Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.
Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari...
Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi.
Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate hela. Hata kama waandishi ni zaidi ya 30, kila mmoja anachukua chake kisichopungua Sh. 50,000. Pia...
Anonymous
Thread
conference
mwaipopo
nani
press conference
wanahabari
zake
Wana-JamiiForums,
Kama wewe ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari nchini Tanzania, hususan vipindi vya asubuhi, bila shaka utakuwa umekutana na kipindi cha 'Jana na Leo' kinachorushwa na Wasafi Media. Kipindi hiki kinaongozwa na nguli wawili wa tasnia ya habari na uchambuzi nchini: Edo Kumwembena...
Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia...
Naiomba Bodi ya Ithibati Nchini Tanzania (JAB) kufanya uchunguzi katika Taasisi za Waandishi wa Habari Nchini na sio tu kwenye Vyombo vya Habari (Media Houses) kwani Kuna waandishi wengi kwenye Clubs hawana sifa za uandishi wa Habari ambapo wanafanya shughuli hizo kinyume na Sheria ya habari ya...
Anonymous
Thread
bodi
bodi ya ithibati
makanjanja
mara
taasisi
waandishi
wanahabari
wengi
Mhariri wa Standard Group, Alex Kiprotich, alitekwa usiku wa Jumanne, Septemba 1, 2026, akiwa safarini kuelekea Nakuru kupitia barabara ya Gilgil–Nakuru.
Kiprotich alipiga simu kwa mkuu wa usalama wa Standard Group akisema gari lao lilikuwa limezuiwa na watu wenye silaha, kabla ya mawasiliano...
Hali ya wasiwasi imeongezeka Homa Bay huku maandalizi ya ziara ya Linda Mwananchi yakizua mvutano katika mji huo.
Wanahabari wawili wa AFP, Fred Ooko na Brian Ongoro, walishambuliwa na kundi la vijana waliokuwa na silaha walipokuwa wakiripoti hali ya usalama katika mji wa Homa Bay. Kwa mujibu...
Nijuavyo kijana anaweza kuwa wa kike au wa kiume. Hivyo, ni marufuku kusema, "kijana na binti...", kutaka kulazimisha binti asiwe miongoni mwa vijana!
Mara utasikia, "kijana ambaka binti...".
Vijana waaswa kutooa mabinti wenye watoto..."
"Binti usitikise sana makebo upitapo mbele ya...
Waandishi wa Habari wametakiwa wasiwe waoga bali waendelee kuandika habari zenye ukweli na zenye kuzingatia maadili, ambazo zitaleta maslahi kwa Umma.
Nasaha hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Chakechake, Zukhra Mgeni Othman wakati akizungumza na wandishi pamoja na wadau wa habari katika...
Nilitegemea waandishi wa habari leo kuamkia kwenye offce za msajiri wa vyama vya siasa kufanya nae mahojiano kuhusu kauli ya Marry Chatanda kuifuta chadema na huyu mama kakiuka katiba ya 1977 lakini waandishi wa habari kimya ?
Wakati akizungumza katika maandimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari dunia Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari wenyewe ni masikini
Freedom tunayopigania ni lazima iendane sambamba na mapambano ya kujenga uchumi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha
Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali, taasisi za umma na vyombo vya usalama kudhoofisha uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari nchini...
cori
habari
haki
haki ya kupata taarifa
kupata
na vyombo
serikali
taarifa
taasisi
taasisi za umma
uhuru
umma
viongozi
vyombo vya habari
walaani
wanahabari
Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.
Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari...
Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...