waliokuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Taja wasanii waliokuwa wanatenbelea nyota za wasanii wengine/wakubwa. kwa sasa wapo kama hawapo

    kuna wasanii kwenye mziki, filamu etc walikuwa wanatenbelea nyota za wasanii wengine lakini kwa sasa ni kama washakufa. Mfano Ben kwa kanumba Kr mullah kwa wanaume tmk na wengine. Je hii inatufunza nini? Tunapopata shavu ya kutembelea nyota za wengine ni muhimu kujifunza pia ili kuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika, waliokuwa hawapokei Simu zangu leo nimekuta missed call zao

    Katika maisha, tujifunze kuishi kwa maadili, heshima na adabu. Hata maisha yawe magumu kiasi gani, ukipata nafasi ya kupumua na kuona hatua moja mbele, usisahau kumshukuru Mungu. Kila mtu ana muda wake wa kufanikiwa. Wapo wanaowahi kufika kwenye mafanikio, na wapo ambao safari yao huchukua muda...
  3. JamiiForums Tanzania Hii video sio ya wagonjwa wakiletwa hospital bali ni mateka waliokuwa chini ya magaidi wa fulani kwa siku 67. Waliteswa, kubakwa na kushindishwa njaa

    Watekwa wakiwa kanisani na pastor wao aliuliwa huku wao wakichukuliwa mateka.
  4. JamiiForums Tanzania Labda kama exposure imebadilisha watu ila watu waliokuwa wanaoa wanawake wa jamii zilizopo kando kando na visiwan mwa ziwa victoria walikuwa wanakiona

    Hapo ulikuwa una 80% ya kulishwa mavitu vya kishirikina, kuchapiwa mtaani, kulea watoto sio wako, vikao vya mara kwa mara vya ugomvi wa mke na mawifi au mama na ilikuwa unakufa mapema sana. Pia ni wanawake walikuwa wanasifika kwa kuvunja ndoa za watu, wenye visa sana na wepesi sana kurukishwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi Waliokuwa Watumishi Wakistaafu Wanakufa Mapema Kwa sababu Wanakutana na Ghasia za Mke ambazo alizokwepa akiwa kazini

    My Take Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine. Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wenye makebo makubwa wanazidi kuongozeka kwa kasi tanzania? Kuna wakati wanawake waliokuwa nayo kawaida au flat kabisa

    Najjiuliza ni genetics, diet,? Ama nini? Kwa maana wadada wenye mishepu inazidi kuwa kwa kasi kulko miaka ya 90, 2000 huko
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA waliokuwa mahabusu waachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya...
  8. JamiiForums Tanzania VIDEO: Trump akielezea kwa kina namna alivyokabiliana na walinzi waki-cuba waliokuwa wanamlinda Maduro ikulu

    MCHEKE BASI KIDOGO NA NYIE.. 🤣🤣
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuna shaka na walakini (conspiracy theory) katika kila kifo cha waliokuwa marais wa Tanzania isipokuwa Mwinyi peke yake

    1. Julius Nyerere Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msimamo wa vijana waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini

    Huu hapa Msimamo wa waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini siku na baada ya uchaguzi mkuu.
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini Mwigulu anakomalia "waandamanaji walikuwa na silaha"? Je, anabumba maneno hayo ili kutoa mwanya wa mauaji ya raia mpaka majumbani?

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiongea na wahariri pamoja na waandishi wa habari, leo Jijini Dar es Salaam, amesema maandamano ambayo waandamanaji wanaenda na silaha (kuwa ‘full armed’) sio maandamano, huku akibainisha kuwa idadi kubwa ya walishiriki...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Orodha ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kupoteza heshima yao mwishoni kabisa

    Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza.. Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye jua kali 10. Mzee Butiku.. huyu tulidhani angekuwa msaada kabisa lakini kuna tetesi huyu ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Waliokuwa naropoka eti haziwahusu, baada ya maandamano wamejua kwamba siasa inawahusu

    Kuna watu unawambia tetea Demokrasia au katiba mpya, Aanajibu Siasa hazimhusu. Eti "NISHINDWE KWENDA KUTAFUTA HELA NIPOTEZE MUDA KWE NYE SIASA?. Sasa siasa ilicchemka kidogo hakuna alliyetoka nje wala kuingia.. Kila mtu amepambana kivyake. Sasa nadhani tukisema siasa ni ubai siasa ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanaua watu mtaani ni Wanajeshi wa Uganda au Janjaweed wa Zanzibar ?

    Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano. Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

  17. M

    JamiiForums Tanzania Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha

    Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha 1. Kwamba CCM hawawezi kushindana 2. Kwamba kura zinaibiwa 3. Watu wa Mama ndiyo watekaji 4. Nchi imeuzwa kwa wana mtandao 5. CCM ni chama cha kifamilia Kama hukubaliani na hayo elewa kwamba wewe ni kilaza. Bila reform...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliotekwa nyara

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Mamlaka Agosti 23, 2025, Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wakiwemo wanawake na watoto, baada ya kufanya shambulio la angani kwa usahihi kwenye ngome ya majambazi katika jimbo la Katsina Kaskazini Magharibi. Operesheni...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…