wamegoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    Nimesikitika kuona wasanii wamegoma kwenda kumzika mama wa msanii mwenzao Chidi Benzi

    Wasanii kwa wasanii wanaishi maisha ya kisanii ,maisha ya kinafiki , wanajifanya wanapendana kumbe upendo wa kinafiki. Wasanii hupenda kuhudhuria shughuli iwe ni msiba, birthday,harusi nk ya mtu mwenye pesa , asiye na pesa wanamkalia mbali hata kama ni msanii mwenzao. Kwa haraka haraka...
  2. S

    Tetesi: Wafanyakazi wa Wasafi Radio wamegoma?

    Naona wasafi radio ni muziki asubuhi mpaka jioni, je wafanyakazi wamegoma?
  3. britanicca

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  4. Uhuru24

    Nashangaa radio kupiga mziki muda wote kumbe wamegoma buana

    Watu wegoma kisa mishahara ndio maana hata soka halichambuliwi😂🤣😂mambo yanaanza kuwa magumu kila kona.
  5. A

    KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

    Habari, Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC. Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC Naona...
  6. Fanfa

    Polepole na Nape ni wajasiri, wamegoma kufa na siri moyoni, ndio maana wanasema ukweli

    Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini. Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono hamkumwelewa. Akarudi tena kuwa kuna kura halali na haramu ila haramu ndo zinaleta ushindi, ukiupata...
  7. ngara23

    Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

    Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine. Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele...
  8. The Supreme Conqueror

    jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina.

    Inawezekana kabisa CCM inazihitaji zaidi REFORMS kuliko hata Chadema na wenzao. Leo huko mkoani Simiyu, jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina. Wao wamesema wanamtaka mbunge wao, hawapigi kura za maoni siku ya leo hadi waletewe mbunge wao. Hawana...
  9. youngkato

    Je kuku wamegoma kutaga? Yai la kienyeji 900/=

    Hii bei inatisha, na ukifuga kuku wa kienyeji hawatagi kabisa siku hizi
  10. A

    Kuna watu watakuwa wamegoma kurudi to huko Mazikoni

    Mandhari nzuri ya milima ya Pare na vijana wakipare ni wazi kutakuwa kuna watu watataka kubaki huko,
  11. Mchochezi

    Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

    Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi. Naanza na Blandina Chagula maarufu kama Johari. Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo. Tuendelee na list…
  12. ommytk

    Ni zaidi ya nusu saa tunasubiri mwendokasi hapa faya ya kwenda feri sasa sijui wamegoma au utaratibu wao

    Tupo hapa faya tunasubiri gari ya mwendokasi ya kwenda feri zaidi ya nusu saa zinapita tupu out of service yaani tumekaa sasa sijui ndio utaratibu huu wengine wageni
  13. milele amina

    Pamoja na serikali kutoa maelekezo, kwanini MUWSA wamegoma kuwafungia wateja wake Pre-paid Water Meter?

    Moshi Urban Water Supply and Sanitation Authority (MUWSA) imejikita katika masuala ya huduma za maji na usafi, lakini kuna maswali mengi yanayojitokeza kuhusu uamuzi wao wa kuwafungia wateja wa mita za maji za awali (pre-paid meters). Katika kipindi hiki, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa...
  14. RUSTEM PASHA

    Kuku wangu wa mayai wamegoma kutaga wanaelekea week ya 19

    Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo. Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao. Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16...
  15. Komeo Lachuma

    Lebanon yalalamika Israel wamegoma kusitisha mapigano. Bado waendelea kuishambulia Beirut

    #Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati has criticised #Israel’s “expansion” of its attacks on his country, saying it indicates the Israeli rejection of a ceasefire after more than a month of war.⁠ .⁠ “[Israel’s] repeated threats to the population to evacuate entire cities and villages, and its...
  16. Mwizukulu mgikuru

    Vijana wa kiume wamegoma kabisa kuowa

    Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?, Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na...
  17. BigTall

    LGE2024 Wananchi ni kama wamegoma kujitokeza kujiandikisha Olasiti, Arusha, kwani shida ni nini?

    Hivi ndivyo ilivyo katika Kata ya Olasiti pande za Chuga, jamaa ameshea video akionesha mwitikio ni mdogo sana, Wananchi wanajitokeza kwa uchache sana kujiandikisha. Ndugu zangu kwani shida ni nini?
  18. BigTall

    LGE2024 Wapiga Kura Dodoma ni kama wamegoma kujiandikisha, Waandikishaji wameamua kuwafuata nyumbani na kazini ili wajiandikishe

    Hali ya uandikishaji wenye Daftari la Kupiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa siyo rafiki, imefikia hatua baadhi ya Waandikishaji wameamua kuingia mtaani kuwatafuta Wananchi ili wajiandikishe. Hapa Dodoma nimeshuhudia hali hiyo ikijitokeza kwenye Mitaa ya Chinangali West na Nkuhungu...
  19. October 2pm

    Nimesoma Mpaka nimesahau afu Utumishi wamegoma kutoa pdf

    Ninesomea Ualimu Shule za msingi nakuhitimu 2019. Nimesoma kujiandaa na usahili mpaka nimesahau Mwezi uliopita nilisoma nini. Imegeuka adhabu utumishi kama hamkuwa mmejiandaa mngeacha tuu.nilijua usahili ungekuwa Mwezi uliopita September ndîo mahana nikajaza Dodoma kwani ndîo nilipo. Wiki ijayo...
  20. MSAGA SUMU

    Wasafi wamegoma kukatìsha kabisa matangazo kwa ajili ya Didah

    Japokuwa Mangwea hakuwa mfanyakazi wa Clouds lakini mwamba alipoondoka clouds walijitahidi sana kumuenzi. Ngoma za mwamba zilipigwa siku nzima. Hapo hatujaongelea mtu kama Ruge, wakina Kibonde na Gardner. Huku Wasafi chini ya meneja vipindi wao baba Levo wako wako tu. Kuanzia usiku, asbuhi...
Back
Top Bottom