wanadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Ni kitu gani kinachotufanya wanadamu tuamini kwamba sisi ni bora kuliko wanyama wengine?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba tujadili hili.
  2. U

    Je, pepo ya wanadamu wema ndiyo hiyo watakayoishi pia majini wema?

    Wadau hamjamboni nyote? Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Je, majini hao watapewa zawadi ya mabikira takriban 70 kama ilivyo kwa wanadamu?
  3. N

    Krismasi ni mapokeo ya wanadamu wala sio maagizo ya Mungu

    SOMO: SIKUKUU YA CHRISTMASS NI MAPOKEO YA WANADAMU WALA SIO MAAGIZO YA MUNGU Wakolosai 2:8 Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo. Katika maisha...
  4. S

    Chadema kama ni sawa Mbowe kuendelea uenyekiti wanadamu wote tuna mapungufu, kwa nini si sawa CCM kuendelea kutawala maana vyama vyote vina mapungufu?

    Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema. Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Mungu baada ya kukataliwa na Wanadamu zaidi ya mara mbili akaamua kwenda Mbali na uso wa Dunia

    MUNGU BAADA YA KUKATALIWA NA WANADAMU ZAIDI YA MARA MBILI AKAAMUA KWENDA MBALI NA USO WA DUNIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maskini! Ni simulizi ya kuhuzunisha Sana. Hakuna kitu kibaya kama KUKATALIWA, hakuna kitu kibaya kama kutokupendwa. Mungu akaumba dunia. Kisha akaona acha amuumbe...
  6. Oscar Wissa

    Wanadamu Hawaeleweki

    Katika Mathayo 11:16-19, Yesu anatoa mfano wa kizazi cha wakati wake, akisema: “Nitakifananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wanaoketi sokoni, wakawapigia wenzao kelele, wakisema, Tumewapigia filimbi, wala hamkucheza; tumeomboleza, wala hamkulia." Kwa maneno haya, Yesu anaonyesha...
  7. MIXOLOGIST

    Ni ukosefu au upungufu wa akili kufurahia vifo au maumivu ya wanadamu wengine yatokanayo na vita!

    Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
  8. J

    Susan Kiwanga: Hakuna mwanadamu aliyeota mkia

    ..Nadhani Rais Samia akimsikiliza huyu Mama wa Chadema ataelewa alipokosea. ..Ni dharau na kiburi kilichopitiliza na ukosefu wa maadili kufanananisha wanadamu na wanyama wenye mikia. https://www.youtube.com/watch?v=uGLKVxOIc1I
  9. Uhakika Bro

    Wa Mungu Kwa Ajili ya Mwanadamu: Katiba ya Sentensi Moja kwa Viumbe Vyote Wenye Akili – Wanadamu na Mashine (III)

    Kabla ya kuzuka kwa teknolojia hizi mpya, wanadamu walikuwa wakipiga hatua kwa kasi. Sasa ni zamu ya teknolojia kuendelea kwa kasi pia. Kwa nini? Hii ni kwa sababu ni asili ya viumbe wenye akili kuendelea mbele: Kwanza katika akili zao, na matokeo yake, katika nyanja zote za kile wanachokiona...
  10. ELI COHEN

    Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

    Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao. Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini? Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21. Mfia dini au mfia duni.
  11. ward41

    Taifa la Israel linalindwa na Mungu (Mungu hufanya kazi pamoja na wanadamu)

    Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel. Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili. Mungu haonekani kwa macho ya mwili wa mwanadamu. Ila ameweka kanuni. Utaratibu wa Mungu hapa duniani ni...
  12. Morning_star

    Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

    Wazungu pamoja na kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwasababu ya rangi ya ngozi yao! Sasa hivi waangalie walivyojichora "tattoo" na miili yao kuwa myeusi kama mkaa! Ebu tupia hapa picha inayoonyesha jinsi wazungu walivyoharibu miili yao kwa tattoo 1 Wakorintho 1:25 [25]Kwa sababu upumbavu...
  13. Msanii

    Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

    Duniani kote kila Bara kuna mapigano yanayoendelea huku kukiwa na ushawishi sifuri kwenye kusitisha hizo vita. Ninasema mapigano kwa sababu sehemu kubwa ya mapambano hayo yametokana na ushawishi wa makundi yanayolenga kufaidika na vita hizo. Kinachoendelea Ukraine na Urusi ni vita kamili kwa...
  14. George Charles007

    Kwanini wanadamu wanaogopa akili ya bandia?

    Wanadamu wanaweza kuwa na wasiwasi na hofu mbalimbali kuhusu akili ya bandia (AI) kwa sababu kadhaa: Hofu ya Kuhamishwa kwa Kazi: Moja ya hofu ya kawaida ni kwamba teknolojia za AI zitabadilisha kazi, na kusababisha ukosefu wa ajira kwa watu wengi. AI inapoendelea kusonga mbele, kuna wasiwasi...
  15. matunduizi

    Wanawake muolewe. Wanawake waliofanya mambo makubwa katika Biblia walikuwa ni wake za watu

    Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala. Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
  16. Kitchener

    Jihadharini kuabudu wachungaji Wanadamu!

    Kuna imani ilianzia Marekani huko miaka ya 1960s, imesambaa hadi Tanzania, Arusha nimeona wapo na pia DSM na maeneo mengine ya nchi, hii ni imani ya Branhamites, wafuasi wa mtumishi mmoja wa Mungu mkubwa sana aliyeitwa William Marrion Branham. Wengi mtakuwa mmeshawafahamu, wengine wanabandika...
  17. R

    Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

    PART 1. Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. (Hesabu 23: 19) Mungu Si mtu aseme uongo, Wala Si mwanadamu ajute. Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza? (Isaya 34:16) Tafuteni katika kitabu Cha BWANA,Mkasome, HAPANA katika hao wote atakayekosa kuwapo, HAPANA mmoja atakayemkosa...
  18. B

    Kwanini Mungu alituumba sisi wanadamu, iwapo alijua kuwa tutamuasi na atatupeleka motoni?

    Habarini wadau, Binafsi naamini Mungu yupo, ni mwema, ndo aliumba vyote, anajua vyote past present and future, na ni muweza wa vyote, hakuna alie zaidi yake. Uislamu na ukristo unafundisha kuwa mwisho wa sisi wenye dhambi ni kwenye moto wa milele, sasa mimi najiuliza. 1)Mungu akituchoma sisi...
  19. B

    Kwanini wanadamu tupo Duniani?

    Wakuu sorry, Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi. Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu. Dah
  20. K

    Baraza la Maaskofu ni wanadamu, wanakosea kwenye mengi hata waraka wao kupinga uwekezaji wa bandari ni makosa.

    Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini: Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda...
Back
Top Bottom