wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ally Senga Gugu: Serikali inawahakikishia Wakulima na Wafugaji usalama katika uzalishaji

    Serikali imewahakikishia Wakulima na Wafugaji usalama katika shughuli zao za uzalishaji huku ikiwataka kushirikiana na Vyombo vya Usalama ili kuepuka wizi, utapeli hali itakayopelekea kufikia dhana dhima ya maendeleo ya kilimo,mifugo na Uvuvi. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Uvivu wakulima tu😂

    Uzi tayari
  3. JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Wakulima ya Nane Nane yanapogeuka kuwa maonyesho ya Wamachinga

    Katika maonyesho haya ya wakulima kipindi hiki imekuwa na utofauti mkubwa sana Zaidi ya mwaka Jana. Tofauti ni Kuwa wamachinga wa nguo ,wamachinga wa vyombo na mama ntilie,wauzaji wa dawa za asili wamekuwa wengi kuliko wakulima na wafugaji. Mabanda ya ng'ombe, mbuzi, na kuku hayazidi...
  4. JamiiForums Tanzania Kero: Ufuatiliaji mdogo wa kampuni za Ujasiliamali( zenye mlengo wa kiMotivotional Speaker) unavyowaliza wakulima & wafugaji

    Habari mdau wa kilimo! Je, umewahi kuskia semi maarufu ya "ukiitiwa fursa basi wewe ndio fursa" ama " dili limekua dirisha"? Semi hizi na zinginezo zimekua maarufu kutokana na tapeli mbalimbali walizo/wanazofanyiwa wakulima na wafugaji. Hapa chini tutakupa mifano hai kwa uzoefu toka mkoani...
  5. B

    JamiiForums Tanzania SBL Yazindua Mpango wa Kilimo Biashara Kuongeza Mavuno kwa Wakulima

    Mkurugenzi Wa Masoko ya Kilimo na Usalama Wa Chakula, Gungu Mibavu (kushoto), akimwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), Obinna Anyalebechi wakiashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa ‘Shamba ni Mali’ wenye lengo la kuwanufaisha...
  6. JamiiForums Tanzania Watumishi, wakulima, wanachuo, wanafunzi, wafanyabiasha, vijana, akina Mama, wazee, wanasiasa na sector binafsi. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.

    Husika na mada tajwa hapo juu. Hayo makundi yote hapo juu. Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako. Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
  7. JamiiForums Tanzania Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

    Ni kilio kwa wakulima kuporomoka bei ya mbaazi. Mwaka jana kilo moja ilinunuliwa tsh 4000 ila leo 2025 ni tshs 800 .Yaani kutoka efu nne hadi Mia nane. Hii si kawaida kwa miaka ya uchaguzi. Pengine ni hujuma dhidi ya. CCM.
  8. JamiiForums Tanzania Wakulima wa Kitanzania wanaweza shindana na hizi Foreign Stores/Masuper Market Ila Kabla ya hapo lazima tunondoe mentality za ujamaa Vichwani

    Super Market za local products/ ushirika. Kuna idea moja huwa naiwaza sana na inawezeka a ila shida kuu nchi imejaa watu wajinga ambao muda wote tunawaza negative tu, yaani hatuwazi wala kuhofia wageni wanao kuja kuchuma Tanzania, hapana tuna waza na kuhofia Wabongo wenzetu. Nchi hii ina...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ayapaisha Mapato ya Korosho mara nne zaidi kufikia Trilioni 1.6 kutoka Billioni 452.5

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Nyota ya Matumaini,ni daraja la matumaini. Ni ngazi ya wanyonge, ni tumaini la watanzania, ni faraja kwa watu. Ni kiongozi ambaye amekuja kuinua maisha ya watu ,kuondoa Umaskini wa watanzania,kuwapa tabasamu safu. Kugusa maisha ya watanzania na...
  11. JamiiForums Tanzania Morogoro: Wakulima wa ndizi walia na ugonjwa wa fungashada

    Uzalishaji wa zao la ndizi umeaanza kuathirika katika baadhi ya mashamba ya migomba katika Kata za manispaa ya Morogoro ikiwemo Kata ya Kauzeni na Mzinga kufuatia mashamba yao kuathiriwa na ugonjwa wa fungashada ya migomba kuanzia mwaka jana. Godfrey Yanda na Ally Kondo ni wakulima wa zao la...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hata vikundi vya Amcos watu wanapoelekezwa kuuza kahawa na wenyewe wanaibia wakulima

    Takribani yapata kama wiki 4 zilizopita nikaaamua kuwa mzalendo kupeleka kahawa zangu zilizokauka kwenye Amcos moja wapo wilayani Missenyi . Karani alinipokea vizur akanisajili kwenye mfumo baada ya hapo akapima kilo hamsini kwa kila mfuko nikapata mifuko zaidi ya minne .lakini cha ajabu...
  13. JamiiForums Tanzania Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    KUKU NI WA KIENYEJI NIKO KANDA YA ZIWA. Sio vibaya pia tukapatiana hints za ufugaji. Karibuni
  14. JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  15. JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  16. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wa Kenya wakumbatia teknolojia ya kisasa ili kuongeza mavuno yao

    Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa linaonekana kupatwa ugonjwa. "Zamani nilikuwa nikisubiri mtu aje kusaidia. Tena baadhi ya wakati alikuwa...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeeni, haki yake mpeni- kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
  18. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni - Kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Edwin Swalle Asema Utekelezaji wa Bajeti ya Kilimo Utakuwa Faraja kwa Wakulima

    MBUNGE EDWIN SWALLE ASEMA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA KILIMO UTAKUWA FARAJA KWA WAKULIMA Mbunge wa jimbo la Lupembe Edwin Swalle amesema kuwa utekelezaji wa bajeti ya kilimo ukienda vyema utakuwa tiba na faraja kwa wakulima ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima Maswa watakiwa kulima zao la alizeti kwa ubora

    WAKULIMA wa zao la alizeti wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora wa uzalishaji ili kuongeza thamani ya mazao yao na kuvutia masoko ya ndani na nje ya nchi. Afisa kilimo wa wilaya ya Maswa,Masalu Lusana amesema hayo Mei 7,2025 wakati wa mafunzo ya kilimo bora kwa wakulima wa alizeti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…