GT
Anayejua hili atuambie inakuwaje mtu anayetoka.chadema kwenda kwingine nyota yake hufifia mazima. Tofauti na anayetoka Chama kingine kuingia Chadema.
What is going on? Au ndo mpango.wa mungu hatujui tu
Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini, kuchukua fomu za maombi ya kugombea nafasi za uongozi katika vyombo vya dola. Hatua hii ndiyo msingi wa maandalizi ya kwenda kwa wananchi, kuwaomba ridhaa...
Viongozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wanaokutana katika mkutano wa kilele mjini Brussels, wamekubali kurefusha vikwazo vyao dhidi ya Urusi kwa muda wa miezi sita, kwa mujibu wa duru za kidiplomasia.EU tayari imepitisha "vifurushi" 17 vya vikwazo tangu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine...
Katibu Mkuu wa ACTwazalendo Ado Shaibuado amesema kuwa jumla ya wanachama wapya 2567 wamesajiliwa kwenye mfumo wa kusajili wanachama wa "ACT Kiganjani" tangu Mbunge Mstaafu wa Mtwara Mjini Ndugu Maftaha Nachuma awasiliane na uongozi wa Chama kwa ajili ya kutangaza kujiunga.
Ado Shaibu...
Kiukweli viongozi wa Simba wanatuona mashabiki wao ni wajinga na hawatujali kabisa.
Achana na matukio ya kutupiga viingilio takribani mechi tatu. Ila hili la mechi ya dabi ndio limedhihirisha kuwa wanatudharau sana mashabiki wao.
Juzi walituambia kuwa mechi ya dabi ipo 15 juni na hivyo...
TANU na ASP zilikuwepo na Wana intelligence was vyama hivyo walikuwepo baadae CCM 1977 ikazaliwa na Wana intelligence walifanya KAZI yao!
KAZI ya intelligence ni kuhakikisha wanakua pro active Kwa mstakabali ujao wa taifa!wao ndio walimshauri kikwete asimamie uandishi wa Rasimu ili baadae owe...
Wakati mwingine watu sijui wanatuchukuliaje, 100% ya viongozi wa Yanga ni CCM kindakindaki, wako tayari kushiriki uchaguzi mkuu bila marekebisho ya kikatiba , wako tayari kuona watu wakiendelea kuuawa katika ardhi hii ya Tanzania, lakini cha ajabu wanadai reforms kwenye muundo wa uendeshwaji wa...
Kumbe ndiyo maana Mchezaji wa mwisho kupokea Mshahara mdogo Simba SC Chasambi Ladack anapokea Shilingi Milioni 17 kwa Mwezi huku Wachezaji wengine wote wa Simba SC wanapokea Mishahara ya kati ya Shilingi Milioni 40 hadi Milioni 75 kwa Mwezi.
Kuna Timu (nimeisahau Jina) juzi juzi tu hapa...
Chaumma kimekamata siasa za nchi. Taarifa niliyopata ni kwamba chama kimeagiza viongozi wake waitishe wana chama kutoka maeneo ya mbali na hata wilaya jirani wahudhurie mikutano yao. Lengo ionekane imejaa.
Chauma wanawauma kwa meno makali, wanawajua kwa mbinu zao na wanawapigia hapohapo. Kuna...
Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi.
Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na...
Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro.
NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa.
Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo?
Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee nitashukuru kw akunikaribisha katika mtandaao wetu mtukufu wa jamiiforums ili tupate kushauriana kwa...
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.
Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.
Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo mjini Bariadi.
Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa wanachama imeeleza kuwa walioalikwa...
Wakuu,
Wanachama zaidi ya 200 wakiwemo viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA Zanzibar, wakilalamikia kile walichokiita ukandamizaji na upotevu wa mwelekeo ndani ya chama hicho.
Uamuzi huo umetangazwa mbele ya waandishi wa habari na Atafat Hamad Ali, aliyekuwa Katibu wa Baraza la...
https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos
Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA
Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu...
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia Chadema kwasababu ya sera za kibaguzi zinazo fanywa na Lissu na Heche.
Wanachama wamekerwa sana kiasi kwamba wanajutia kuchaguliwa kwa Lissu na Heche kuwa viongozi.
Siri za ndani ya Chadema zinafichuliwa na waliotoka ndani, hakuna siri tena chama kimebaki...