Nimempenda binti wa kilokole sanaa, mnooo na nataka kumuoa. Sujaomba hata busu nikaomba kwenda kwa wazazi wake ili nifuate taratibu zote na si uchochoroni.
Cha ajabu wazazi wa binti wamekataa kisa mimi sio wa imani yao. Nikasema okay, mimi nakuja kuokoka na nitakuwa muumini wa kanisa lao bado...
Shalom walokole wenzangu na wana JamiiForums wote kwa ujumla.
Sisi walokole wengi tumekuwa kama manyumbu, Nadhani wengi mliona ile video iliyo leak ya baba askofu, ambayo baadae kitengo cha Forensic cha Polisi na UDOM vikatutonya kuwa eti sio video halisi ila fabricated.
Askofu alipiga show...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.