wamefanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je Yanga inaweza kushitakiwa na mahakama ikiwa itathibitika kuwa wamefanya udanganyika dhidi ya mahakama?

    jana kuna taarifa zimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuhusisha kiongozi wa klabu enginer hersi said wa yanga dhidi ya uamuzi wa mahakama ya kisutu,uamuzi huo umeibua taharuki kwa viongozi,mashabiki na wanachama mpaka kupelekea sitonfahamu na mashambulizi kwa mzee magoma kutishiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Bagonza: Kama kila kitu amefanya Rais, wakija kwenye kampeni waulizeni wao wamefanya nini?

    Naunga mkono hoja, Dkt. Benson Bagonza ana hoja nzito, asikilizwe.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza Dola mtandaoni: Ni kweli kuna Watanzania wanapiga kazi zenye mkwanja online na wamefanya ziwe ajira rasmi?

    Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika kiasi kwamba kuna watu wamezigeuza ziwe ajira rasmi wanazifanya hata kwa miaka mitatu +. kazi ziwe...
  4. JamiiForums Tanzania Israel katika mazungumzo na Kongo na nchi nyingine kuhusu mpango wa 'uhamiaji wa hiari' wa Gaza

    Makazi mapya ya "hiari" ya Wapalestina kutoka Gaza polepole yanakuwa sera rasmi ya serikali, huku afisa mkuu akisema kuwa Israel imefanya mazungumzo na nchi kadhaa kwa ajili ya kufyonzwa kwao. Zman Israel, gazeti la The Times of Israel ambalo ni dada wa Kiebrania, limegundua kuwa muungano wa...
  5. JamiiForums Tanzania P Funk na Seven Mosha wamefanya kamati ya tuzo za TMA kuwa batili. Waondolewe au tuzo zitakosa maana

    Seven Mosha na P Funk wanaondoa uhalali wa kamati ya kusimamia tuzo za TMA Tanzania Music Awards. Sababu kubwa wana maslahi binafsi na kitu kinachoenda kukisimamia au tuseme conflict of interest. P Funk ni msanii, anasimamia wasanii wanaoenda kushindana pia ana upande wa muziki anaupiga vita...
  6. JamiiForums Tanzania Ihefu FC wamefanya kosa gani kwa kuwafunga Yanga SC hadi walaaniwe na wakamiwe kushushwa daraja?

    Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na Kigamboni? Sasa kwa taarifa yenu Ihefu FC ipo pamoja na Mwenyezi Mungu, itakuwepo na atailinda dhidi...
  7. JamiiForums Tanzania Waarabu wajanja sana walishapiga hesabu kuwa mafuta yana mwisho wa kuchimba

    Then baada ya mwisho wa kuchimba deposits za mafuta, zitakuwa zimeisha sasa wanatengeneza mikataba ya kilaghai ili ku meet future economic demands maeneo mbali mbali ili kupata future ecomonic sources of income hapo baadae when oil deposits runs out aisee.
  8. JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  9. JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wamefanya Dejan Thamani yake iwe milioni 700?

    Nilikuwa naangalia thamani ya wachezaji walio huru kwenye mtandao wa "Transfermarkt" na kukuta kuwa mchezaji wa zamani wa Simba Dejan Georgijevic kwa sasa thamani yake ni Kati ya shilingi za kitanzania milioni 700 hadi bilioni moja na milioni mia nne. Kwanza nilishangaa imekuwaje mchezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

    Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema: . “Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini...
  11. JamiiForums Tanzania Nabi na Yanga wamefanya wameleta mtazamo tofauti na uliozeleka africa

    Moja ni kitu kinachoboa katika timu za africa ni kukomaa na ushindi wa nyumbani pekee. Africa imekuwa na utamaduni huu kwa muda mrefu sana, silaha ya timu za Africa ni ushindi wa nyumbani tofauti na timu za ulaya. Kanuni ya africa ni ugenini paki basi, komaa nyumbani. Kitendo cha Yanga...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Gael Birigimana ni usajili mzuri Sana Yanga wamefanya

    Jana uongozi wa Yanga wamemtambulisha mchezaji aliwahi kuichezea newcastle united Gael Birigimana. Tangu atambulishwe kijana huyu kuna maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa ikiwemo Takwimu zake mashabiki Watanzania wanaonesha wanapenda soka ila hawalijui soka Gael Birigimana ni kiungo mkabaji sio...
  13. JamiiForums Tanzania Mgogoro NCCR Mageuzi: Timu Mbatia wachukua ofisi, wasema umefanyika uhaini ndani ya chama, Mbatia bado ni mwenyekiti

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NCCR-Mageuzi, Edward Simbeye amezungumza na waandishi wa habari leo Mei 21, 2022 na kudai kuwa kilichofanywa na kundi lililojipa sura ya Halmashauri Kuu ndani ya chama hicho mapema leo ni uhaini. Awali ilitolewa taarifa kuwa Halmashauri Kuu ya Chama cha...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ule ujinga waliofanya Senegal kwa Egypt, Simba nao wamefanya

    Ni ujinga wa kumulika wachezaji wa timu pinzani na tochi usoni, sijui soka la Afrika linaelekea wapi.. Timu haziwezi kushinda bila figisu?
  15. JamiiForums Tanzania Hii shule imenikosha wamefanya vizuri

    Nimefurahishwa n haya matokeo
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Askari kujaa ndani ya mahakama kuzuia raia kukai haiwezi ukawa mtego wa wao kusababisha taaruki wapate sababu yakusema raia wamefanya fujo?

    Katika zama hizi tunapaswa kuwa makini Sana na ila za movu shetani kupitia akili za wanadamu wenye madaraka. Mahakama ya mafisadi katika kesi ya Mbowe na wenzake naona kuna Askari wamewahi ndani kukaa raia wasipate nafasi za kukaa, wanaulizwa wanadai Wana haki yakusikiliza kesi na raia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Serikali yake wamefanya lipi jema mpaka sasa?

    Tuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe Rais wao? Kwa upande wangu naona mambo ni valuvalu tu hayana muelekeo wa kuonyesha ameleta unafuu wa maisha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…