wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Wanaharakati kuonesha chuki dhidi ya Diamond ni ukosefu wa ajenda

    CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA Natumaini mko wazima. Kwa wiki hii mitandaoni kumetokea vituko vya wanaharakati pamoja na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuongoza kampeni ya kuhakikisha mwanamuziki komredi Diamond Platnumz hashindi kwenye tuzo za BET...
  2. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiboko ya wasiojulikana, toka ameingia wanaharakati wanapata usingizi

    Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka. Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata ni kifo au kupotea ila toka huyu mama aingie angalau tunapata na usingizi na amani hata ukiwa...
  3. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

    Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa. Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya. Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

    Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani, Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI. Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya yaja, somo la awamu ya tano linatosha

    Katiba mpya itaundwa tu. Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani, Wanaharakati, n.k. Wananchi wa makundi mengi katika jamii hawakufurahishwa na mwenendo wa mwendazake lakini...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Myanmar waitisha kampeni mpya dhidi ya Jeshi

    Wanaharakati wanaopinga utawala wa kijeshi nchini Myanmar wamewataka watu kuacha kulipa bili za umeme na mikopo ya kilimo, na kutowapeleka watoto shuleni, wakipinga ahadi ya kiongozi wa kijeshi ya kukomesha mzozo. Maandamano ya hapa na pale yalifayika katika miji mikubwa nchini Myanmar jana...
  7. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataruhusu maandamo yoyote ya wanaharakati, vyama vya upinzani na hata chama chake?

    Hayati Magufuli alikomesha pasi na ajizi maandamo ya aina yoyote tofauti na mtangulizi wake Mzee JK. Hoja yake kubwa Hayati Magufuli kuhusu kuzuia maandamo ilikuwa ni muda wa kufanya kazi na haukuwa muda wa kuandamana. Aliweza. Ndipo kipindi ambacho kwa takribanI miaka mitano si wanavyuo...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati huru bado wanahitajika?

    Jamani kitimtim tumekiona wote kundi la wanaojiita wanaharakati huru wakifanya yao kuunga juhudi na kushambulia watu kwa mdomo. Je, bado wanaharakati wa kiwango kile wanayo nafasi kwenye zama hizi?
  9. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati bado hawakubali, kwani kuna tatizo lingine?

    Nimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama. Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia Mama Samia kishaonesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki. Nazidi kushangaa kwanini ni kama wanalazimishaa hivi kumkosoa mama? Au ni biashara hii? Naona sio kawaida Au kuna...
Back
Top Bottom