walimu

  1. JamiiForums Tanzania Bila walimu hatuwezi kufanikiwa

    Competence based education, juhudi ziimeonekana katika kutekeleza sera hii kwa kwa vitendo kwa ujenzi mkubwa mpya wa madarasa kwa hakika Mimi pia ni shahidi mwaka wa fedha 2021/2022 madarasa mengi yamejengwa naamini uandikishaji utaongezeka kwa asilimia kubwa kwa darasa la kwanza na hata wale...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Walimu wakuu siku hizi wamekuwa wasimamizi wa Majengo

    Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena! Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu na Madaktari waliohitimu wajiunge pamoja waanzishe Shule na Hospital binafsi ila Serikali iwape Mikopo ya kuendesha hizo Taasisi

    1.0 Waungwana Habari zenu!! Mimi nina wazo hivi kwanini hawa Walimu wetu waliomaliza Vyuo Miaka nenda rudi na hawa watu wa Afya tusifikirie kivingine kuhusu swala la Ajira. Serikali inayo nafasi ya kuwasaidia hawa kwa mlango mwingine Mathalani badala ya kuendelea kujenga shule na vituo vya...
  4. JamiiForums Tanzania Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?

    Amani iwe kwenu, Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa. Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu. Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni...
  5. JamiiForums Tanzania Walimu watafungwa sana na magereza yatajaa ikiwa Sheria hazitabadilishwa, wanafunzi wa kike ndio wanaowataka Walimu

    Wadau hili suala la walimu kufunguliwa kesi za kuwatia mimba wanafunzi au kuwabaka Mimi napingana nalo hasa baada ya kujionea wanafunzi wakiwa ndio chanzo Cha walimu kuwadinya wanafunzi. Majuzi nilienda kuwachukua wanafunzi Arusha wanaoishi Dar. Wazazi hujikusanya wanachangiana na kukodi Costa...
  6. JamiiForums Tanzania Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko

    Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia ya kufanya wafaulu katika masomo yao kwa kuwa huo si mtazamo sahihi. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yawaonya Walimu wanaoendelea na adhabu ya viboko shuleni

    Serikali imeendelea kuzuia matumizi ya viboko katika ufundishaji wanafunzi na badala yake walimu wametakiwa kutafuta mbinu mbadala za ufundishaji ili wanafunzi wawaelewe. Akizungumza leo Ijumaa Desemba 16, katika mkutano wa mradi wa kuboresha mafunzo kwa walimu katika vyuo vya ualimu (TESP)...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali kwa kuanzia kutekeleza Ugawaji wa Vishikwambi kwa Walimu

    Mapema wiki hii inayoishia, nimefurahi sana kuona Serikali ikigawa bure kwa walimu wa VETA vishikwambi ( tablette) vilivyokuwa vinatumika ktika zoezi la Sensa la mwezi Agasti. Baada ya zoezi la Sensa kutamatika, Serikali hii tukufu ya Mama Samia iliahidi kugawa vishikwambi vilivyokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nimebuni wazo la kufanyisha mtihani watoto online naombeni support yenu. Ninao Walimu wa uhakika

    TUNAELEKEA MWISHO WA MWAKA 2022, EWE MZAZI/MWALIMU/MLEZI/MWANAFUNZI tunakukaribisha katika mtihani wetu wa kufungia mwaka siku ya Jumatano ya Tarehe 14.12.2022 saa 08:00PM (Usiku) katika somo la Biology kwa gharama ya shilingi 1,000/= pekee. Lengo la mtihani huu ni kumpima mwanafunzi uelewa...
  10. JamiiForums Tanzania Walimu wamesusa? Wamechoka kuwa punching bag?

    Ukiangalia kwa jinsi mambo yanavyoenda utagundua walimu wamesusa. Wanasema kwa sasa wao wanasubiri tu mshahara uingie maisha yao yaendelee. Wanasema Serikali haiwajali, Wazazi hawawajali wamekuwa wakiwakebehi na kuona wao ni watu waliochokwa na kila kitu. Sasa wameamua nao kukaa pembeni...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea? Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji! Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea! Hata ukitazama hizo suruali...
  12. JamiiForums Tanzania Walimu watuhumiwa kupora vichongeo, ufutio vya wahitimu wa Darasa la Saba

    Walimu wa Shule ya Msingi za Kishinda na Isebya zilizoko kata ya Kishinda wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wanatuhumiwa kupora vifaa vya wanafunzi baada ya kumaliza mtihani wa kitaifa wa darasa la saba. Malalamiko ya wahitimu hao yaliwasilishwa na Diwani wa Kata ya Kishinda, Shokolo Visent...
  13. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI ingilieni kati sakata la walimu kutapeliwa na Afisa Elimu wao huko Katavi

    Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi. TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
  14. JamiiForums Tanzania Tunajenga Madarasa 8000 halafu Nyumba za Walimu 0, hapa kuna shida mahali...

    SERIKALI imetoa Sh bilioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 8,000 vitakavyopokea ziada ya wanafunzi zaidi ya 400,000 wa Kidato cha Kwanza mwakani ambao ni zao la elimumsingi bila ada. Aidha, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Dk Charles Msonde ameelekezwa kufanyia kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Walimu 13 wafukuzwa kazi Bagamoyo sababu ya utoro

    Walimu 13 wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamefukuzwa kazi kutokana na makosa ya utoro huku wengine wanne wakiendelea kujadiliwa kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo kujihusisha na mapenzi na wanafunzi pamoja na ulevi uliopindukia katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2020 hadi Septemba...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya biashara tupeane connections ya kazi

    Kama unafahamu kuna shule ina uhaba wa walimu wa biashara katika masomo ya commerce,book keeping, accounts na economics Tupia connections ya shule ambayo unafahamu ina uhaba ya walimu hao ili vijana wanaotafuta kazi
  17. JamiiForums Tanzania Ajira za mkataba za walimu wa sayansi Ilala DSM

    Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi. Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
  18. JamiiForums Tanzania Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

    Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa! Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao...
  19. JamiiForums Tanzania Walimu 14 Dar es Salaam wanashikiliwa kwa kukiuka sheria katika mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Walimu 14 kwa tuhuma za kukiuka sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za mitihani ya darasa la saba iliyofanyika Oktoba 5-6, 2022. Uchunguzi wa suala hili unaendelea na taarifa zitatolewa na mamlaka zinazohusika na masuala ya elimu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Cheo kipya cha Muundo walimu wenye MASTERS

    Wanagenzi ni kweli kwamba kuna cheo kipya cha muundo kwa waalimu wenye masters degree.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…