Wanaharakati wa mitandaoni punguzeni jaziba mtapata kisukari Ratiba ya uchaguzi ishatoka OCTOBER TUNATIKI

    Nadhani hakuna haja ya kupaniki mnajiumiza bure , huwezi kuzuia jua kwa mkono. Hongera sana tume kwa kutupa ratiba. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
  18. SI KWELI PreGE2025 Zitto Kabwe ameandika 'CHADEMA na wanaharakati sasa wamekuwa mashabiki wa CCM'

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…