walimu

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Sengerema hatujalipwa posho za kujikimu, hali ya maisha imekuwa ngumu

    Mimi ni mdau, nipo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, naomba kuwasilisha kero kuhusu malipo ya posho za kujikimu katika Idara ya Elimu. Walimu wameripot kazini lakini hela za kujikimu inakuwa changamoto kupewa kwa muda, kuna walimu wanapewa nusu na wameahdiwa kupatiwa inayobaki..ila hakuna...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Temeke hatujalipwa fedha za likizo tangu 2019, nasikia zimewekwa Fixed Account ziwazalishie

    Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu, Temeke Manispaa, Dar es Salaam.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Kibiti Boys Secondary School wanachapa sana Wanafunzi, imekuwa too much

    Pale Kibiti Boys Secondary School Mwalimu Mkuu na baadhi ya Walimu wao fimbo imekuwa ni njia ya malezi, hili suala imekuwa too much. Kuna muda Wazazi na Walezi wa Wanafunzi wanaosoma hapo walitoa maoni ya kukerwa na jambo hilo lakini hakuna hatua zilizofanyika, kila kitu kinaendelea vilevile na...
  4. JamiiForums Tanzania USHAURI: walimu tumieni kishikwambi kukuza ndoto za wanafunzi

    Walimu hasa mlioko vijijini. Najua hali ya ufundishaji ni ngumu lakni hakuna namna, komaeni na hizo kishikwambi angalau kukuza ndoto za vijana mfano kuna Dj arts, kuchora, kuimba nk. Ila zinakufa na walimu wameshikilia hizo vishikwambi mikononi wengi wakizitumia kwa kuangalia movie na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hii tabia ya Mishahara ya Walimu wa Science na wa Arts Serikalini kuchezewa itaisha lini?

    Walimu Ajira Mpya mwezi wa kwanza 2026 had leo hatujapewa pesa za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Babati, tunateseka hatuna hela ya matumizi. Pia Walimu wa Science na wa Arts huwa mishahara inatofautiana wa Science kwenye barua ya kazi tuliyopewa basic salary ni Shilingi 925,000 but...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Kibaha tulioajiriwa 2014 tupo nyuma kwa Daraja moja, Tume ya TSC inatuambia tuwe wapole

    Mimi ni Mwalimu wa Manispaa ya Kibaha, kero yangu kubwa ni kuhusu madaraja ya ngazi ya mshahara, sisi tulioajiriwa Mwaka 2014 tupo nyuma kwa daraja moja. Mpaka sasa kwa muda tuliokaa kazini tungetakiwa tuwe tumefikisha Mwl Daraja G lakini tupo Mwl Daraja F na hii ni kwa Walimu wote Tanzania...
  7. C

    JamiiForums Tanzania dodoma jiji walimu tuliokidhi vigezo tunatakiwa kuto rushwa ili tuthibitishwe kazini

    tunaombwa rushwa ili kuthibishwa kazini baadhi ya ma maafisa tsc na utumishi takukuru fuatilieni hili
  8. C

    JamiiForums Tanzania mamlaka fuatililieni walimu ajira ya 2025 dodoma wanahitajika kutoa rushwa ili wathibitishwe kazini

    walimu ajira mpya waliokidhi vigezo vya kuthibitishwa kazini tangu February 2026 halmashauri ya dodoma jiji bado hawajathibitishwa kazini . ukifuatilia TCS na utumishi dodoma jiji baadhi ya maafisa wanaomba rushwa na kusema kama ukitoa rushwa siku hiyo hiyo utathibitishwa kazini wanatumia...
  9. JamiiForums Tanzania Ofisi ya DED kuchunguza madai ya Walimu kukwepa majukumu ya kufundisha katika Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga)

    TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Lushoto imeona taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa kijamii wa JamiiForums ikieleza kwamba katika Shule ya Msingi Kishangazi, iliyopo Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shagayu ni Mwalimu Mmoja tu ndiyo anafika shuleni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

    Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari. Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi walimu wa diploma kuendelea jufundisha sekondari?

    Ilihali walimu wa degree wapo wengine shule ya msingi???
  12. JamiiForums Tanzania Tunaiomba Serikali yetu sikivu ya Samia Suluhu Hassan ianze kuitambua shahada ya Pili kimuundo na kimasilahi kwa walimu

    Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa maelfu ya watumishi wa umma. Leo Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, tunakuja kwa unyenyekevu mkubwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tume ya Utumishi wa Walimu itusaidie Walimu wa somo jipya la Business Studies, hatujui hatma ya mikataba yetu

    Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari. Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkurugenzi wa Mbinga DC ananyanyasa Walimu

    Ndugu Watanzania, nimepokea malalamiko ya Waalimu kwamba Mkurugenzi wa Mbinga DC anawanyanyasa sana Walimu wa Mbinga DC. Kwa mfano, Mkurugenzi huyo huwaita walimu wote kufika ofisini kwake bila kuzingatia utaratibu rasmi wa kiutumishi! Mfano mzuri ni Ijumaa ya Tarehe 27/02/2026 aliwaita walimu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Somo la BUSINESS STUDIES lina upungufu mkubwa wa Walimu

    Serikali ilizindua mtaala mpya na ulioboreshwa wa mwaka 2023 ulioanza kutumika mwaka 2024 kwa baadhi ya shule na mwaka 2025 ulianza kutumika kwa shule zote za sekondari. Katika mtaala huu mpya somo la BUSINESS STUDIES limekuwa ni somo la lazima kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu wa somo la historia ya Tanzania na maadili chukua izo notis zitakusaidia

    Ukihutaji notsi zaidi kwa kidsto Cha pili historia ya Tz,English na kswa mtaala mpya tuwasiliane kwa 0623446608
  17. JamiiForums Tanzania Usimamizi wa mtihani wa taifa walimu walipwe perdiem sio vinginevyo. Tuache ujanja ujanja.

    Kumlipa mtu 50k kwa siku ???? Sio sawa.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wanalipwa kama vibarua??? Walipwe perdiem sheria zinadilishwe.

    Mwalimu anakwenda kusahihisha mtihani wa Taifa kazi kubwa sana na nyeti. Eti unapiga hesabu kusahihisha scripts ngapi ndio umlipe??? Yaani mtu analipwa kama kibarua wa kujenga matofali mangapi kwa siku?? Kwanza kazi anafanya masaa 11 kwa siku ni kinyume na mkataba wa shirika la kazi duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

    Kwani hii kada imelaaniwa? Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A. Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuboresha mfumo wa semina kwa walimu kwa kutumia teknolojia ya mtandao (online) na video

    Ninashauri Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuachana na mfumo wa zamani wa kutoa semina kwa kukutana ana kwa ana (physical workshops), ambao unatumia gharama kubwa za usafiri, malazi, na muda, na badala yake kuhamia kwenye mfumo wa kisasa wa kidijitali. Mapungufu ya Mfumo wa Sasa: * Gharama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…