Wanahakati wa siasa bongo jau sana

Wanahakati wa siasa bongo jau sana

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,889
Reaction score
165,866
Wanaharakati wa siasa wa bongo, yani wanatupigisha fantasy ya ajabu sanašŸ˜…

Oooohh mahakama ya the hegi😁 Cc Bufa.

Eti Marekani wanasikia kilio chetu, gademitt, wapi ulisikia Marekani anajali nyumbu yeyote zaidi ya maslai yake? Hatuwezi jipambania wenyewe, sisi tutabaki kama washika mapembe na wapiga ramli tu, wazee wa code Uchwara gademitt.

Note; nipo bia ya 18 wakuokota waokote , na log out.šŸ¤—
 
Kuwapabania wamatumbi ni kujidharau kabisa

Wamatumbi hawajali wao ni kufatilia drama na ujinga tu.

Lissu anaenda kujutia na kuitesa familia yake tu na trauma. Ni kheri angebaki nje na familia yake..

Asijidanganye kuna legacy hapa, wabongo wanakufuta kwenye vichwa vyao haraka mno.
 
Ukweli mchungu.
 
Lisu apambane tu , wapumbavu kama sisi tunahitaji ukweli wenye damu , ukweli ulipiganiwa kwa jasho, na sisi viazi machawa Lissu anatupambania tu , sema ni matumbo yetu kama ya fisi ndio yanatutoa akili tu
 
It's bs sisi wenyewe hatuko tayari
Ni kheri hata a singe jisumbua
 
Juzi dudu baya alisema "KILA MTANZANIA ALINDE MATAKO YAKE MAANA HALI NI MBAYA NCHINI"
Hali ya matoko yako ipoje Bwashee? Mbona umepata hofu sana ya ulinzi wa matako , kuliko rasilimali za nchi?
 
Hizi maneno zenu huwa zinamaanisha watu wote wakae kimya tuendelee kunyooshwa na CCM.

Hapana, lazima wawepo watu wafanye, wajaribu kila mbinu eventually moja itazaa matunda.

Mnatumika na CCM bila kujijua.
Sasa wewe ndo unaonekana mtu mbaya kabisa maana unakuwa kama panya, unataka mkate ila unamwogopa master.

Si utoke nje ukapambane kwa niaba ya Lissu na watanzania kuliko kutetea kitu ambacho hakiwezekani? Yaani unataka kwenda mbinguni lakini unaogopa kufa?
 
Situmiki na taka taka ya sisiemi asee ila nakutana na wakubw kwenye pombe wanathibisha uhuni wa waharakati uchwara ambao mimi nakua natetea kwenye maneno ya kusindikiza ulevi

Hii kitu naongea na hao nyumbu wanajijua kmmk zao.
 
Sasa wewe ndo unaonekana mtu mbaya kabisa maana unakuwa kama panya, unataka mkate ila unamwogopa master.

Si utoke nje ukapambane kwa niaba ya Lissu na watanzania kuliko kutetea kitu ambacho hakiwezekani? Yaani unataka kwenda mbinguni lakini unaogopa kufa?
Asee acha hii vita nitakunyonga bwashee
 
Hali ya matoko yako ipoje Bwashee? Mbona umepata hofu sana ya ulinzi wa matako , kuliko rasilimali za nchi?
Wabinafsishe Kila kitu ila tusibinafsishiane makalio aiseeee....kwanza sijawahi hata kuipanda ndege eti niumie kisa Airport kubinafsishwa
 
Back
Top Bottom